vitendo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Akacha mechi kwasababu hataki kuunga mkono vitendo vya kishoga

    Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba zenye rangi za upinde (rainbow flag). Idrissa inaeleza kuwa hakutaka kucheza mechi hiyo sababu...
  2. M

    Chama cha Mapinduzi na Mei Mosi 2022

    Chama cha Mapinduzi kinawashukuru na kuwapongeza wafanyakazi wote nchini kwa kuendelea kuitekeleza kwa Vitendo Ilani yao ya Uchaguzi 2020|25, Ifahamike kuwa kila mfanyakazi anayefanya kazi Serikalini lazima awe ni Mwana-CCM ,
  3. M

    Hungary yawaumbua wenzake: Kwa vitendo kampumi zao zinanunua gesi ya urusi kwa ruble lakini wao kwa maneno wanadai hawakubali kununua gesi kwa ruble

    Waziri wa mambo ya nje wa Hungary aqmeamua kuwaumbua wenzake wa nchi za ulaya ambao viongozi wao wanajitokeza kwenye vyombo vya habari na kudai hawakubali kununua gesi ya urusi kwa ruble, wakati wanajua kuwa wameyaruhusu makampuni yao yanayoagiza gesi kununua kwa ruble kama urusi inavyotaka...
  4. P

    Wakati Dunia ikielekea katika vita vikuu vya tatu (WW3) Bajeti ya Kilimo iongezwe na itekelezwe kwa vitendo

    Wasalaam Wakati sisi tukiwa na mipango ya miaka minne tu mbele ya maendeleo na jinsi itakavyokuwa nchi na sio dunia, wenzetu wa huko mbele huona miaka mia ijayo kuwa dunia itakuwa vipi? Hotuba ya juzi ya makamanda wa USA ilionyesha kabisa kwamba dunia si salama na dunia iwe tayari kukabiliana...
  5. Webabu

    Kwanini UN haikemei kauli na vitendo vya kichokozi vya US na UK kwa Urusi

    Umoja wa mataifa UN mara nyingi umeomba vita baina ya Urusi na Ukraine visitishwe haraka.Papo hapo kila leo Marekani na Uiengereza wanatoa ahadi za wazi wazi za kupeleka silaha kwa Ukraine ili iendeleze vita vyake na Urusi kwa niaba yao. Jee UN hawasikii au wanasubiri nini kukemea vitendo hivyo...
  6. sky soldier

    Ushirikina walioufanya Simba ugenini ni kutuchafua watanzania, Vitendo vyao vina madhara makubwa sana juu ya fikra za wageni kwa watanzania kiujumla

    Ni wakati sasa kwa TFF kutoa adhabu kali kwa hawa washirikina. Jambo hili halikubaliki hata kidogo. Yaani tunaonekana Watanzania ni watu wa juju! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo. Unafanyaje ushirikina mbele ya makamera yote yale ukiwa nchi ya ugenini ? Hiki kilichofanyik ni kinyume...
  7. Jumanne Mwita

    Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji, kufulia, shampoo, sabuni za miche na chooni

    UTANGULIZI: SURA YA KWANZA UTENGENEZAJI SABUNI ZA MAJI SABUNI ZA KUNAWIA MIKONO SABUNI ZA CHOONI SABUNI ZA KUFULIA SHAMPOO UTENGENEZAJI SABUNI ZA MICHE MAFUTA YA MGANDO (Kupaka ) SEHEMU YA PILI UTENGENEZAJI WA : BATIKI AINA ZOTE UTENGENEZAJI VIKOI SHANGA, HERENI, BANGILI UTENGENEZAJI ZURIA...
  8. BigTall

    Serikali: Kuna matukio 19,726 ya Ubakaji Tanzania tangu Mwaka 2019-2022

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema takwimu za matukio ya vitendo vya ukatili Nchini vilivyoripotiwa kwenye vituo vya Polisi kuanzia mwaka 2019 hadi Machi, 2022 ni 27,838. Masauni amesema hayo leo Aprili 6, 2022 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge la Viti Maalum...
  9. M

    TANESCO imekithiri kwa vitendo visivyo vya kiutumishi

    Wana jamvi nashindwa kuelewa kama sehemu zingine za nchi hii zinapata shida ya kuunganishiwa umeme kama Nzega haswa Nzega Mjini. Kumekua na changamoto kubwa ya kupatiwa huduma ya maunganisho ya umeme hata baada ya kufanya malipo. Mfano mteja anafanya malipo na ndani ya miezi miwili, mitatu...
  10. kavulata

    Vitendo hivi vya Viongozi wetu wakuu vinaibua harakati za kikabila Tanzania

    Kama kuna barabara, daraja, kiwanja cha mpira, benki, uwanja wa ndege, kiwanda, shule, chuo, umeme, maji, au kikosi cha jeshi havikujengwa kwenye kijiji, kata, wilaya, mkoa au kanda kabla ya mtu wa kutoka kabila lao, kijiji chao, kata yao, wilaya yao, mkoa wao au kanda yao hajakuwa kiongozi...
  11. Mshamba wa kusini

    Sahili za vitendo (practical) kada network administrator wanatoa maswali ya namna gani?

