Habari za Kwako Mwana Jamii Mwenzangu!
Natumaini upo poa na unaendelea kujikinga na Corona iliyokuja kwa kasi 2020, Natumaini Mungu atatuvusha!
Wakati China wakiwa wamefunga milango yao na wamerudi makazini na shughuli zikiwa zinaendelea kama kawaida ( masks, sanitizers, kupimwa joto la mwili...
Huyu kaka mstaarabu flani umri 39. Amepata uhamisho kwenda Dodoma. Huku Dar alijiweka vizuri, mke wake ana pika mama ntilie lakini ni wale mama ntilie wa kishua ana pick up yake ya kuendea machinjioni na kwenye soko la ndizi.
Jamaa amafika Dodoma alikaa guest house wiki moja, wiki ya pili...
Wizara ya afya nchini Rwanda imetangaza kuwa watu wengine sita wameambukizwa virusi vya corona miongoni mwao mtoto mchanga wa miezi 10.
Maambukizi hayo yanaifanya Rwanda kuwa na idadi ya visa 17 vya maambukizi ya virusi vya corona.
Walipatikana na maambukizi hayo wote walikua wametoka katika...
Rekodi zinaonyesha sababu ya eti Watanzania wapewe zuio la viza kwa sababu hawarudi si la kweli kuna nchi nyingi sana wanatuzidi. Kuna sababu nyingine za siri
https://www.dhs.gov/immigration-statistics/yearbook/2018/table27
https://www.dhs.gov/immigration-statistics/yearbook/2018/table34...
Serikali ya Marekani chini ya Rais Mtata, Donald Trump imetangaza kuwa iko mbioni kuziongeza nchi nyingine 7 kwenye orodha ya nchi ambazo Wananchi wake watawekewa vikwazo vya kuingia nchini humo (Marekani)
Tanzania imetajwa pamoja na nchi za Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria na...
Tujuzane machache soko la utalii tunalionaje, kuanzia miaka ya nyuma na hivi sasa hususani ukuaji, maeneo yanayokua, changamoto, muamko wa wazawa (Watanzania) na hata ongezeko la watalii kutoka nje ya nchi.
Kwa wanaohitaji aina yoyote ya visa ya marekani, Canada au schengen (Belgium, Germany, Italy, France, Norway ,Sweden, Denmark. Etc) ni PM tunakusaidia kuprocess visa, maandalizi ya interview, kupata invitation letter, hotel booking, flight booking..karibuni sana
Kama unaswali lolote usisite kuuliza
Chanjo
Takriban watu 140,000 hufariki duniani kutokana na ugonjwa wa surua au ukambi huku ulimwengu ukishuhudia ongezeko la maambukizi ya ugonjwa huo.
Bara la Afrika linasadikiwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa huo (52,600) kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani, WHO...
KIJANA mmoja alietambulikana kwa jina la Noel Jengeni Mlilo mwenye umri 27, mkazi wa shehia ya Wawi wilaya ya Chakechake, na mwenyeji wa Mkoa wa Songwe Tanzania bara, amekutikana kichakani akiwa amefariki, shehia ya Mtuhaliwa wilaya ya Mkoani Pemba.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi kaka...
Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika ambayo itawawezesha wauzaji zaidi ya 30,000 kupokea malipo ya Visa kwa kutumia simu ya mkononi pamoja na mawakala 20,000 ambao watawezeshwa kupokea amana na kutoa malipo na...
Wadau mimi nahitaji kwenda Ulaya kutafuta maisha, nauli ninayo hivyo naombeni ushauri kwa anaefahamu nchi gani in Europe ina urahisi wa kupata kazi yoyote pia urahisi wa visa pia mahali pa kufikia?
Wadau naombeni msaada wenu kwa anaefahamu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.