Mahakama ya Shirikisho la Australia siku ya Jumapili Januari 16 ilikataa rufaa iliyoletwa na Bingwa wa Tennis duniani Novak Djokovic dhidi ya kufutwa kwa visa yake na kufukuzwa nchini.
Mahakama inaamuru kwamba rufaa itupiliwe mbali kwa gharama ya mlalamikaji," umebaini uamuzi huo ulioidhinishwa...
Nchi ya Australia, kwa mara ya pili imesitisha kibali cha kuingia nchini humo cha mchezaji maarufu wa tenesi, Novak Djokovic, kutokana na utata kuhusu haki ya kuendelea kubaki nchini humo bila ya kuwa amechoma chanjo dhidi ya UVIKO-19.
Uamuzi huu uliotangazwa na waziri wa masuala ya...
Ukweli ni kwamba, Ndugai amekua mbabe kwa muda mrefu sana kwa wabunge kule mjengoni lakini alikua mtiifu namba moja wa Rais John Magufuli (R.I.P).
pamoja na mapungufu yote ya serikali ya JPM ikiwa ni pamoja na bajeti hewa mfano kuna baadhi ya wizara zilikua zinapewa hela ya bajeti 18% tu ya...
Waganga wa kienyeji ni watu wenye mchango mkubwa upande wa pili ndani ya ulimwengu.
Hapa kuna watu povu na maneno ya kejeli yata watoka kwa sababu hizi:
*Wengi wanawatumia kwa ajili ya mabaya!
*Wengi ni walonzi ,wanga na wachawi.
*Wengi humu mtaki kujionesha kuogopa kuwa mnatatua matatizo yenu...
Mimi binafsi ni binadamu ambaye nikifika mwisho au nikisema inatosha, jua ama zako au zangu. Hakuna suluhu. Tafuta chaka lako la kujificha.
Moja ya sifa za msanii King Kiba ni kuhimili mikikimikiki. Ni kuhimili nyakati ngumu na kukimbilia kusema kwa mama yake.
Lakini ukweli msanii Harmonize...
Kama sinema vile madege ya Ethiopian airlines hutua viwanjani kwa hisia huku yamebeba abiria:
Ethiopian Airlines Airbus A350 Suffers Wing Tip Strike During Landing
Mtu anaweza vipi tua dege kwa kusikiliza wazimu wake tu?
Siyo case 1 bali ni case baada ya case na katika kipindi kifupi.
Haya...
Habari za asubuhi wakuu naamini mmeamka salama kabisa.
Ninaomba msaada namna nitakavyo weza kupata visa ya kwenda kwa Malkia ni process zipi nizifuate na pia gharama inaweza kuwa shilingi ngapi? Na nyaraka zipi niziandae kwajili ya hili zoezi na mda gani inaweza kukamilika.
Makamu wa Rais wa Ghana ametangaza kutambulika ramsi kwa Kitambulisho cha Taifa cha nchi hiyo kama hati ya kusafiria kuanzia robo ya pili ya mwaka 2022.
Hatua hiyo ya Ghana inatokana na kutambuliwa kwake kama mwanachama wa Taasisi ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (ICAO), ambapo Kitambulisho...
Niende moja kwa moja kwenye mada, nipo mkoa wa Geita kikazi na leo nimefanikiwa kufika sehemu inayoitwa Nyarugusu visa nilivyovikuta vinashangaza na hizi hapa ni simulizi nilizozikuta kwenye msiba uliovuta hisia za watu wengi.
Ilikuwa ni msiba wa mama mmoja aliyeuawa na...
Video kuhusu taarifa sahihi, Maswali na Majibu kuhusu viza hii .
Epuka kutapeliwa; kumbuka hakuna ada yeyote inayotozwa kwa kutuma maombi yako.
https://dvprogram.state.gov/. #DiversityVisa
American Diversity Visa Season for the year 2023
Accurate information, Questions and Answers about...
Tanzania passport imeongezewa nguvu duniani sasa mmiliki anaweza kudhuru Jumla ya nchi 72 duniani toka nchi 67 mwaka wa Jana bila kulipia " VISA " hakika hakuna kama Rais Samia.
Ujio wa Rais Samia Suluhu umevileta karibu karibu kila kitu kuwa rahisi sana kuliko wakati wowote wa Uhai wa Taifa...
Visa sita kati ya kila visa saba vya ugonjwa wa korona havingunduliwi barani Afrika, Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) linasema.
Imefanya hesabu kulingana na fomula ambayo inaangalia vifo vilivyorekodiwa na viwango vya vifo vya visa vya ugonjwa huo.
Kufikia sasa ni visa milioni nane tu vya...
Miaka ya nyumba kulikuwa na visa vingi vya watu kuuliwa ama kujeruhiwa na Simba wala watu.
Wengi wa Simba hao walitajwa kuwa si Simba halisi ila walikuwa ni binadamu waliojibadilisha kuwa Simba.
Miaka ya tisini katikati kuna binamu yetu aliliwa na Simba huko Mtwara.
Lilikuwa na story nyingi...
Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina.
Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar.
Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni...
Waziri Mkuu wa New Zealand, Jacinda Ardern amesema Lockdown Nchini humo itaendelea kuwepo hadi Agosti 27, na huko Auckland ambapo ndipo kitovu cha maambukizi, Kanuni za tahadhari zitadumu hadi Agosti 31.
New Zealand ni moja kati ya Mataifa yanayosifika ulimwenguni kwa kudhibiti janga la Corona...
Nimepata taarifa kwa rafiki yangu mmoja kwamba yeye na wenzake walipanga Tanzania lakini wanatakiwa kulipia Visa, baada ya kufungua mtandao wa Uhamiaji wanashindwa kupata huduma kila wakifanya kuomba wanapata error na muda wao wa likizo unakatika. Mimi mwenyewe nimejaribu kufuatalia nimekwama...
Hapa mtaani kwetu jirani yetu ni fundi wa magari. Ana garage yake mtaani na watu wanamwamni ni fundi mzuri sana.
Ameoa msichana wa mijini peace kali, wale wa dada wa human hair na lace wigi. Wanaishi kwenye chumba na sebule na mrs hana ajira huwa tunashinda nae mtaani.
Juzi kati walikua na...
Habari wadau!
Kuna tabia za ajabu sana siku hizi, watu hawana utu ukifa kwao sherehe.
Mzee alipofariki, rafiki yake wa karibu alipewa jukumu la kwenda kutafuta mahali pa kuchimba kaburi, kwa wasiojua hata maeneo ya kuzikia pale makaburini yana madaraja na bei ni tofauti. Best yake kabisa mshua...
Wananchi wa Uganda wameonesha kukasirishwa na hatua ya serikali ya nchi hiyo kutoa zaidi ya dola milioni 30 za Marekani (sawa na zaidi ya Tsh bilioni 69.5) fedha za kununua magari ya wabunge wakati taifa hilo likiwa katikati ya mapambano dhidi ya virusi vya corona na kuinua uchumi wa nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.