visa

  1. H

    KERO Tanzania eVisa website kuna changamoto gani?

    Kuna wageni wanalalamika kuwa zaidi ya wiki sasa kila wakijaribu kuomba e-visa wanakuta website ipo down; wahusika tunaomba mcheki tafadhali Mwingine kaandika hivi "May I please ask for your help on who we can email or call to check on the evisa portal? We are trying to access the website but...
  2. Mdingi wangu alikua kauzu sana…ila alisaidia kunijenga, soma visa vyake kadhaa

    Habarini wakubwa wa kazi,maandalizi ya watani kunyoana kesho nadhani yanaenda kwa kasi nzuri….Rada za huku kwangu zinasoma kwamba bado tabu iko palepale,ila mwishoni mwa ligi watakaoteseka kesho watafurahia. Binafsi ninapenda sana kushare mambo mbalimbali kuhusu maisha ya kila siku katika mfumo...
  3. UK Visa

    Naomba kujua utaratibu mpya wa kupata Visa UK kama standard visitor
  4. Tupeane visa na mikasa ulivyowahi kukutana navyo kwenye pilika za kusaka utajiri

    Miaka hiyo nikiwa ni kijana mwenye nguvu, walikuja kijijini kwetu jamaa wawili wameongozana na MZUNGU. Muda wote MZUNGU yuko kimya tu, zaidi ya salamu yake ya Jambo Toto, hata wazee aliowakuta aliwasalimia hivyo. Jamaa wakatoa photo album iliyokuwa na picha ya vitu kadhaa walivyokuwa...
  5. Leo ngoja nikupe visa, misukosuko na mikasa ya hawa emoji (😪😭😩😂😅

    😶‍🌫️ - hii inapiga chabo kwa dirisha 😩 - Iko kwenye sexy vile inaona raha 🏃 - imetoka fumaniwa na mke/mume wa mtu 😂 - inachekea salio jipya kwa m-pesa 😭 - inalia vile inamdanganya mtu kwenye mahuy 🤧 - imechapwa shule venye inarudi 😕 - hii mdada ilitumiwa pesa kwa makosa kabla ya kutoa...
  6. Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Hii ni thread maalum ya simulizi mbalimbali pamoja na visa, mikasa na vitimbi vya wasanii wa zamani wa bongo fleva. Stay tuned....
  7. Msaada kupata visa za Egypt, Algeria na Morocco

    Hello Niko interested kutembelea nchi hapo juu za Africa kaskazini kwa utalii. Ningependa kujua visa za nchi hizo zinapatkana wapi kama kwenye mabalozi au evisa na kwa gharama gani? Niko Tanga, Tanzania Nb:Nimejaribu kuangalia website zao mtandaoni sioni details zaidi. Ningependa kwa wenye...
  8. Unakumbuka visa vya wamba hawa lodilofa madenge ndumilakuwili cmrd kipepe dr love pimbi zena & betina

    Hawa wamba ndio walikuwa wakileta burdani sana enzi hizo hamna Facebook Instagram Tiktok wala Youtube. Unavyokaribia mwanzo wa mwaka mnasubiri kwa hamu toleo la jarida jipya lililobeba katuni zilizojaa visa na vitimbi vya hao wamba. Mwanzo wa mwaka kama hivi jarida linakuwa tayari limeshatoka...
  9. DC Mpanda aagiza Mgodi wa Madini ufungwe kutokana na mlipuko wa Kipindupindu

    Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi, Jamila Yusuf amesitisha shughuli za uchimbaji madini katika Mgodi wa Lumuka uliyopo Kijiji cha Dirifu, Manispaa ya Mpanda kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu uliozuka katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo. Agizo hilo amelitoa mara baada ya...
  10. S

    Umewahi kufanyiwa visa gani na mwanamke wako? Ulivikabili vipi?

