vitabu

  1. Vijue Vitabu vilivyotafsiriwa katika Lugha nyingi Duniani

    1. Biblia Idadi ya Lugha: Zaidi ya 3,600 (kwa sehemu au kitabu kizima). Maelezo: Kitabu cha kidini cha Ukristo kinachojumuisha Agano la Kale na Agano Jipya. Biblia imechapishwa kwa lugha nyingi zaidi kuliko kitabu chochote duniani. --- 2. Qur'an Idadi ya Lugha: Takriban 200. Maelezo...
  2. D

    Watu wa dini; hivi mpira wa miguu umetajwa kwenye vitabu? Mbona Kila binadamu anazaliwa anaupenda na kuujua?

    Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza! Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
  3. LGE2024 Wiki moja baada ya agizo la RC Kilimanjaro: Wizi wa Vitabu vya Majina ya Wakazi, Polisi mmefikia wapi?

    Ni zaidi ya Wiki moja sasa tangu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, alipotoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua wale waliohusika katika wizi wa vitabu vya majina ya wakazi katika kituo cha Josho, kijiji cha Kikelelwa, wilayani Rombo. Tangu wakati huo, hakuna taarifa...
  4. Maktaba yapokea Vitabu Kutoka Songea, Ujerumani na Marekani

    Nawashukuru ndugu zangu kupita kiasi. Kila siku wananikumbuka na kuniletea vitabu ama wavitume au kuja wenyewe maktaba kwa miguu yao. Abdulaziz Ali Khamis yeye anatoka Mombasa. Mara kwa mara huja nitembelea Maktaba. Safari hii alikuja Tanzania akafika hadi Songea kutembelea Makumbusho ya Vita...
  5. WACHAPISHAJI WA VITABU

    Natumaini wote mnaendelea vizuri? Kwa heshima na taadhima naombeni kama kuna mwandishi au mchapishaji anisaidie kupata mchapishaji wa vitabu kwa bei nafuu,yaani anipe mapendekezo ya wachapishaji kadhaa ambao ni very affordable. Lengo ni kutoa vitabu vyangu viwili nikiwa huru, yaani nitauza...
  6. Natafuta vitabu hivi

    Habari, Ninaomba mtu mwenye hivi vitabu aweke hapa kwenye uzi huu. Nitashukuru sana. NB Nilishapost sana kwenye zile threads za vitabu lakini watu hawaoni hivo sikufanikiwa kuvipata ndio kusudi la kufungua uzi huu. Majina kwa kingereza 1. Thus the bell rings kaandika Honore ngbanda 2. Inside...
  7. Niliacha kusoma vitabu nilipofikisha miaka saba

    Yeeeerrrrreeeeh! Niliacha kusoma vitabu nilipofikisha miaka saba na sitasoma tena kitabu chochote hadi nife. Siwezi kusoma vitu vilivyoandikwa na wanaume wengine. Huo ni udhaifu. Yani dume zima unasoma vitu na mawazo yalioandikwa na wanaume wengine that is not right, fundamentally wrong and...
  8. J

    Hivi mnajuwa hakuna waandishi wa vitabu walijiona wasomaji wa vitabu vyao kama waandishi wa vitabu vya dini

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza. Yaani hivi mwandishi wa kitabu yoyete mwenye kuijuwa kazi ya uandishi vizuri. Kitu cha kwanza anacho kifanya ni kujuwa walengwa au wasomaji wa kitabu chake ni watu wa aina gani? Kwa mfano ukiandika kitabu kwaajiri ya watoto, lazima...
  9. Maktaba Imepokea Vitabu Kutoka Makumbusho ya Maji Maji Songea

    MAKTABA IMEPOKEA ZAWADI YA VITABU NA PICHA KUTOKA MAKUMBUSHO YA MAJI MAJI SONGEA Ndugu yangu Abdulaziz Khamis kutoka Kenya leo kanitembelea na kuniletea vitabu kutoka Makumbusho ya Maji Maji, Songea. Akiwa Songea kanirushia picha nyingi alizopiga hapo Makumbusho. Allah amjaze kheri.
  10. Mwendo wa kahawa na vitabu tu. Kweli pesa ni sabuni ya roho aisee!

