Jana, Mei 16, 2020 Uganda imetangaza visa vipya 24 vya COVID19 vimeongezeka na vyote vikiwa ni vya Madereva wa Malori na kufanya jumla ya visa kufikia 227
Wizara imesema jumla ya sampuli 2,598 zimepimwa kati ya hizo; 2,044 ni za Madereva wa malori na 554 ni za Wakazi wa Uganda ambapo zote 554...
Habari!
Karibu ili kujuzwa na pia kupata taarifa (masasisho) mbalimbali ya kile kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) almaarufu kama "kirusi cha Wuhan" kutoka nchini China.
Katika uzi huu utapata kufahamu mambo mbalimbali hususani hali ya ongezeko na ukuaji, jitihada...
Jana, Mei 15, 2020 Uganda imetangaza visa vipya 43 vya #COVID19 vimeongezeka na vyote vikiwa ni vya Madereva wa Malori na kufanya jumla ya visa kufikia 203
Wizara imesema jumla ya sampuli 2,558 zimepimwa kati ya hizo; 1,838 ni za Madereva wa malori na 720 ni za Wakazi wa Uganda ambapo zote 720...
Kenya on Friday recorded 23 new cases of Covid-19, raising the country's total number to 781, Health CAS Rashid Aman has said.
This is out of the 2,100 samples that were tested in the last 24 hours.
11 of the cases were from Nairobi, Mombasa (5), Kajiado (3) with Kiambu and Wajir with two...
Tumepata taarifa kupitia vyombo mbali mbali vya kimataifa juu ya nchi kadhaa zilizoweka total lockdown na baada ya uchumi kuyumba na njaa kuwa kali wakaamua kuondoa lockdown, kisha visa vya Corona vikashoot juu kwa kasi kwa mara nyingine tena, na sasa wanafikiria kurudisha tena lockdown. Nchi...
Tunaendelea wanajamvi!
Basi, Mwaka mmoja Nyerere alikuwa anatoka India aliko kwenda kikazi kuzungumza na aliye kuwa Waziri mkuu wa Nchi hiyo na Mwenyekiti wa non aligned countries.wakati anarudi alitua kwa muda Jomo Kenyatta international airport. Waandishi wa Habari walipo fahamishwa kuwa...
Morning friends!
Basi, mwaka mmoja Mwalimu alifanya ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Mtwara. Jioni ya siku ya kwanza baada ya shughuli za mchana kutwa akarudi kupumzika pale Shangani, Ikulu ndogo. Akiwa chumbani kwake akashangaa kuona binti maridadi sana anapanga panga vitu. Mara arekebishe...
China imeripoti visa vipya 17 vya #COVID19, 10 kati ya hivyo yakiwa ni maambukizi ya ndani. Mji wa Wuhan umetangaza visa vitanoa vya ugonjwa huo baada ya kuwa kimya kwa takribani mwezi mmoja
-
Mji wa Jilin umewekwa katika zuio la kutoka nje baada ya kuwa na visa 10 vilivyoripotiwa, Mei 10...
Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 29 wa #COVID19 na kufanya idadi ya maambukizi visiwani humo kufikia 134. Wagonjwa wote waliotangazwa leo ni Watanzania
Pamoja na ongezeko hilo, Wizara pia imesema wagonjwa wengine watano wamefariki dunia na 11 wamepona na kufanya...
Wizara ya Afya ya Uganda imetangaza ongezeko la mgonjwa mmoja wa COVID19 nchini humo na idadi ya visa imefikia 89. Mgonjwa mpya ni dereva, raia wa Kenya aliyegundulika baada ya sampuli 2,729 za madereva malori kufanyiwa vipimo.
Aidha, Wizara hiyo pia imeeleza kuwa madereva wawili wa malori...
Kenya imetangaza visa vuipya 30 vya #COVID19 na kufanya kuwa na jumla ya watu 365 waliothibitika kuwa na #CoronaVirus. Visa hivii vimepatikana kati ya sampuli 883 zilizopimwa saa 24 zilizopita
Wizara imetangaza vifo vya watu wawili zaidi na kufanya vifo kufikia 24. Watu 15 wakiripotiwa kupona...
Idadi ya jumla ya walithibitishwa kuwa na #CoronaVirus Urusi imfikia 134,687 baada ya watu 10,633 kuthibitika kuwa na #CoronaVirus ndani ya masaa ishirini na nne. Pia jumla ya vifo 1,280 vimerekodiwa
50% ya waliothibitika kuwa na #CoronaVirus hawakuonyesha dalili za kuugua ugonjwa huo
Awali...
Habari za Mapambano wadau wote wa JF, Nimatumaini yangu kuwa wote tunaendealea kupambana Dhidi ya ugonjwa huu wa mlipuko CORONA.
Ama baada ya Salamu lengo la Uzi huu Ni kujua wale wote walioathirika na ugonjwa huu kupelekea kuahirishwa kwa malengo/mipango yao Tena waliyoipanga kwa muda...
Japani imetangaza visa 236 vipya vya #CoronaVirus na kufanya nchi hiyo kuwa na jumla ya visa 14,800. Hadi sasa nchi hiyo ina vifo 428
Mfmo wa afya wa nchi hiyo unachangamoto ya kutoa huduma. 90% ya maombi ya waliotaka kupimwa yamekataliwa, hali inayofanya watu kuachana na hospitali
===
Japan...
Kenya imetangaza visa vipya vya #CoronaVirus 8 na kufanya idadi ya jumla ya visa vilivyoripotiwa kufikia 363
Wagonjwa hao, wote hawana historia ya kusafiri kwenda nje ya nchi
Wizara ya afya imetangaza pia watu 8 waliopona na kufanya idadi ya waliopona #COVID19 kufikia 114
====
Kenya on...
Uganda has confirmed 4 new COVID_19 cases out of 1,989 samples tested on Sunday 26th April. All patients are Tanzanian truck drivers who arrived via Mutukula border, Ministry ofHealth says. 411 samples from communities tested. Uganda’s total confirmed cases are now 79.
[emoji832]4 new COVID-19...
Idadi ya watu walioambukizwa rasmi virusi vya Corona nchini Urusi imefikia 68,622, baada ya kuripotiwa visa vipya 5,849 vya virusi hivyo, ikilinganishwa na Alhamisi, mamlaka ya afya nchini Urusi imebaini.
Watu sitini zaidi wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19, na kufikisha idadi ya...
Wizara ya Afya ya Umoja wa Falme za kiarabu imetangaza visa vipya 477 na vifo viwili vya #CoronaVirus, idaid hiyo inafanya jumla ya visa nchini humo kuwa 6,302 na vifo kuwa 37
Pia watu 93 wamepona, na kufanya idadi ya waliopona kuwa 1188. Msemaji wa Wizara, Dkt Farida Al-Hosani alisema idadi...
Taifa teule la Israel laendeleza mapambano dhidi ya corona huku likiwa limerikodi visa zaidi ya 10,800 na vifo 103.
Hata hivyo maabara za nchi hiyo zimekumbwa na uhaba wa vifaa vya kupimia corona, na hivyo kupunguza upimaji wa watu wenye kuonesha dalali za ugonjwa huo. Mamlaka yatarajia kuanza...
Mamlaka ya afya nchini China imethibitisha visa vipya 62 vya maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa hatari wa Covid-19, ambapo janga hilo lilizuka mwezi Desemba mwaka jana.
Siku moja kabla watu 32 waliambukizwa virusi vya Corona, kwamujibu wa mamlaka ya afya.
Vifo viwili vya nyongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.