KASSIM MAJALIWA: SERIKALI IMEDHAMIRIA KUTEKELEZA DHANA YA UCHUMI JUMUISHI KWA VITENDO
WAZIRI MKUU Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kutekeleza dhana ya uchumi jumuishi kwa vitendo kwa kuweka vipaumbele...
Kumekua na matukio mengi ya vitendo vya ukatili dhidi ya watoto wetu wa kike na wa kiume. Kwa ujumla yapo matukio mengi ya kikatili kwa watoto lakini katika makala hii nitazungumzia zaidi ubakaji na ulawiti kwa watoto wa kike na wa kiume. Katika hali ya kusikitisha sana matukio haya yamezidi...
Kulingana na tunayosikia katika utetezi wa Ole Sabaya huko Arusha, ati alikuwa akiagizwa kufanya vitendo vya kihalifu na Rais Magufuli.
Kama itathibitishwa kuwa ni kweli basi hili linatoa picha ya uvunjifu mkubwa wa sheria uliokuwa ukitekelezwa na Magufuli katika Awamu yake.
Kuna minong'ono...
Tangu utangaze kuwa umesikia "kelele" zetu kuhusu tozo za simu na siyo hoja na kwamba serikali yako ya CCM itazishughulikia, bado zimeendelea kuwepo na kutuumiza.
Busara za kibinadamu zinataka baada ya kuzisikia na kuahidi kuzishughulikia tozo hizi zingesimamishwa mara moja hadi maamuzi mapya...
Mkutano wa uchumi na biashara kati ya Marekani na Afrika ulimalizika hivi karibuni. Wachambuzi wanasema kuwa serikali ya awamu mpya ya Marekani inayoongozwa na rais Joe Biden inatarajia kutumia fursa ya mkutano huo kudhoofisha ushawishi wa China barani Afrika. Hii ina maana kuwa Marekani...
Zanzibar vitendo vya udhalilishaji Kwa wanawake na watoto vinazidi kushamiri Kila siku inayo itwa Leo hivyo basi watoto wa kizanzibari hususani wa wanafunzi wa shule wapo hatarini kupata mimba Kwa hujibu wa takwimu ni wanafunzi wa shule za msingi ndio wanaopatwa na majanga haya
Namna ya...
Haki ya Watanzania kuweza kukutana na kufanya mambo yao kwa amani ni haki ya msingi kabisa na ni haki iliyopo kikatiba. Mtu mmoja au kundi la watu wachache kwa nini tuwaachie waikiuke hiyo haki na sisi tunaishia tu kulalamika halafu muda si mrefu tunasahau!!
Katiba ya sasa inakiukwa waziwazi...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ikumbukwe kuwa hayati Magufuli kama mwanafamilia alichangia Tsh. 38,000,000 katika mchango wa wanafamilia ili kuwezesha malipo ya faini ya mchungaji Msigwa.
Pamoja na ukweli kwamba fedha hizi zilitumika kumtoa Freeman Mbowe kwani...
Kama kichwa kinavyo jieleza
Namtafutia mwanafunzi wa Social work mahali pa kufanyia mazoezi ya vitendo.
Nimeandaa shilingi laki moja (100,000 Tsh) kwa atakaye fanikisha.
Ahsanteni
Habari wadau.
Imekuwa kawaida kusimamishwa na Askari wa barabarani kwa ajili ya ukaguzi. Huu ni moja kati ya wajibu wao wa msingi kwa ajili ya kuhakikisha usalama wetu watumia vyombo vya usafiri pamoja na wote wanaotumia barabara au wenye shughuli zao pembezoni mwa barabara.
Baadhi ya askari...
Natanguliza salamu ya Amani na upendo wangu kwenu wote pia nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Baadhi ya viongozi wamekuwa wakisema vijana waliosoma wachangamkie fursa za kujiajiri kwa kulima ,kufuga kuku,kuuza machungwa na biashara nyinginezo ili waweze kujiajiri na...
Sasa watu wamebaki wanapambana na legacy ya JPM. Basi tuseme tukwamba pengo lake halitozibika mpaka watakapo gombana na legacy na kuishinda.
Na legacy ya huyu JPM haiwezi kufutwa kwa maneno, never. Namimi nasema Legacy inatengenezwa kwa vitendo na sio maneno, wakuifuta legacy inatakiwa aifute...
Ripoti ya Haki za Binadamu inaonyesha kuwa matukio ya mauaji ya wanawake kuuliwa na wenzi wao kutokana na sababu mbalimbali kubwa ikiwa wivu wa mapenzi yaliongezeka zaidi mwaka 2020 ikililinganishwa na mwaka 2019.
Kulingana na ripoti hiyo iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.