Wazazi wengi mmekuwa kikwazo cha watoto wenu katika kufikia ndoto zao na malengo yao. wazazi wengi mnawalazimisha watoto wenu kufanya vitu mnavyovitaka nyie na sio wanavyovipenda wao .
Mnawanyanyasa watoto na kuwafanya waishi maisha ya kulazimisha sana katika jamii zao. Unakuta mzazi...
Wadau naanza kuwaza ukienda kununua vitu vilivyokuwa tayari ndani vifungashio tupimiwe tena nimenunua sukari kg 25 yaani nyepesi ata mjukuu wangu anaibeba mafuta lita 20 aisee unainua na kidole gesi hizi za kuletewa nyumbani na pikipiki nazo wiki imeisha yaaani tambi pakti moja njiti mia...
Salute mate;
Wanasemaga kwamba many of our battles we fight don’t exist, we make them exist because we create our own Demons. Kwamba mambo mengi yasiyo kawaida tunayoyaona hua sio halisi ila ni sisi tunayafanya yawe halisi, mfano unaweza kua unatembea njiani usiku ukaanza kuona mti Fulani...
Makusanyo ya kodi za Tanzania hayafikii malengo kwa sababu ya vitu vitatu vikubwa
1. Machinga: Hatuwezi kuwa na kundi la watu wasiolipa kodi na wawe na haki kuliko walipa kodi. Huwezi kuruhusu wamachinga kuuza vitu vipya bila kodi na sehemu yoyote na hata mbele ya maduka ya walipa kodi...
Katika kuishi kuna wakati binadamu anaona vitu mpaka anashangaa. Sasa leo nmeamua kushare tukio ambalo kimsingi lilinitia huzuni sana na stasahau.
Kwa ufupi lilikuwa hivi; kulikuwa na dada mmoja jina lake X alikuwa ni mke wa jamaa jina lake Y wote wenyeji wa Mbeya. Mke akapangwa kikazi mkoa wa...
Je mwanaume aliyekomaa ni yupi? Je ni mwenye miaka zaidi ya 18? Kwa kawaida kuna makundi makuu mawili ya wanaume, wanaume wachanga na wanaume waliokomaa.
Kama kulivyo na tofauti kubwa kati ya mtoto mchanga na mtu mzima au aliyekomaa ndivyo ilivyo pia kwa makundi haya mawili ya wanaume...
Wadau nahisi huyu Waziri katupiwa hilo Jini angewahi au awahishwe kwa mafundi..
Jini Sakizi ukitupiwa linafanya maajabu ajabu tu yaani mtu akikuudhi unaweza hata muua hapo hapo
Watu waliwahi tupiwa mifano yake kama Ditopile alichukizwa tu na Dereva wa Daladala kusimamisha bus barabarani...
Ikiwa ni jioni tulivuu, nimeshamaliza kazi zangu na ninatafakari kuhusu maisha yetu ya kila siku.
Ukweli ni kwamba maisha haya ya duniani SOTE TUNAPITA jamani! Hakuna atakayeishi milele! Na kwa wale tunaomwamini Kristo tunajua kwamba kule MBINGUNI tukibahatika kufika kazi ni kusifu na kuabudu...
Ofisi yetu ina jumla ya watumishi wapatao elfu moja Tanzania mzima kwa makadirio.
Mpaka sasa kila nikiwapigia watumishi wenzangu walioko mikoa tofauti naambiwa hakuna aliyepata barua ya kupandishwa daraja au cheo.
Wiki mbili zilizopita tulijazishwa ma Opras. Wengine huyaita hopeless. Mimi...
Asee habari humu!? Hamjambo wote,
Niende kwenye mlengo wangu moja kwa moja kuna inshu imetokea kwenye zile za kupata vitu free, kwa watu zimeloga, ila najua kwa kuna watu bado wana ujuzi humu, ila kuwajua wakupe michakato jinsi ndo shida,
Tupeni connection za kuzipata au tuzichaji tu kwa...
Panya wa Tanzania mwenye sifa ya kufichua mabomu kimataifa astaafu Cambodia Magawa (panya) aliyejishindia tuzo kwa ushujaa wake anastaafu katika kazi yake ya kufichua mabomu yaliotegwa ardhini.
Kila ugunduzi alioufanya ulipunguza hatari ya kuumia au kifo kwa watu wa Kambodia. Katika kazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.