Kuna nyumba Nimefika hatua ya wiring. sasa kuna Fundi jirani na ninapojenga aliomba kazi akaomba kunipigia gharama ya vitu. Moja ya vitu aliandika Main switch (3 phase 12 ways).
Fundi ambae kajenga Boma mpaka kuezeka naye akaleta fundi wake akaandika vifaa vyake na Main Switch (3 phase 18...
Katika hii dunia tunayoishi, unaweza ukamfanyia mtu kitu kidogo tu lakini ukabaki ndani ya historia ya maisha yake.
Jioni hii nikiwa nimejipumzisha na familia yangu ikawa imeingia sms kutoka kwa kijana aliyemaliza mtihani wake wa chuo wa mwisho akinishukuru.
Mnaweza mkakosoa shida zake za r/l...
Kwa leo nitaongelea viatu 'used'/mtumba
Kuna siku nilitembelea duka moja la viatu vya mtumba mkoani Arusha; hivyo viatu vilikuwa vinatoka Italy, kuuliza bei, naambiwa sh. 185,000/=.
Hapo nikawa nimepata wazo la kiujasiriamali kichwani:-
Utaanzaje sasa:-
Nunua mashine ya kushonea viatu
Tafuta...
Kwa takriban miongo sita (6) nchini Tanzania tunazidi kuwa Wimbi la ajira kwa vijana wanaotoka mashuleni kwa sababu ya kile tunachofundishwa darasani.
Kwa sababu, tunafundishwa masomo ya kukariri na kwenda kujibia mtihani, kitu ambacho baada ya kufaulu ndipo unapoonekana ulielewa darasani ama...
Habari zenu wakuu
Hivi nmekua nikijiuliza sana ni hali ya hewa ndio inapelekea watu kuumwa sana sasahivi au ni nini??
Maana nmekua nikishuhudia watu wangi wakikohoa sana ambapo hali hii yakukohoa wengi wamekua wakieleza kua huwakuta sana ifikapo mida ya saa 12 jioni ambayo huwafanya hata...
Nimesikia watumishi waliotumbuliwa jiji la DSM. Lakini hebu tujiulize Afisa biashara wa halmashàuri/jiji mwenye degree salary in laki 7.1 akikatwa inabaki laki 5. Afisa huyu mmoja anakusanya zaidi ya milioni 500 kwa mwaka. Kwa hali ya kawaida mnamuweka majaribuni.
Mbona TRA na taasisi nyingine...
Ndiyo, ni ujinga na ujuha Mkubwa kwa wana CCM wachache wanaoamini kuwa, bila kuviponda na kudhihaki kazi za Hayati JPM na hata kumdhihaki yeye mwenyewe JPM, watu hawatatega masikio yao kusikia yale anafanya Rais Samia kwa sasa! Au kumsikiliza.
Kwani kinachofanywa na wana CCM wahuni, kuponda na...
Bado nawashangaa sana watu waliokuwa wanaibeza Royal Tour na kusema kwamba Rais Samia Suluhu anapoteza muda bora katiba.
Mimi nafikiri sasa watanzania tunapaswa kutambua kuna vitu vya muhimu zaidi kuliko katiba, hivi royal tour ingefanyika saa ngapi kama mama angeanza na katiba?
Hivi mnahisi...
Natanguliza Salaam kwenu ndugu zangu mimi ni kijana mwenzenu nahitaji kujiajiri sasa changamoto ipo sehemu wanapouza bidhaa kwa jumla hasa hizi consuming product kama pipi, biskuti miswaki nk
So kwa anaefahamu anaweza niambia ni wap semehu nzuri inauzwa hizo bidhaa kwa bei ya chini maana mi...
Habari ,Binafsi sio mpenzi za sana wa hizi movie zilizo tafsiriwa ila kuna kitu kimoja nlikiona siku moja nlipoangalia movie moja ya lugha ya kiingereza ni kwamba Tafsiri haiendani na kinachongelwa nilikereka sana .
We je vitu gani huvipendi ? Ingawa kuna Madj wako poa
Habari ndugu zangu wa humu hjamiiforums, nina ndugu yangu wa kiume kamaliza degree ana ameingia miaka 23 mwezi huu,
Kwa sasa yeye anachotaka ni kuwa refa ila hana a,b,c,d za kazi zikoje.
Ningependa mnijuze haya..
- Ni sifa zipi zinatakiwa awe na sifa za kuwa refa,
- Ataanzia wapi na atatumia...
“Ndipo Herode, alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhabika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wanaume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi”, Mt 2:16 SUV.
Jaribio la...
Habari ya wakati huu wakuu?
Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye hii tabia ya watu kupenda kumiliki vitu vingi visivyotumika. Nitavitaja kimoja kimoja lakini sioni mantiki ya wao kufanya hivyo kwa sababu wakati mwingine huishia kutengeneza uchafu.
1. Mabegi/mafurushi makubwa kwenye safari...
Kwema Wakuu!
Kuna vitu bhana licha ya kupewa kashfa kadhaa na watu au Wataalamu WA Afya au Watu wa dini lakini ukijiingiza katika kumi na nane zao ujue kutoka sio kazi ndogo, yaani hutatoka kirahisi. Vitu hivyo ni;
1. Punyeto
Wengine mpaka wameoa lakini wameshindwa kuacha hii kitu.
2...
Habari wana JF,
Nimejiuliza sana hivi kwanini Movies zetu za kibongo na series zetu hazipendwi kama hao Waturuki, wakorea, wafilipino, wahindi etc?
Kwangu mimi nimepitia tamthiliya na muvi mbali mbali za kibongo na kugundua kasoro zifuatazo:
1. Zinakosa uhalisia ,uhalisia wa kimatukio...
Haijalishi ni Ukristo au uislamu, hizi dini sio kwajili ya wazungu na waarabu kama watu wengi wanavyodhani, hizi dini ni kwajili ya mtu yoyote sehemu yoyote duniani.
kumekuwa na mazoea mabovu tangu zamani ya wanaoabudu hizi dini kwa kudhani kwamba ili kuabudu dini ya kiisalamu inabidi uige ige...
Habari wakuu nahama nauza vifuatavyo
Godoro inch 8 bei 140,000/-
Jiko dogo la gesi ( linagesi ilijazwa wiki moja iliyopita) 25,000/-
Feni 60Watts bei 25,000/-
Tray ya vyombo ngazi nne bei 10,000/-
Vikontena vipo vinne 10,000/-
Ndoo 2 na beseni vyote 6,000/-
Vifaa vya usafi vyote bei 6,000/-...
Watu wengi hupenda kununua vitu vya thamani na kuishi navyo kwenye nyumba za kupanga (nyumba za wanaume wenzao, waliojinyima na kuweka mijengo).
Kufanya hivyo, kunawafanya watu wengi kuishi muda mrefu kwenye nyumba za kupanga, na kusahau kujenga nyumba zao.
Utakuta mtu ana kipato kizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.