    Nakaribisha makasirko aisee
  11. Vitabu vya Apocalypse, ambavyo kwa kawaida huitwa vitabu vya Apokrifa au apokaliptiki, sio maandiko matakatifu ya Mungu

    Vitabu vya Apocalypse, ambavyo kwa kawaida huitwa vitabu vya Apokrifa au apokaliptiki, sio maandiko matakatifu ya Mungu kwa maana ya kuwa sehemu ya Biblia Kanoni. Vitabu vya Apokrifa ni maandiko ya dini yaliyoandikwa katika nyakati za kale lakini hayakupokelewa rasmi kuwa sehemu ya Biblia Kanoni...
  12. Ongeza maarifa Kwa kusoma vitabu

    Ukipata muda ni vyema kuongeza maarifa Kwa kusoma vitabu mbalimbali, ni muhimu vitabu vinaficha mengi mno hicho nimeweka hapo ni KIZURI sna na kitakusaidia sana kimeandikwa na Joel Arthur huyu mwandishi anajua kuandika na napenda sana kusoma vitabu vyake. Hebu na wewe jifunze hapo;
  13. Kwanini vitabu vya dini havijataja sayari zingine zaidi ya Dunia?

    Dini zimekuwa sehemu muhimu ya maisha ya binadamu kwa maelfu ya miaka, zikitoa mwongozo wa kimaadili na kiroho. Hata hivyo, kuna hoja mbalimbali zinazotumiwa kuonyesha kwamba dini ni utapeli. Moja ya hoja hizi ni kwanini vitabu vya dini havijataja sayari nyingine zaidi ya Dunia. Vitabu vya...
  14. Elimu si kipaumbele: Hela za Mabango na wasanii zipo za vitabu hakuna!

    Mtaala wa form 5 unasitishwa kwakuwa hakuna fedha za vitabu, holi siyo jambo la ajabu kwakuwa hienda si kipaumbele cha mhusika , Waziri wa Elimu na Kaatibu mkuu. Wamelala nyumba ya seriaklai na gari ya serikali ya milioni 450 ianguruma hapo nje. Haya, tuendele kunywa mtori, nyama zipo chini.
  15. Nanunua vitabu. Visiwe vya masomo ya shule

    Kama bango lisemavyo, vitabu vyovyote cha mwaka wowote, mwandishi yoyote vya ambavyo unavyo husomi au huvihitaji basi mimi navihitaji hivyo. Popote vilipo duniani utaratibu wa kuvipata tutaratibu Karibu PM tuyajenge
  16. Nahitaji vitabu hivi nibadili maisha yangu milele

    1. Emotional Decision/Logical decision 2. Art ot being alone 3. The power of belief 4. Everything matter 5. How to sell a pen
  17. Elite Bookshop Sabasaba International Trade Fair

    ELITE BOOKSHOP SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR Siwezi kupita duka la vitabu bila kuingia ndani. Achilia mbali kuwa Elite ndiyo wachapaji wa kitabu changu cha watoto, "The School Trip to Zanzibar," kitabu kinachotumika kusomesha Kiingereza na wakati huo huo mwanafunzi anajifundisha historia...
  18. Picha za kurasa za vitabu hivi mbona zinatisha huwa vinafundisha nini?

  19. M

    Vitabu gani vinavyopendelewa watu vyenye mafunzo ya upambanaji?

    Nilikua nauliza vitabu gani vinavyopendelewa watu vyenye mafunzo mazuri katika maisha na hustling?
  20. Natamani kutafsiri vitabu ila sijui wapi nianzie naomba muongozo tafadhari

    Baada ya kusoma kitabu cha fikiri utajirike (Think& grow rich) nimetokea kuvutiwa nami kutafsiri vitabu ambapo nia yangu nikuja kutafsiri kitabu kama cha human nature, unlock it by Dan Lok na vingine vingi ila nikaona nisiishie hivi hivi nikaingia Google kutafuta mwanga kidogo lakini nimeishia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…