Hivi ni kaadhi ya vitu ambavyo hutakiwa kuvifanya kwenye maisha.
1) Kamwe usiruhusu heshima yako ishuke,kwa namna yeyote ile .Jiheshimu na hakikisha heshima yako inabaki kwa kiwango kile kile.
2) Usimdharau yeyote yule kwa sababu ya umbile , rangi yake, kabila, jinsia hata ulemavu wake. Maana...
Nafikilia kufungua pes game ya mtaani, vitu gani niandae kwa jili ya kuanzia sina mtaji mkubwa, naomba mwenye uzoefu anishauri nitumie nini hasa au pc za ukubwa upi ili niwe na mwanzo wenye uangalau, na PC izo nataka nitafute mtaani, sio shop, coz Huku kwetu wanapenda PES so FIFA
Soko la Kariakoo litajengwa upya; inakadiriwa na kudaiwa kuwa serikali itatenga bilioni 32 kulijenga upya. Hili si jambo baya. Ila naomba kuuliza kwa hizo bilioni 32 Watanzania watarajie nini kwenye soko hilo kubwa na maarufu zaidi nchini...
Japo hii bilioni 32 kwenye hela yetu inaweza kuwa ni...
Naona kuna tabia imezuka Sana humu mtu akiumizwa huko akaleta uzi humu watu wanakimbilia kuandika "ACHANA NAYE!!".
Mnafikiri kuacha ni kitu chepesi tu?
Msichokijua KUPENDA na KUACHA hivi ni viti visivyofundishika bali ni maamuzi na utashi wa mtu, itakapofikia mtu kupenda huridhia kwa nafsi na...
Wakuu,
Kuna mambo ambayo nimekuwa napambana nayo kwa muda mrefu sana katika maisha yangu. Nimejaribu njia nyingi, hasa za maombi hadi chumvi. Wakati mwingine naona kuna unafuu unakaribia kuja halafu ghafla narudi kule kule. Niliwahi kuleta uzi humu kuelezea hali yangu.
Kwenye masuala ya...
Kesho nasafiri kwenda Nyanda za Juu Kusini na kisha nitakwenda Kigoma, mojawapo ya vitu vya muhimu siwezi kuacha ni hivi hapa chini.
Mwanaume hakikisha hukosi hivi vitu kwenye hazina yako uendapo popote.
NB: KY ni kwaajili ya kulainisha kuhakikisha hakuna mchubuko na sina matumizi nayo zaidi...
Wajumbe igweee.....
Wale mnaosema sijui nahitaji mwanasaikolojia, hebu Njooni hapa muone Hawa mabaharia wanavyoteseka.
Wale mnaosema soon naoa, aisee kilicho bora kwasasa ni KUTAFUTA HELA.
Hawa ni wanaume wenzangu NAWAONEA SANAA HURUMA.
Ukute wengine nawajui sema ni ID tu ndio zimetufanya...
Hakuna timu inayojielewa inayofurahia draw hvyo poleni sana watani.Nimefatilia mchezo wenu toka sekunde ya kwanza mpka dk ya mwisho na nmegundua yafuatato;
1. Timu haina muunganiko kama mnavyotamba mtaani
2. Kuna wachezaji wengi wana DEGREE na wengne wana MASTERS hvyo tangu ibainike KOCHA ana...
Ni banda la chuma ambalo lina ukubwa wa futi 8 kwa 6.
Unaweza kuendelea kufanya biashara hapohapo au uhamishe, kwasasa ni duka/kibanda cha bidhaa za nyumbani pamoja na genge(meza za genge zipo)
Mali zilipo ndani
Mizani
Bidhaa
Kreti za soda
Location: Ubungo Tanesco
Bei 1.65mil
WhatsApp/Call...
Niwasalimu woote kwa niaba ya Jamii Forums.
Leo naomba tuelekee kwa wakuu wetu waliopo kutuwakilisha na kuamua hatma ya nchi ( Wawakilishi/ Viongozi ) .
FIKRA ZANGU:
Afrika kwa ujumla hatuna viongozi Bali watu wanaocheza na hofu na hisia zetu.
Viongozi wamekuwa watu wanaotafuta njia fupi ya...
Napendekeza hili kwa sababu nayaona maafa mbalimbali yanayowapata watu kila siku hasa pale wanaponunua vifaa vyao vidogovidogo kutoka kwa watu binafsi kama simu na kadhalka.
Nashauri pawepo na fomu maalum zitakazokuwa zinapatikana katika vituo vya polisi ambazo zitakuwa zikiuzwa kwa shs 5000 na...
Habari majirani, Huku kwetu Tz Paypal inaruhusu malipo tu, Haiingizi pesa, Hivyo nimeona mbadala ni kuja hapo mpakani ili nisajiliwe line ya Safaricom ambayo hata huku kwetu inafanya kazi maana wana undugu na Vodacom.
Je, ni vitu gani vinatakiwa ili niweze kupata hio simcard?
Asanteni
Pamoja na kuwa baba wa Taifa ila vitu vingi sana vimepewa jina lake
Nashauri imetosha tuwape na wengine maana sasa historia inakuwa kwa mtu mmoja kama wengine hawakuwepo tu hebu tazama
Mwalimu nyerere memorial academy
Mwalimu nyerere international airport
Nyerere hydroelectric power
Nyerere...
Habari za Majukumu Wana JF kichwa cha habari kinahusika kama mnavyojua maisha yamejaa kuogofya kiasi kwamba hata uwe na mabaunsa lakini huwezi KUKOSA hofu moyoni.
Binafsi woga nilionao MAISHANI ni Uzee na Kifo maana najua hakuna aliwahi kwepa. Uzee unakuja bila hodi mdogo mdogo kadri umri...
Wasalaam Wakuu!.
Watoto ni baraka kubwa sana na kila mzazi angelipenda kuwa na watoto ili kujenga familia yenye furaha na amani. Watoto ni faraja kubwa sana kwa wazazi lakini muda mwingine ni changamoto sana.
Je, umewahi kukutana na changamoto ya watoto kuharibu mali na vitu vya thamani katika...
Ni jambo moja kuamua usomee nini, na ni jambo la pili kuamua ukasomee wapi.
Tanzania Kuna vyuo vikuu na vyuo vya kati zaidi ya 100
Lakini utalazimika kuchagua kimoja tu katika hivyo vingi ili uweze kusomea unachotaka kusomea.
Hivyo ni muhimu sana kuwa na sababu ya kwanini unachagua chuo...
CCM wafanye yote wanayofanya ikiwemo kutumia propaganda na dola kubaki madarakani, ila waeleze tatizo la ajira na ugumu wa maisha pamoja na Katiba hii mbovu tulionayo, ndio vitu vitavyokuja kuwaondoa madarakani.
Hata hivyo, ili yatimie, lazima kwanza litokee jambo ambalo litatumika kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.