visa

  1. KING MIDAS

    Je una safari ya kwenda nje ya nchi? VISA INTERVIEW QUESTIONS:-

    VISA INTERVIEW QUESTIONS 1. What is the purpose of your visit?: Be prepared to explain the reason for your trip, whether it's for tourism, business, education, or visiting family and friends. 2. Have you visited this country before?: Provide details about any previous visits, including the...
  2. G

    Madini na rasilimali nyingi ni mapambo kama huna watu sahihi. Tunatakiwa tufumue upya mfumo wetu wa elimu

    Ndio maana nchi yetu wanaotajirika zaidi ni wahindi, waarabu, wakenya, chinese, n.k. sisi tumebaki kujisifu nchi yetu tajiri lakini hatunufaiki na huo utajiri, imahine majirani Kenya ndio wanajulikana zaidi kuuza maparachichi nje kumbe wanayatoa huku kwetu, madini ya Tanzanite dili ndefu...
  3. Mpwayungu Village

    Mnatumia njia gani kupata visa ya USA na CANADA?

    Maana sielew, nimeomba zaidi ya mara mbili kwanzia mwaka Jana, nchi ya kanada na marekani kwa wakati tofauti kotee nakuwa unsuccessful Ndugu zangu mnafanyaje kupata wenzetu maana Kila kigezo ninacho mpaka bank statement yangu imenyooka vzr tu Ila linaenda lofa la kigoma porini huko linapata...
  4. ndege JOHN

    Sababu gani hufanya Kongo iwe na visa vya milipuko ya magonjwa

    Naomba kujuzwa kwanini homa homa nyingi za milipuko huwa lazima kesi zitokee jamhuri ya kidemokrasia ya kogo..mfano ebola,homa ya nyani,n.k
  5. Mpwayungu Village

    Mawakala hawatoi VISA, inatoka ubalozini

    Watu wengi mnatapeliwa na madalali eti atakufanyia mchakato upate visa ya kwenda marekani kanada na ulaya. Mtapigwa sana washamba nyie, visa inatoka embassy sio kwa agent Sasa huyo agent kama anazo visa mfukoni kwake mwambie akupe moja uende ulaya 🤣🤣🤣 Hakuna agent yoyote yule atakufanyia...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Njoo Tukusaidie Kujaza Form ya Kuomba VISA na Passport ya kusafiria

    Njoo Tukusaidie Kujaza Form ya Kuomba VISA na Passport Wasiliana nasi kupitia WhatsApp: 0612607426. Kazi zote zitafanyika remotely. Huduma za ujenzi Vituo vya Mafuta Kwa wale wanaotegemea kujenga vituo vya mafuta, njoo tukuandalie mpango wa biashara na mchoro wa kituo cha mafuta kwa gharama ya...
  7. A

    Visa vya kweli: Siri za kujamiiana katika koo

    Koo zina siri nyingi sana, kuna siri ambazo hazitolewi kabisa nje ya koo husika, pia humo ndani ya koo kuna siri ya wahusika tu. Nikimaanisha kua kuna siri ambazo zinafanywa na watu wa wawili au watatu wa kwenye koo hiyohiyo na wengine wasijuwe. Pia kuna koo ambazo zina siri ya ukoo mzima na...
  8. Pdidy

    Hizi beach Zanzibar kudai asilimia 5 ukitumia visa kadi kulipa zinaenda kwa nani?

    Nimeshangaa sana jana nilikuwa beach nmoja wakati wa kulipa tukaomba kulipa hapa Zanzibar wakadai unakatwa asilimia 5 ya pesa unayolipa Kwa ñn agizo la bosi Leo nkaenda nyingine uwiiii mambo ni yaleyale sijui wameambiana nikageuka shaah baada ya kunywa soda Sijui mnaojua haya mambo ninaona...
  9. Mjukuu wa kigogo

    Visa na mikasa kwenye nyumba za kupanga

    Yaani hapo upo single halafu wapangaji wengine waliobaki wameoa. Na hivi ndio visa vya wake zao. Je, utahama au utavumilia?
  10. SteveMollel

    Movies mbili zenye visa vitamu

    BEFORE I GO TO SLEEP. Christine anapoamka asubuhi, anashangaa yupo mahali asipopafahamu na pembeni yake amelala mwanaume asiyemjua. Anajaribu kuvuta picha lakini hamna kinachokuja kichwani. Anaenda bafuni, humo anakutana na picha kadhaa ukutani, picha akiwa pamoja na bwana yule alomwacha...
  11. 6WaS9

    Majibu na Maombi ya Ukaazi wa Kudumu katika Nchi ya Marekani: US Green Card | Diversity Visa Lottery | United States of America. 2024 na kuendelea!