    Heshima kwenu waungwana👊, Tushare visa tulivyowahi kufanyiwa na wanawake/mademu zetu na namna tulivyovikabili ili tuongeze maarifa ya kuishi na hawa viumbe waliotusengenya na shetani pale Edeni 😅. Mie naanza vya kwangu: 👉 Miaka iliyopita, nilikuwa nakula demu mmoja hivi wa kinyaturu. Huyu...
  11. Taarifa za Visa Applications kwa Mwaka 2025

    Haya ni mabadiliko muhimu na maelezo zaidi kuhusu taratibu za visa kwa mwaka 2025: 1. Mabadiliko ya Ada za Visa Marekani: Ada za visa ya kawaida ya watalii (B1/B2) zimeongezeka kutoka $160 hadi $185. Visa za wanafunzi (F1) sasa ni $210. Uingereza: Visa za masomo zimeongezeka kwa asilimia 10...
  12. Maambukizi ya Mpox yafikia Visa 800 na Vifo 4 Nchini Uganda

    Ofisi ya Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) nchini Uganda imesema visa vya Mpox nchini humo vimezidi 800, ongezeko kutoka jumla ya visa 495 vilivyoripotiwa kufikia Novemba 20. The World Health Organisation (WHO) country office has said Mpox cases in Uganda have surpassed 800, an increase from a...
  13. F

    Mwanamke asiye na passport wala visa apanda ndege toka New York USA hadi France

    Mimi sijui kusimulia vyema. Ila habari imekaa kiutata sana hasa ukizingatia BBC wanavyojua kuconceal information. Wanadai alisababisha "disturbance" kwenye ndege iliyotakiwa kumrudisha baada ya kukamatwa. Chanzo ni BBC
  14. M

    Utekaji na utesaji siyo suluhu ya kuzuia jambo lisitokee

    Hata wakati wa Mtume, mateso yalikuwa makubwa lkn uislam umeenea licha ya mateso. Mfano 1. Bilal bin Rabah (R.A) Aina ya Mateso: Kupigwa vibaya. Kulazwa kwenye mchanga wa moto wa jangwani huku jiwe kubwa likiwekwa kwenye kifua chake. Kupigwa mijeledi. Aliyemtesa: Umayyah bin Khalaf...
  15. K

    Ntawezaje kupata Visa ya Misri

    Wakuu, Naweza kupata tourist visa ya Misri upon arrival au ni lazima ni apply hapa bongo kwenye ubalozi wao kabla ya safari? Thanks
  16. Idara ya Uhamiaji yasema haijazuia kutoa Visa kwa Wageni

    YAH: UTOAJI WA HUDUMA YA VISA ON ARRIVAL KUINGIA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kuwajulisha wageni na wadau wote kuwa haijasitisha utoaji wa Visa kwa wageni kwenye vituo vya kuingilia na kutoka nchini. Hata hivyo, Idara ya Uhamiaji Tanzania...
  17. Mikopo ya mitandaoni yazidi kuzua balaa. Wakopaji wasimulia visa na changamoto walizozipitia baada ya kukopa!

    Katika uchunguzi mpya, imefahamika kwamba kumekuwa na udhalilishaji na madhila makubwa yanayowakumba watu wanaowadaiwa na wakopeshaji wa mitandaoni Mmoja wa waathirika wa mikopo hiyo, Jackline Meena, anasema alikopa Sh. 50,000 lakini alilipa Sh. 250,000 na waliendelea kumdai na alipogoma kulipa...
  18. Visa Application & Appointments

    Services offered: 1. Visa Consultation: We provide guidance on visa requirements, eligibility criteria, and application procedures for various countries. 2. Application Assistance: We help applicants complete visa application forms accurately and gather required documents. 3. Documentation...
  19. Nimeilipia huduma mtandaoni kwa M-PESA visa, dollar 1 ni sawa Tsh 3,000

    Kama kichwa cha habari hapo juu Nimeilipia huduma Fulani mitandaoni naona gharama ni kubwa sana ni kwamba voda huwa wanakata makato yao wa huduma ama ndio hali iliyopo
  20. Visa hivi ni vya kuvipa muda

    Katika muda huu wa mchana, bwana Cllint, mmiliki wa kampuni ya ujenzi, yuko kazini kama kawaida. Anapopata nafasi anampigia simu mkewe, Joanna, na kumweleza ya kwamba leo atawahi kurudi nyumbani ili wawe pamoja kwasababu mwanamke huyo hatokuwepo weekend. Haipiti muda Clint anampokea mgeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…