vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. daraja la kigamboni

    Kabla ya vita vya Israel vs Palestina, Russia vs Ukraine hili jukwaa mijadala ilikuwa inahusu nini?

    Ukisoma nyuzi za humu unaweza kuogopa. Utajua world war 3 ipo karibu siku mbili nyingi, Palestina/Israel itakuwa umeangamizwa ndani siku tatu zijazo. Hivi Ukraine ime survive vipi hadi leo, je watu wanaendelea na maisha kama kawaida?
  2. J

    Historia ya Brig. Jen. Ambrose Bayeke, Shujaa wa vita vya Kagera

    Wana historia wa vita vya Kagera / Uganda wamekuwa wakiwataja makamanda wakuu wa vita hivyo waliokuwa na vyeo vya Brigedia kwenda juu. Majina kama Abdalah Twalipo, Tumainieli Kiwelu, John Walden, Ahmed Kitete, na wengine yametajwa zaidi ktk historia ya vita vya Kagera. Lakini chini ya...
  3. Mr Chromium

    Niulize kuhusu mgogoro wa vita wowote duniani nitakujibu papo papo!

    Napenda kufuatilia sana migogoro na vita zinazoendelea duniani. Mambo ya geopolitics. Nipo hapa kukujibu maswali yako yote kuhusu migogoro mbalimbali duniani. swalii lolote
  4. GENTAMYCINE

    Kwahiyo Lebanon wanaowahifadhi Magaidi wa Hezbollah Kuishambulia Israeli walikuwa wanasubiri Kiongozi wao Auliwe leo ndiyo waseme hawataki Vita?

    BBC: Lebanon yasema haitaki Vita kwa sasa Kudadadeki zao waambieni Israeli ndiyo Kwanza imeanza Kazi na leo Netanyahu kasema Vita ndiyo imeanza rasmi.
  5. Expensive life

    Kuna vita ya kilonzi inaendelea hivi sasa kati ya Simba na Yanga kuelekea musimu mpya wa ligi

    Amini usiamini, simba na yanga wanajuana na ndio maana ni ngumu sana kwa vilabu vingine kugombea kombe lolote dhidi ya miamba hii miwili hapa nchini. Azam anajitahidi kufurukuta ila anazidiwa nje ya uwanja (ulonzi) Simba na yanga waneshaanza kupigishana shoti hivi sasa, wazee wanahaha huku na...
  6. Webabu

    Hawa watatu ndio wanaochekesha na kuabisha zaidi watu wa imani yao katika vita vya Gaza.

    Kwa kweli wanachokifanya hawa watatu si vichekesho peke yake bali ni kufru kwa dini yao na ni kuwafedhehesha wenzao.Wapo wengi ambao wamefanya kama hivyo lakini hawa wako juu katika orodha hiyo Kwanza ni Saudi Arabia ambayo mwanzoni mwa vita iliitisha mkutano mkubwa sana wa mataifa ya kiarabu...
  7. ward41

    Putin hawezi kushida hii vita, anamalizwa mdogo mdogo

    Utawala wa USA ndo wamwisho. Baada ya huo kuna utawala wa URUMI (European Union + NATO+ USA) Huu utawala maandalizi yake tayari ktk ulimwengu wa Siri. Hizi bases za USA anazoweka kila pembe ya dunia ni maandalizi ya huo utawala. Lengo ni kumpa nguvu za kijeshi mtawala ajayo ma kuvunjavunja...
  8. Analogia Malenga

    Je, ni kweli Makonda aliacha vita ya ushoga kwa sababu hii anayoisema maalim

    Maalim anasema Makonda aliacha harakati za kupinga ushoga kwa sababu ya mashoga kuanza kuwataja mabasha wao ambao hali ilikuwa mbaya. Je ni kweli?
  9. Roving Journalist

    Wananchi watakiwa kushirikiana na Serikali kupiga vita ukatili wa kijinsia

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Mhe. Daniel Sillo amewataka Wananchi kushirikiana kwa karibu na Serikali katika kupiga vita dhidi ya ukatili wa Kijinsia ikiwemo Ubakaji na Ulawiti Watoto kwa kisingizio cha kujipatia mali au utajiri. “Hakuna...
  10. MK254

    Netanyahu aweka masharti, kwamba hatakubali makubaliano yoyote ambayo yatasimamisha vita kabisa

    Kwamba kila kinachojadiliwa lazima kihusishe malengo ya hivi vita vya kufanya usafi pale Gaza. Prime Minister Benjamin Netanyahu set out Israel’s redlines for a hostage and Gaza ceasefire deal ahead of a critical Doha summit on the matter Wednesday, which will be led by CIA Director William...
  11. chiembe

    Global Powers zimekwisha baada ya vita baridi ? Usijidanganye, MK ya Jackob Zuma kwa udhamini wa Russia kidogo iiondoa ANC,

