Habari wakuu,
Kuna mteja wangu anataka kuja kutembea Tanzania. Sasa kwa utaifa wake anatakiwa awe na referral Visa. Nilikuwa naomba mwenye kujua anipe maelezo nini kinahitajika kuwekwa wazi kwenye invitation letter kutoka kwa mtembeaji na nini niweke wazi kutoka kwangu kama mwenye kampuni...
Tanzania is sovereign country, we are not a colony no more, we have our sovereignty. Otherwise remove all sanctions against Russia for your speculations of interference in your democracy. More you interfere more we like Magufuli, get that.
Since when you even care about Africa never mind...
Nilikutana na mtu humu tukachart kweli for al most 5 months picha nilizokuwa nimetumiwa sizo zenyewe. For more months to come finally video chart kumbe sio mwenye zile picha kazi na kila kitu alicho kisema sio so chakufanya nikumdelete tu.
Mwingine kasema i am single and i was finish in every...
JF Salaam,
Mzee Mrema amewaasa wanasiasa wanaotaka kuchochea Vurugu nchini waache maramoja kwani wao ndege ziko uwanjani zinasubiri wavuruge nchi ziwarushe mpaka Ulaya.
Mfuatilie kwa makini
Habari wana-bodi, kwa Majina naitwa Lwifunyo Mangula, ni mmoja wa watu wanaopenda technolojia ikiwamo IT ninaifurahia na nina kautaalamu kidogo kuhusu online business maana ninapenda hivyo vitu. So hapa nipo kutoa ushauri kwa wadau wengine kuhusu MPESA MASTERCARD TANZANIA kulingana na UZOEFU...
Kufikia jana tayari Kenya imerekodi visa 15601 vya wagonjwa wa korona huku visa 700 vikirekodiwa kwa Jana pekee. Hali inazidi kuwa mbaya zaidi kwa nchi hii jirani.
Mwingiliano baina ya raia wa nchi hizi mbili ni mkubwa mno na kama Tanzania ikiendelea kurelax na kuona kwamba hili siyo gonjwa la...
Wakuu habari za jioni.
Hapa ninapoishi mpangaji mwezangu ambaye ni mwanamke akikutana na girlfriend wangu anapokuja kunitembelea anamjaza maneno mabaya juu yangu. Nimchukulie hatua gani jirani wa hivi?
Ushauri wenu muhimu
Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya 19 vya CoronaVirus baada ya kupima sampuli 2,170 na maambukizi ya nchi hiyo yamefikia 889.
Katika visa vilivyotangazwa leo, 11 walisafiri kutoka Afghanistan na walikuwa karantini wakati wanafanyiwa vipimo. 7 ni watu waliokuwa karibu na wagonjwa wa...
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na watafiti kutoka shirika la kazi ulimwenguni ILO imebainika kuwa asilimia kubwa ya waajiriwa wanaoziacha kazi zao walikoajiriwa huacha kazi huwa sababu halisi ni 'maboss' wao.
Tunaambiwa kuwa 75% ya waajiriwa anaojiuzulu nafasi zao katika ajira ni wale wenye...
Serikali ya Kenya imetangaza visa vipya 59 vya maambukizi ya virusi vya corona. Hayo yalisemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya nchini Kenya Dr. Mercy Mwangangi ambapo alifananua kuwa idadi hiyo imepatikana baada ya kupima sampuli 2354 na kupungua kwa idadi ya visa vipya haimaanishi kuwa ugonjwa...
Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya vya #COVID19 na maambukizi yamefikia 705 huku idadi ya waliopona ikiwa 299
Katika visa hivyo, watano aliokuwa karibu na wagonjwa ambao tayari wamethibitishwa na wanne ni madereva wa malori waliotokea Sudani Kusini (2) na Kenya (2)
Aidha, madreva 37...
Kufuatia ongezeko la maambukizi ya COVID-19, Rais Nana Akufo-Addo ametangaza kuwa kuanzia sasa kuvaa barakoa ni suala la lazima nchini humo na Polisi wameelekezwa kuhakikisha agizo hilo linatekelezwa
Alikuhutubia taifa, Rais Addo amesema idadi ya visa inaongezeka kutokana na watu kushindwa...
Health Chief Administrative Secretary (CAS) Dr. Mercy Mwangangi on Friday announced that COVID-19 infections in the country had risen to 2,474 after 134 more patients tested positive for the disease from 3,177 samples tested within the last 24 hours.
Dr. Mwangangi, speaking during the daily...
Wizara ya Afya imesema visa vipya 35 vimethibitishwa nchini humo baada ya sampuli 2,267 kufanyiwa vipimo. Kati ya sampuli hizo 1,412 ni kutoka mipakani na 855 ni za wananchi wa kawaida
Vilevile, madereva 31 kutoka Kenya-18, Tanzania-7, DR Congo-4 na Burundi-2 wamerudishwa nchini kwao baada ya...
Kenya inaendelea kupima na kupambana na korona wakati siye tunajidanganya imekwisha.
Leo hii wamegundua visa 147, hii inaonyesha Korona bado ipo na inaongezeka badala ya kupungua.
Najua wanaopenda kusikia habari nzuri wakati wa majanga kujiriwadha, na kama wenye akili ya kutuliza wajinga kwa...
Uganda imetangaza Wagonjwa 31 wapya wa #COVID19 waliopatikana baada ya sampuli 1,116 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 253
Wagonjwa 23 ni kutoka mipakani ambapo sampuli 896 zilichukuliwa na 8 ni waliopimwa wakiwa Karantini baada ya kukutana na madereva...
Katika visa vilivyobainika duniani vya #CoronaVirus, asilimia 15 tu huambatana na dalili ya ugonjwa hatari wa mapafu “pneumonia”, kushindwa kupumua, oksijeni kupungua kwenye damu na matatizo mengine ya mapafu
Asilimia takribani 5 huambatana na dalili hatarishi zaidi zinazoweza pelekea kifo kama...
The continent has so far been spared in comparison with others but the worst could still be to come.
Africa has now recorded more than 100,000 infections of the novel coronavirus, the Centers for Disease Control and Prevention (CDC) said Friday.
More than 3,100 people have died from COVID-19 as...
Staying during coronavirus
This page gives you guidance on how to stay safely in Tanzania as a visitor, if you are unable to return to the UK.
Everyone should comply with the measures put in place in Tanzania to limit the spread of coronavirus (COVID-19).
Moving around in Tanzania
The...
Wizara ya Afya Uganda imetangaza ongezeko la Wagonjwa 21 wote wakiwa raia wa Uganda na wamepatikana baada ya sampuli 1,071 kupimwa katika mipaka ya nchi hiyo
Wagonjwa hao wamepatikana katika mipaka ya Elegu (Visa 17) na Mutukula (Visa 3) na Malaba (Kisa 1). Pia, sampuli 253 za kutoka katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.