    Majibu na Maombi ya Ukaazi wa Kudumu katika Nchi ya Marekani: US Green Card | Diversity Visa Lottery | United States of America. 2024 na kuendelea! Leo 4th May 2024 saa moja usiku, kwa saa za africa mashariki Majibu ya walioomba Diversity Visa Lottery yatatangazwa kupitia official website ...
  12. A

    Visa na matukio (adventures) binafsi niliopitia maishani

    Binadam tunapitia mengi sana maishani. Yanaweza yakawa ya kila namna, mazuri au mabaya. Yapo yakusikitisha, kufurahisha, maudhi, kutisha, kufurahia na kuchukia lakini mwisho wa siku yanabaki kua ni (adventure) au hadithi ya maisha (kwa sauti ya mzee Rukhsa). Tajitahidi kuweka katika kila post...
  13. Forgotten

    Svalbard: Eneo pekee Duniani unaloweza kuishi na kufanya kazi bila Visa

    Svalbard, eneo linalopatikana karibu na ncha ya kaskazini mwa dunia ni kisiwa cha barafu kinachojulikana kwa hali yake ya baridi kali sana nchini Norway. Raia kutoka nchi yoyote Duniani anaweza kuishi na kufanya kazi Svalbard bila Visa maalumu. Ila, kwa raia kutoka mataifa ambayo hayapo...
  14. gaintoo broisser

    Serikali ya Marekani yatangaza kuanza kwa programu ya diversity visaby U.S

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam unatangaza kuanza kwa programu ya Diversity Visa kwa mwaka 2024 (DV-2024) hapo tarehe 6 Oktoba 2024. Kila mwaka, kupitia programu hii, Marekani hutoa viza za ukaazi wa kudumu (immigrant visas) zipatazo 55,000 kwa raia wa nchi ambazo kihistoria zina idadi...
  15. Mto Songwe

    Serikali ya Tanzania itoe VISA free kwa wahindi, wachina, wakorea, wajapan katika hatua za mwanzo

    Napendekeza serikali ya Tanzania ichukue hatua katika haya mapendekezo yangu. 1. Napendekeza serikali ya JMT itoe visa free kwa raia kutoka India, China, Japan na Korea - katika mchakato wa visa free kwa mataifa mbalimbali tuanze na hayo mataifa manne kwanza kwa miaka 20 ya mwanzo. 2...
  16. M

    Visa ya India huchukua siku ngapi?

    Heloo WanaJF mko poa? Visa ya India ni siku ngapi mpaka napata?
  17. Mhaya

    Mikasa iliyotokea kipindi wanaigiza filamu za Yesu

    Haikuwa kazi nyepesi kuigiza movie za Yesu. Songombingo lilianza katika ile scene ya msalabani. Scenes zote ilikuwa rahisi sana isipokuwa ile ya msalabani. Kwenye ile movie ya mwaka 1979 ya Yesu iliyoigizwa na Decon, Brian Deacon anasimulia kwenye interview kuwa wakati wa scene ya msalabani...
  18. Akilihuru

    Tuliowahi kusumbuliwa na wazazi wetu kwa sababu ya michepuko yetu tujuane hapa kupitia visa vyetu

    Inakuaje waheshimiwa? Thread hii ipo kwa lengo la kuhadithiana visa mbali mbali tulivyokumbana navyo kati yetu, wazazi wetu na michepuko yetu. Hapa juu naomba nianze na kisa cha kwanza 👇 Nikiwa na umri wa miaka 20, kuna kabinti fulani nilitokea kupendana nako. Kabinti hako kalikuwa kakali...
  19. R

    Utoaji wa VISA Duniani unasimamiwa na principle ya Reciprocity; kauli ya Rais wa Kenya imejaa presha ya kisiasa kuwakabili wakosoaji wa sera zake

    Dunia inaendeshwa kwa nipe nikupe, au kwa kauli nyingine nikune nikukune. Visa nayo ipo hivyo; tafsiri nyepesi ni makubaliano ya nchi na nchi kuhusu taratibu za kuingia na kutoka katika mataifa husika. Rais wa Kenya amekaribisha wageni kuingia Kenya bila visa, lakini hakuna Sehemu kwenye...
  20. olimpio

    Kuna faida gani za nchi kuruhusu mataifa kuingia bila VISA?

    Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake. Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji? Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini? Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30? Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini...
Back
Top Bottom