ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Si unakumbuka zilipigwa marufuku Toka 2017 na ikapelekea MPAka mfanyabiashara wa dodoma kujiua sasa wajanja hawakujiua walificha stock na siku hizi wanazitoa zinauzwa kinyemela wanauziwa bei rahisi hasa wakina mama wanaouza gongo wateja wanaambiwa tu hizi spirit ni konyagi au smart.
Pamoja na kwamba wanasema pombe Huwa haiozi na kwamba inavyokaa ndo inazidi kuwa nzuri ila nakumbuka hata viroba au hizi za chupa Zina expired date means hata hizo viroba Toka 2017 MPAka leo sio vizuri.