Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imeendelea kuliimarisha Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ili liweze kutoa huduma bora ya usafiri wa anga ndani na nje ya nchi ambapo amebainisha kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya ununuzi wa ndege tano.
Japo hawajasema ni lini...
Rais Samia ameonesha kuwa anafahamu ongezeko la bei linaloendelea kwenye bidhaa mbalimbali nchini, na amesema ongezeko litaendelea kutokea kwa kuwa Vita vya Urusi na Ukraine vinaendelea.
Kwa kutambua kuwa ongezeko la bei kunashusha thamani ya fedha na kupunguza nguvu ya kununua (Purchasing...
Imenibidi kwa mara nyingine nijiridhishe kwa kurejelea kusikilizwa hotuba ya Mhe.Rais iliyokuwa inazungumzia kupanda bei kwa vitu kunakosababishwa na vita vya Ukraine na Russia na mapokeo ya kauli hiyo.
Sio kwamba nimetumia muda kusikilizwa tena sikusikia vizuri ila nilifanya hivyo kuongeza...
Wafanyabiashara wetu kweli hamna huruma maana vitu vimepanda na mnashindana kupandisha bei kweli.
Hata kama mafuta yamepanda ila mbona nauli za magari azijapanda? Na pia kuna bidhaa tu za humu ndani ambazo hata hazitoki nje nazo mmeoandisha maradufu.
Ila sawa tu, tutaishi tu amtukomoi
Kwa kuzingatia usalama wa nchi yetu na usalama wa kuendesha nchi nashauri kama Mama ataridhia mabadiliko ya katiba mambo haya yanafaa kuongezwa tu kwenye katiba iliyo na machache kuondolewa.
Kipengele cha Rais akifa akiwa madarakani tubadilishe ISEME RAIS AKIFA MADARAKA MAKAMU WAKE ASHIKILIE...
Steve Nyerere anazungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Machi 22, 2022
“Nawashukuru wasanii wenzangu na Watanzania wote kwa mchakato ambao ulikuwa unaendelea na bado utaendelea.
“Muungano na ushirikiano wetu ndiyo utatutoa na kutufikisha mbali, kama tukishikamana tukatoa mioyo yetu chuki...
Sio katika misingi yote dunia imekuwa ikiongozwa katika usahihi!,zipo taarifa ambazo zimekuwa zikileta utata na imekuwa hivyo kwa makusudi ya watu fulanifulani.
Zipo nadharia, taarifa na imani katika misingi yote ambayo kwako inawezakuwa ni taarifa aidha unamashakanayo ama unahakika kabisa...
Habari,
Nimepitia kwenye mitandao mingi kama ebay, aliexpress na mingineyo ya kuagiza vitu toka China hivyo kuwa interested na kujaribu kuanza biashara hii.
Ombi langu ni ushauri/uzoefu/changamoto, ni biashara gani/bidhaa gani zinalipa kwa sasa kuanza nazo,ninatarajia kuuzia zaidi online...
ACCOUNTING CONCEPTS
Hizi ni sheria ambazo hutumika katika kutengeneza ripoti za kiuhasibu na kutunza mahesabu ya kibiashara.
Kila kitu kina imani yake, hizi concepts ni kama imani zinazoongoza taratibu za kiuhasibu.
1. GOING ON CONCEPT.
Hapa ni kuamini kuwa biashara unayoianzisha...
Kwa pamoja Ukraine na Russia wanaongoza kwa kuwauzia na ndio wazalishaji wakubwa wa:
1. Ngano
Hii n malighafi kwenye viwanda vya CHAKULA na pombe Russia n muuzaji mkubwa wa ngano kwa nchi za ulaya. TANZANIA Kuna maeneo Kama Manyara huko unaambiwa enzi hzo mahekari kwa hekariz zililimwa ndio...
Achana na ajabu la kesi ya ugaidi kufutwa!
Kuna vitu havitokei bahati mbaya ama kwa mara moja. Kila kitu kina mchakato wake. Mipango na utekelezaji
Kesi ya ugaidi iliyokuwa ikimkabili mwenyekiti Taifa wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu imefutwa na washtakiwa wote wameachiwa huru kwa...
Wasalaam wana JF,
Kesho jamii nzima ya kikristo au sisi wakatoliki tunaanza kwaresma siku 40 za kufunga na kufanya ibada nyingi.
Pamoja na zoezi hilo, naomba niorodheshe mambo yanayonikera kanisani kama yafuatayo:
1. Kwaya kuimba nyimbo ambazo waumini hawazijui. Yaani wanaimba wenyewe tu...
VITU VINAVYO ATHIRI SUPPLY
1. SUBSIDIES and TAXES
Subsidies ni ruzuku ambazo hutolewa katika uzalishaji wa bidhaa flani, Taxes ni kodi.
Bidhaa ikipewa ruzuku za kutosha na ikaondolewa au kupunguziwa kodi katika uzalishaji wa hio bidhaa basi itazalishwa kwa wingi na kuongeza supply la io...
Kutokana na watu wengi wanatumia smartphone kwa matumizi yao ya kila siku.Matumizi hayo yanaweza kuwa kibiashara, kielimu, ajira n.k.
Katika ichi yetu kuna watimiaji wa smartphone kutoka kampuni mbalimbali, na simu izo huwa na vitu vina fanana na vingine kutofautiana. Bila kusahau Tanzania kuna...
Hamjamboni nyote?
Tafadhali pitia ujumbe wa PK hapo chini
Photo: President Paul Kagame
===
President Kagame: In the near future, Rwanda's relations with Burundi will get back normal. It's still work in progress, and both sides are committed to see it through.
President Kagame: on the...
Kwa jinsi unavyozidi kuficha jambo ndivyo ivyo linavyo zidi tamanisha watu lifwatilia,,,wengi wetu tupo radhi kuficha siri kubaki nayo moyoni mpaka siku ya kufa,,,,, maana ikitokea imevuja tuu majanga yake huwa makubwa sana (nimekosa mimi...) yani kwa mfano coca cola ingetoa ingredients zake...
Hello wanaume wenzangu kokote mliko. Nawaasa sana kokote mliko
Kama una familia ama hauna unaweza kuwa nayo after some time Kuna vitu katika haya maisha si vya kuweka katika miliki ya mwanamke. Utakuja kulia vibaya sana ama kujiua kama mstaafu wa Polisi kule Moshi
Naorodhesha vichache!
Hati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.