Mama kaachia asali, mpaka July wengi mtakuwa mnasheherekea.
Nimekuwekea baadhi ya vidokezo vichache vinavyoweza kukunyima nafasi ya kuchaguliwa kwa ajili ya usaili (SHORTLISTED) kwa wanaopotia ajira portal.
Kutosaini barua yako ya maombi, najua kabla ya kupakia barua yako ya maombi mfumo...
Za asubuhi wanajamii,
Kwa miaka michache niliyoishi duniani nimegundua kuna vitu ambavyo watu wamevipa thamani kubwa kuliko inavyostahili. Baadhi ya hivyo vitu ni,
1. Mapenzi, jamii imetia mkazo sana kwenye hili hasa vijana. Hili ni chanjo kimojawapo cha kuzorotesha uchumi na kupoteza muda wa...
Binafsi nakumbuka nikiwa chuoni Arusha, kuna siku nlikuwa nahamia geto flani.
Basi tripu ya kwanza nilipeleka mapazia, meza na kitanda.
Sasa wakati nimemaliza kufunga kitanda nimechoka hatari, nikanunua bia mbili, kwajili ya mimi na jamaa kanisaidia kufunga kitanda, tulipiga pafu moja tu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam, Amos Makalla amesema kuwa Operesheni ya kutokomeza Panya Road ni endelevu na bado inaendelea.
RC Makalla amesema hayo wakati akizungumza kwenye kikao Maalum na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ambapo amewatoa hofu Wananchi kuwa mji uko salama.
"Kwa Panya road...
Mume wangu ashanipiga matukio lakini ile kufikishwwa kileleni jamani ni adimu sijawahi pata popote. Kwa hiyo najikuta mwaka wa 5 huu.
Usiwaone watu wapo kwenye mahusihano mabaya mbele ya macho yenu unamshauri mtu tokaa hapo ila wapi kuna kitu tu hakuelezi. Vitu vyenyewe ndio kama hivyo jamani...
Watu wanalalama kuwa kuna dalili ya ufisadi wa wazi kabisa ambao waziri Makamba ameonyesha waziwazi kwa kuipa kandarasi ya ajabuajabu kampuni ya Mahindra tech na zaidi ya bil 70 wanakula hao wahindi. Je kuna nini kipya wameleta ufanisi?
Bwawa la Nyerere lilikuwa lianze kujazwa maji tangu Nov...
Kiufupi hii kitu sina ujuzi nayo kabisa yaani ni 0%
Naona kila siku kwenye mitandao watu wanaongelea sasa sielewi kabisa.
Je, ni biashara?
Bitcoin ni nini?
Crypocurreny ni nini?
Watu gani wanaruhusiwa kujiunga/kumiliki?
Gharama zake na faida zake je?
Naombeni muongozo
NINGESHAURI PUNGUZO LA KODI ILI VITU VISHUKE BEI,KULIKO KUONGEZA MSHAHARA.
Leo 13:15hrs 15/05/2023
Je ni kweli gharama za maisha za leo hii ili mtumishi amudu maisha inabidi kima cha chini kiwe millioni moja!!? Mimi nadhani ingekuwa vyema kama tungeongeza tija katika uzalishaji ili pesa ipande...
Hawa ni wale watoto ambao hawana competition na watoto wenzao, ukiona mtoto wako analia kila mara au kulilia vitu vya watu kila wakati, jitahidi utafute mtoto mwenzake wa rika lake uishi nao pamoja utaona atavyo badilika na kuwa mtoto mzuri.
Njia nyingine nzuri ya kumkanya huyu mtoto, siku...
Hapa naweka baadhi tu ya vitu vilivgopanda Bei, bila kujali Vita ya Urusi. Vingine vilipanda tangu mwaka Jana.
1. Kuunganisha umeme.
2. Tozo za kutuma na kutoa hela
3. Mafuta ya kula
4. Umeme wa LUKU.
5. Nauli za usafiri.
6. Bei za vifaa vya ujenzi.
7. Mafuta ya Petrol/Diesel/ Taa.
8. Soda.
9...
Vita Ukraine: Raia wa Ukraine waokolewa katika kiwanda cha kutengenezea vyuma Mariupol
ikumbukwe ni kama wiki mbili zimepita wakiwa chini ya handaki raia 1000 na askari 2000 na tangu Putin alivyotaka askari wa ukraine wajisalimishe wakagoma ndipo Putin akaagiza hakuna kitu chochote kutoka au...
Habari wadau,
Nahitaji kujua ili niwe na App yangu itakayo run kwenye adroid na ios nifanyaje.
Mfano kiasi gani itanigarimu maximum kwa kuwalipa developers, vitu gani nifanye ili iwe safe in terms of security(sababu nataka nitoe hudumu kwa watu kulipiza kiasi kidogo).
Kifupi naomba elimu juu...
Kwenye ripoti ya CAG ya Shirika la Magereza wamaesema Tanzania ina Magereza 216, ambapo kwa study waliofanya kutambua sample iliwapa kuwa sample iwe 96. Yaani watembelee hali za magereza 96. Hata hivyo walishusha sample hiyo hadi 15 wakitoa sababu ya ukosefu wa rasilimali. Sample iliyochukuliwa...
Nashangaa sana kwakweli Rais alifanya mistake kubwa sana kutamka hadharani kua vitu vitapanda bei, hii kauli yake inazidi kutugharimu sana, mamlaka za serikali ziko kimya watu wanapandisha bei hovyo, tukianza na swala la nauli, nauli baadhi ya sehemu zimepanda 100% wakati mafuta...
Habarini waja JF,
Wote tunajua vitu ni bei juu kwa sasa, mfano, mchele, ngano, mafuta, petrol, sabuni, gharama za usafiri, vifaa vya ujenzi, nk
Lakini fundi bei yake palepale, tell me why.
Kwa namna niliyowaza bado sipati jibu, japokuwa na kipato chao hawa watu ila hawaishiwi vibweka na...
Hizi hapa ni malighafi ambazo Russia wanazisambaza duniani. wanasambaza 8.4 ya mafuta yote Duniani.
Mbolea inayotegemewa duniani wao wanategemewa zaidi ya 45% halafu waingie vitani uje kumlaumu Samia kuwa vitu vinapanda bei?
MamaYukoKazini ila la mfumuko wa bei , hahusiki.
Ingekuwa hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.