    Habari Nimeitwa kwenye practical ya utumishi kada network administrator, ningependa kupata hints jinsi namna maswali yanavyotoka na ni part ipi nijiandae vizuri.
  12. L

    Marekani inatakiwa kuwajibika kwa vitendo kupunguza utoaji wa gesi chafu

    Upunguzaji wa utoaji wa gesi chafu hauwezi kufanikiwa bila ya kuwa na vitendo halisi kutoka kwa nchi zilizoendelea. Katika kipindi cha Utawala wa rais Donald Trump, Marekani iliojiondoa kwenye mkataba wa Paris na kuonyesha kuonyesha dunia mtazamo usiofaa kwenye juhudi za kulinda mazingira. Hata...
  13. B

    Chadema mlituambia mtaleta maendeleo ya watu; wananchi wanataka mtekeleze ahadi yenu Kwa vitendo. Mbinu nawapa

    Njia ya Mpinzani kuwaletea wananchi maendeleo nikumshinikiza mwenye dola aelekeze nguvu kwa wananchi na asilale. Njia ya mwenye dola yakuwasaidia wananchi nikuwapelekea mahitaji Yao kama walivyoomba na kama ulivyoahidi. Uchaguzi wa 2020 hatujui kama mlishindwa au mlishinda ila tunachojua ninyi...
  14. B

    Wananchi Lindi wacharuka wadai haki kwa Vitendo

    Hii clip inajieleza: Wananchi hawa wa kata ya Mandawa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi wameona wala isiwe taabu. Wamejielekeza vilivyo kwenye mada. Vinginevyo chukueni vyenu wala tusijuane! Haki ni zetu sisi. Heshimuni matakwa ya watu.
  15. Bushmamy

    Wito watolewa kwa jamii kutoa taarifa za vitendo vya kikatili .

    Msaidizi wa kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Arusha ACP J. Kaijanante ametoa wito kwa jamii kushirikiana na jeshi la polisi katika kupambana na vitendo vya kikatili kwa kutoa taarifa za vitendo hivyo katika vituo vya jeshi hilo. Pia wadau wa haki za wanawake na watoto wemeaswa kutorudi...
  16. Roving Journalist

    Prof. Ndalichako: Serikali haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu

    Serikali imesema haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu kwani ni ukosefu wa maadili na vinashusha heshima ya wanataaluma pamoja na taaluma katika taasisi hizo. Kauli hiyo imetolewa Desemba 07, 2021 Jijini Dare es Salaam na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof...
  17. Opportunity Cost

    Rais Samia anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo

    Heko wadau.. Rais wa Tanzania mh.Samia Suluhu Hassan anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo na bila makelele .. Kwa mda mfupi Sana amevutia maelfu ya wawekezaji katika maeneo mbalimbali hususani viwanda . Tulikuwa na Rais ambaye alikuwa anajigamba Sana Kuwa Rais wa viwanda lakini ndani ya...
  18. Ngungenge

    January Makamba hawezi kufanya propaganda mbele ya Rais Samia. Huu ni wakati wa vitendo, January chapa kazi

    Mifuko ya plastic nchi hii iliondolewa bila hata Mende kuguswa kitu ambacho mwendazake na serikali nzima hawakuamini. Wananchi wa Tanzania walistaajabu uwezo na akili yake na mikakati yake kufanikisha suala la mifuko bila kutumia polisi wala vyombo vingine vya Usalama. Kila moja anakumbuka wivu...
  19. beth

    TAMWA: Jamii inawajibika kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia

    Kuelekea maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kila mmoja katika Jamii ana wajibu wa kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia na kutoa Elimu juu ya madhara ya vitendo hivyo Usawa wa Haki, Uwajibikaji na Elimu kwa wote ni muhimu kupunguza matukio ya unyanyasaji wa kijinsia TAMWA
  20. Dodoma Demand

    Sheria ya madini kurudisha Ujamaa wa Nyerere kwa vitendo?

    Poleni na majukumu ya kulijenga taifa, Hapo kabla ya sheria mpya ya madini ya mwaka 2017,haijatungwa na kupitishwa, wakaguzi wa madini migodini walikuwa wanaenda kwenye vituo vya ukaguzi, hasa migodi mikubwa na ya kati kwa utaratibu wa mzunguko/rotations yaani leo upo hapa kesho pale, ili...
Back
Top Bottom