Takwimu za Wagonjwa wa Kipindupindu Nchini Tanzania kuanzia Januari 2022 hadi Agosti 2022 ni visa 519 ambapo kati yao 11 wamefariki Dunia, Mikoa ya Katavi, Rukwa na Kigoma ikitajwa kutoa wagonjwa wengi.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri kusimamia...
Mkurugenzi wa WHO kanda ya Afrika, Matshidiso Moeti, katika mkutano wa Mawaziri wa Afya wa Afrika, amesema visa hivyo vimerekodiwa katika Nchi 11 na kuongeza kuwa kuna haja ya kuongeza mwitikio wa utambuzi na matibabu ya wakati wa magonjwa
Katika Mkutano huo unaofanyika nchini Togo, washiriki...
Kila siku Korea kaskazini inajaribu kujitutumua mbele ya Marekani kwa kujaribu kuwatisha Korea Kusini na Japan kwa majaribio ya silaha za nyuklia.
Majaribio hayo yanaikera Marekani kwa kiwango kikubwa ila kwa usalama na amani ya dunia anaamua kukaa kimya wala kutokujibu majaribio hayo huku...
VISA za kuingia nchi za 26 za Ulaya zimeisha hivyo wakenya waliokuwa wanataka kuingia nchi hizo watasubiri hadi Septemba 2022. VISA za Schengen ina nguvu za kumfanya mtu atembelee nchi yoyote ya Umoja wa Ulaya kwa muda wa miezi mitatu.
COVID-19 yatajwa kuwa sababu ya VISA za Schengen kuadimika...
Wadau, nataka kupata uzoefu wenu ,, ni card ipi ya online unawezaitumia kulipia huduma mbalimbali za mitandaion. Mfano unataka kulipia kwa dolla ila umeweka hera kwa Tsh etc, je usalama wake.. Naomba wazoefu wasaidie kushare uzoefu.
WHO imetuma timu ya wataalam nchini humo ili kusaidia wahudumu wa afya wa kujiandaa kwa uwezekano wa mlipuko baada ya kurekodi visa viwili vya virusi vya Marburg, ugonjwa wa kuambukiza ulio familia moja na virusi vya Ebola, baada ya majibu ya vipimo vya awali kutoka kwa wagonjwa wawili...
Visa vya Homa ya Nyani (MonkeyPox) vimeongezeka zaidi ya mara tatu katika kipindi cha wiki mbili zilizopita Barani Ulaya. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WH) Kanda ya Ulaya, Dkt. Hans Kluge.
Amesema inahitajika hatua za haraka kukabiliana na kuenea kwa ugonjwa huo ikielezwa...
Habari zenu wakuu,
Nina jamaa yangu amekuwa invited na washikaji zake Mexico, anataka afahamu utaratibu wa kupata visa ya Mexico upoje kama ni mgumu kama wa Marekani au namna gani.
Kumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi.
Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama.
Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo.
1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na...
Jamani naombeni msaada wa mawazo juu ya kufanya malipo online nahitaji kulipia visa ya Canada Leo siku ya nne.
kila nikilipia sipati OPT code kutoka bank ili niingize kukomferm malipo, lingine nahitaji mwenye kujua nimaswali gani haswa wanauliza pale ubalozi wa Marekani maana Nina interview...
Habarini ndugu za leo na wakati huu.
Naomba kujua kama kuna mtu mwenye experience na visa.
MIMI NILI OMBA VISA MNAMO MWEZI WA 4 TATEHE 5 NA JANA NIMEPOKEA UJUMBE WA EMAIL, KUWA NIKA COLLECT MY PASPORT JE NAWEZA KUAGIZA MTU AKANICHUKULIA? MAANA NIPO NJE YA MJI KWA DHARURA KIDOGO.
Asanten
Shirika la Afya Duniani limesema bara la Afrika linashuhudia kuongezeka kwa visa vya COVID-19 vinavyotokana na kuongezeka maradufu kwa visa vya maambukizi vilivyoripotiwa nchini Afrika Kusini
Benido Impouma, Mkurugenzi wa Magonjwa ya yasiyoambukiza WHO-Afrika, Aprili 28, 2022 alisema, ndani ya...
Jamii forum Facebook account pamoja na Habari leo ni baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti hoja ya visa bandia zilizokamatwa zikitokea afrika kusini; Kwa urahisi wa rejea wanajamvi tunaweza kupitia google kuuliza habari hizi na tutapata taarifa za ndani. Tukio hili linaonekana kuripotiwa Kwa...
Kainchi ka Kenya rasmi kamekua kitovu cha Afrika, hauwezi kufanya lolote kwenye hili bara bila kubisha hodi Kenya kwanza.....
Kampuni kubwa duniani ya malipo imegundua hili na kuwekeza Kenya...
==========================
Global digital payments giant Visa has opened an innovation studio in...
Nimefuatilia kwa miaka mingi sana, kuna ukanda unahisi unatengwa, hawajatoa rais, na wana kiu sana ya kupata rais wa kutoka ukanda wao. wamesahau wamewahi toa mawaziri wakuu wawili.
Ukanda mwingine, wao wamepata bahati ya kupata mtu wa ukanda wa kwao aliyekuwa anawapendelea kwa kupeleka miradi...
Kila kukitokea tu 'Break' ya FIFA Calendar Kocha Nabi atataka Kuondoka kwenda Kwao au Ubelgiji na huwa hahitaji Yanga SC imlipie Tiketi ball kuna Mtu Mmoja upande wa Pili ndiyo humgharamia.
Mara kwa mara Kocha Nabi amekuwa akiombwa Kujikita zaidi na Yanga SC Kimafunzo ila Yeye kila ambapo Klabu...
POST DESCRIPTION
I. POSITION INFORMATION
SVN
IOM/DAR/009/2022
Position title
CVAC Client Service Assistant (Canada Visa Application Centre)
Position grade
G4
Duty station
Dar es Salaam
Durations
Six (6) Months Special Short-Term with possibility of extension
Position number
N/A...
Kampuni za malipo ya kifedha za Marekani, Visa na Mastercard zimezifungia Taasisi kadhaa za Kifedha za Urusi kutumia huduma zake ikiwa ni sehemu ya vikwazo kwa Urusi
Aidha, Kampuni hizo zimeahidi kutoa Dola za Kimarekani Milioni 2 kila moja kwa ajili ya kusaidia katika masuala mbalimbali ya...
Ndio umuhimu wa kuwa na elimu bora na wachapa kazi, wanang'ang'aniwa kote, mara UK, mara Dubai, ukizingatia diaspora wetu wanatuma hela nyumbani kuzidi mataifa yote ukanda huu, vyuo vyetu vinazidi kuzalisha vichwa na akili kubwa. Waende tu wakapate maujuzi zaidi ili wakirudi wawekeze nyumbani...
MKOA wa Dar es Salaam umetajwa kuongoza kwa idadi kubwa zaidi ya waliothibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa UVIKO-19 ukiwa na wagonjwa wapya 184 kati ya visa vipya 252 vilivyoripotiwa.
Visa hivyo vimeripotiwa katika kipindi cha Januari 29 hadi Februari 6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.