vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Komeo Lachuma

    Putin amechoka na Vita na Ukraine. Apongeza wazo la kumaliza vita yake na Ukraine

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema uhusiano kati ya nchi yake na Marekani baada ya uchaguzi wa rais wa Marekani utategemea mtazamo wa nchi hiyo, huku akiyapongeza maoni ya Donald Trump kuhusu nia yake ya kuumaliza mzozo wa Urusi na Ukraine. Putin ameyasema hayo wakati mzozo kati ya nchi yake...
  2. econonist

    Majeshi ya Korea kaskazini yaingia kuisaidia urusi kwenye vita

    Kwa taarifa ya Sasa ni kwamba jeshi la Korea Kaskazini likiwa na Idadi ya wanajeshi 3000, limeingia Urusi tayari kupigana vita na Ukraine. Kitendo hiki Cha Korea Kaskazini kitapelekea nchi zingine kuingia upande wa Ukraine hivyo kurefusha vita hivi na kuvifanya vita vya tatu vya Dunia .
  3. Komeo Lachuma

    Hii inamaanisha nini? BRICS Watoa Wito wa kukomeshwa Vita ya Urusi na Ukraine na pia Mash. Ya Kati

  4. M

    HIVI WACHAWI HUWA WANAMSAADA GANI KWENYE VITA VYA LEBANON NA GAZA?

    Hawa watu huwa wana msaada gani? Maana mbona science ndio inaonekana ndio kila kitu...si dini wala uchawi unaweza kusaidia
  5. Marashi

    Tanzania imesaini MoU na Iran leo

    Kutoka Tehran, IRAN taarifa zimesambaa kutokana na Taarifa iliyowekwa kwenye habari picha kwa mujibu wa Chombo cha Habari cha Iran.
  6. I

    Wanajeshi wa Korea Kaskazini wako nchini Russia kuisaidia nchi hiyo kwenye vita vyake na Ukraine

    Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi ya Jamhuri ya Korea imetoa picha za satelaiti zinazodaiwa kuwaonyesha wanajeshi wa DPRK katika uwanja wa mazoezi wa Sergeevka huko Primorsky Krai, karibu na Vladivostok, na katika kituo cha kijeshi huko Khabarovsk. Inadaiwa kuwa vikosi vya ziada vya DPRK vimewekwa...
  7. A

    Sababu kuu za vita na mgogoro kati ya Israel na Lebanoni

    1. Mgogoro wa Nchi na Mipaka: Mgogoro wa ardhi ni moja ya chanzo kikuu. Eneo la kusini mwa Lebanon, hasa Shabaa Farms, ni sehemu yenye utata ambapo Israel na Lebanon wanadai umiliki. 2. Kundi la Hezbollah: Hezbollah ni kundi la wanamgambo na kisiasa lenye makao yake Lebanon, ambalo linapinga...
  8. Waufukweni

    Hamisi Kigwangalla: Siasa na Uongozi ni Vita, niliomba kujiuzulu mara mbili, bila kulindana mnajikuta mnamalizana

    Kumbe Hamisi Kigwangalla aliwahi kuandika barua za kujiuzulu Uwaziri mara mbili akiwa Wizara ya Maliasili, akidai sababu ni vitu vya kipuuzi na masuala ya umbeya. Barua ya kwanza ilichanwa mbele yake, na ya pili hajui iliishia wapi, lakini hakuondolewa baada ya vikao kadhaa. "Mimi nimewahi...
  9. Bob Manson

    Vita kuu ya tatu imekaribia, maandalizi yamekamilika, dunia kupata mtawala baada ya machafuko

    Enyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna atakaye faidika nayo si waislamu wala wakristo. Midle East ndyo kitovu cha dunia, asili na historia...
  10. ndege JOHN

    Sheria ya kimataifa ya vita kiuhalisia haitekelezeki

    kuna sheria inasema kwamba mwanajeshi aliyeishiwa risasi akijisalimisha kwa jeshi la upinzani anapaswa aheshimiwe na alindwe apewe huduma za afya chini ya uangalizi. Tukija kwenye uhalisia assume hata wewe upo kwemye uwanja wa mapambano halafu adui yako aliyekuwa anataka kukuaa amekukosa kosa...
  11. green rajab

