Habari wakuu
Pc yangu aina ya Lenovo imekumbwa na virus hali inayo sababisha kuwa nzito, movie ku-scratch, kujitype yenyewe mfano kwenye search bar yani mambo ni mengi mno.
Nimejaribu mara kadhaa kuipiga window lakini sijapata mafanikio yoyote bado hali ipo vilevile naombeni msaada wenu...