    Still dunia ina big brothers, Rutto alipokaribishwa meza kuu na NATO akasahau wachina wamewekeza mapesa mengi, na Russia inapigana na NATO.. Rais wa sasa wa South Africa ni pro western. Dola milioni kadhaa wanayumbisha nchi, Non Allignment is the way to go. Rutto pro western, Raila Pro...
  12. Ngongo

    Paul Makonda na Mrisho Gambo wako katika vita kubwa Arusha

    Heshima sana wanajamvi. Mkuu wa Arusha Mh Makobda aka Bashite na Mbunge wa sasa Arusha Mjini Mrisho Gambo wapo katika vita kubwa ya kuomba ridhaa ya chama ya kuwania ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM. Makonda kupitia harakati mbali mbali ikiwemo kuandaa utatuzi wa kero za kisheria hasa...
  13. Mturutumbi255

    Ujanja wa Toto: Vita vya Soda ya Bure na Mama Kamau

    Ilikuwa Jumamosi asubuhi na jua lilikuwa linawaka vizuri. Majirani wa mtaa wa Mjini Ndani walikuwa wanapanga mipango ya weekend yao. Lakini kijana mmoja, anayeitwa Toto, alikuwa na plan ya kipekee kabisa. Toto alikuwa na sifa ya kuwa na ujanja wa kijinga lakini wenye kuleta matokeo. Alikuwa...
  14. Paul Alex

    Vita kuu ya tatu ya dunia imeshaanza, sababu na matukio tukitumia kumbukumbu ya vita kuu ya pili ya dunia

    Hegemony ndio sababu ya hii vita. US + NATO hawakujua wapi waishie kwenye kuitawala dunia.. Kama wangekua na heshima kidogo kwa Russia na China na North Korea, na Vietnam Basi tusingekuwa na situation tuliyonayo leo. Naomba nianze mada na moja kichwani, Ujerumani ni bomu lisilo la kuamini! Hiyo...
  15. MK254

    Mataifa ya waarabu yaanza kuagiza raia wake waondoke Lebanon, huku Israel ikianza maandalizi ya kuifanya Lebanon iwe kama Gaza

    Lebanon iliachia nchi yake itumike na magaidi wa kiislamu, sasa leo hii inapotaka kufanywa kama Gaza, waarabu wanaihama badala ya kubaki wapambane dhidi ya Israel. ================== The Kuwaiti Foreign Affairs Ministry has called on its citizens who are currently in Lebanon to leave the...
  16. Pearce

    Urusi ni taifa lililolipia gharama kubwa kwenye Vita ya Pili ya Dunia 1939-1945

    TAIFA la Urusi lilikuwa chanzo cha Vita ya Dunia, Wakati Siasa za kifashisti zinazaliwa na kushamiri hasa Ulaya na Utanuzi wa mipaka kwa kuvamia nchi jirani Molotov-Ribbentrop Pact 1939 Malengo wakigawana Ulaya Mashariki na Ndio ikawa chanzo cha vita ya pili ya Dunia sababu hatua za awali...
  17. U

    Majenerali wakuu wa Jeshi la Israel wameidhinisha mpango ya vita vya kuishambulia vya Lebanon

    Breaking: Majenerali wakuu wa Jeshi la Israel wameidhinisha mpango ya vita vya kuishambulia vya Lebanon Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha huko middle east. Mayahudi wamechoka na uchokozi wa magaidi wa Hezbollah na dasa wameamua kujibu mapigo Majenerali wa ngazi za juu kabisa wa Jeshi la Israel...
  18. Ritz

    Hezbollah imekataa mazungumzo yoyote na Israel wataka vita waache kuwaonea raia wa Gaza

    Wamakumbi. BREAKING: 🇱🇧🇮🇱 Hezbollah imekataa mazungumzo yoyote na Israel. Vita vya kiwango kamili ni hakika zaidi Mjumbe Maalum wa Marekani, Amos Hochstein, anatangaza kwamba juhudi za kidiplomasia za kutuliza mivutano kati ya Israel na Hezbollah zimeshindwa rasmi, kwani Hezbollah...
  19. George Betram

    Kiongozi wa Hezbollah: Hakuna sehemu itabaki salama ndani ya Israel

    Nasrallah ameipa onyo Israel kuhusu vita inayotazamiwa kutokea baina ya Lebanon na Israel, lakini pia Hezbollah imetoa onyo kwa nchi ya Cyprus endapo itakubali kutumiwa na Israel katika vita hivyo. Inaonekana Hezbollah hawatanii, Israel ana kazi kubwa ya kufanya hapo mashariki ya kati...
  20. ndege JOHN

    Mwenye footage za vita frontline naomba anisaidie

    Nitashukuru mwenye kunisaidia video au link o zenye maudhui ya vita aidha body cam au za drone au ambazo ziko filmed kuonyesha mapigano baina ya pande mbili zote Kwa pamoja.. YouTube zipo hasa za vita gaza na huko Ukraine ila tatizo zinaonyesha upande mmoja tu mimi nataka video iwe zinaonyesha...
Back
Top Bottom