    China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

    Jeshi la China limesema lipo tayari kukishughulikia kisiwa cha Taiwan. Linakirudisha kisiwa chake kilichoasi na imeshapeleka zana vita eneo la oparation.....meli na ndege vita kuzunguka kisiwa chote BREAKING ⚡🚨 Chinese army Helicopter monitoring in Taiwan to warn US and #Taiwan joint forces...
  12. J

    Vita nyingine by Communists iko mbioni

    https://x.com/MattWallace888/status/1845662189257895977
  13. Yoda

    Vita kati ya Uingereza na Zanzibar ya Sultan mwaka 1896 ndio vita fupi zaidi katika historia ya dunia

    Vita kati ya Uingereza na Zanzibar ya Sultan mwaka 1896 ndio vita fupi zaidi katika historia ya dunia, vilidumu kwa dakika 38 tu. Vita yenyewe ilipiganwa tarehe 27 August kuanzia saa tatu na dakika mbili mpaka saa tatu na dakika arobaini ikawa imeisha.
  14. Abdulrahmanyusuph03

    Mtazamo wa PLO Lumumba kuhusu vita ya Israel na Palestine

    P.L.O. Lumumba ni profesa wa Kenya anayejulikana kwa maoni yake makali kuhusu masuala ya kisiasa. Katika mazungumzo kuhusu vita vya Israeli na Wapalestina, anasisitiza mengi muhimu kwa mataifa kwa ajili ya suluhu. Fuatilia ili upate ufahamu mzuri kuhusu mzozo huu.👇🏿 Mzozo wa Israeli na...
  15. green rajab

    Russia yasema Hezibollah wanafanya vyema kwenye uwanja wa Vita

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilisema jana Jumatano kwamba Hezbollah bado iko imara na haijapoteza uimara wake kwenye uongozi licha ya mashambulizi ya Israel, ambayo Moscow ilisema yana lengo la kuchochea mgogoro wa kivita katika Mashariki ya Kati. "Kwa mujibu wa tathmini zetu, Hezbollah...
  16. green rajab

    Israel yatangaza haitagusa kamwe Nuke sight za Iran ili kuepisha Vita

    Katika kikao cha Leo Benjamini Netanyahu pamoja na majenerali wa Wanamgambo wa Israel wameafiki kushambulia sehemu zingine za Kijeshi za Iran ila kamwe hawatathubutu kugusa Kambi ya Nyuklia ya Iran ili kuepuka kipigo kingine Cha aibu. BREAKING: ISRAEL WILL NOT TARGET NUCLEAR SITES IN IRAN...
  17. G

    Nawafafanulia vipi wanaodhani Iran na vikundi vyake wanashinda vita wakati Israel inanyakua vichwa vingi vya viongozi wa juu?

    Wao husema wanakipenda kifo kama ilivyo kwa watu wa kawaoda wanavyothamini uhai, ajabu ni kwamba Israel ikitungua viongozi wakuu kuna vilio na misagano ya meno. Israel inaendelea kula vichwa vya viongozi wakubwa kwa spid ya ajabu, Pamoja na kujificha kwenye mahandaki yenye zege zito, Israel...
  18. B

    Naibu wa Nasrallah aihutubia dunia kuweka mustakabala wa vita Lebanon

    Bila shaka Natenyahu naye alikuwa mbele ya runinga: Kwa muda wote hadi sasa Israel imeshindwa kusonga mbele kusini mwa Lebanon. Uwezo wao uko pale pale, na mpambano kaskazini mwa Israel yamepanuka. Hawajachagua kiongozi na kwa wakati wao watamchagua. Kamwaga pongezi za kutosha kwa HAMAS...
  19. K

    Gharama za vita

    Marekani imetumia $22.76bn kusaidia vita vya Israel dhidi ya Gaza na operesheni dhidi ya Houthis nchini Yemen, kulingana na ripoti ya Taasisi ya Watson ya Chuo Kikuu cha Brown. Msaada wa kijeshi wa dola bilioni 17.9 kwa Israeli tangu vita vya Gaza kuanza mwaka mmoja uliopita ni jumla ya juu...
  20. M

    VITA VYA MAHADUDI NA WAKIRISTO

    Mateso ya Wayahudi huko Hispania na Inquisition (Karne ya 15) Mnamo karne ya 15, Wayahudi waliokuwa wakiishi katika Hispania ya Kikristo walikumbwa na mateso makali wakati wa Inquisition ya Kihispania. Wengi walilazimishwa kubadili dini kuwa Wakristo (anaitwa "Conversos"), na wale waliokataa...
Back
Top Bottom