Kuna hii dhana ya kumsifia kiongozi fulani eti anaifungua nchi, kitu ambacho hata mwenyewe bila hata yeye mwenyewe anashangaa!!nchi ilifungwaje? nani aliifunga? maana serikali haijabadilika! Ilani ya uchaguzi inayotekelezwa haijabadilika!! Tatizo ni watu kujaribu kujikomba bila aibu...
Kwa namna Yanga wanafanya mambo yao naiona kesho ya Yanga ni kubwa kuliko SIMBA
Wameandika katiba ambayo wanaishi nayo sasa. Eng. Hersi ataipeleka Yanga mbali
Wanasajili wanachama online which is a good thing....upande wa SImba mambo mengi yako kimya kimya hakuna uwazi.
Camp ya Yanga iko...
Wakuu, kwema
Kama mnavojua kuna inflation kubwa kila nchi duniani nimeweka screenshot chache kuonyesha hilo.
Sasa watu wasioelewa wanasema inflation imesababishwa na Samia na Magufuli angekuwepo bidhaa zingekuwa chini sana
Kanuni ya msingi kabisa kwenye uchumi ni kuwa bei za vitu zinakuwa...
Wasalaam.
Leo mimi na wewe nataka tuanze kujivunia kuzaliwa katika kizazi hiki, nikimaanisha wale amabao tume/wamezaliwa kuanzia miaka ya 1900 – 2000. Kwanini nasema hivi, nasema hivi sababu kuna mambo tumeyashuhudia katika kipindi chetu au hata kama sio kushuhudia basi tumehadithiwa na watu...
Maisha ya mwanadamu yanahitaji vitu vikuu vinne:-
Chakula
Sehemu ya kulala
Afya njema
Mavazi
Chakula
Mwanadamu lazima ahakikishe, miaka yote anapata chakula stahiki, iwe bei imepanda au kushuka, na hii ataitimiza kwa kujiwekea miradi mbali mbali ya kibiashara, kilimo, na ufugaji. Ili...
Anajiita babloon kisauji, vitu anavyofanya huko Instagram na umri wake haviendani kabisa. Ni utoto na ujinga mtupu.
Naona anaimba kwenye mabaa tu, anavyoimba vyenyewe hata havieleweki.
Sijui hata kama anawashauri huyu.
CHAMA cha Jubilee kimemwandikia Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati kikiomba kupata baadhi ya vifaa vilivyotumiwa katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9 kwa madhumuni ya ukaguzi wake wa ndani.
Chama hicho katika taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Jeremiah Kioni...
1. Kubadilisha mfumo mzima wa elimu, kutoka elimu ya mitihani hadi uelewa?
2. Je, ni kutengeneza sera ambazo zitawalinda na kuwasaidia wafanya biashara wadogo?
3. Au kutoa mafunzo zaidi kuhusu biashara na ujasiriamali?
Kichwa cha mada kimejitosheleza, yaani kwa utafiti hawa watu machoni petu huonekana wema na wenye msaada mkubwa sana kwetu.
Ila ukianza kuwa karibu nae ndio utagundua ni watu hatari sana kwenye maisha. Kwako anaweza onekana mwema sababu kilichowakutanisha ni suala la dini tu.
Ila kwa wale...
Ukweli halisi ni kwamba Kila mtu anaiona dunia kwa namna yake,kulingana na akili yake, ama katika kuwaza jinsi maisha yanafananaje kinamna ya yeye !
Nikiwa katika hali ya utulivu mwingi, ndani ya ulimwengu wangu wa kufikiri...
Nilijikuta nikianza kutathmini kwa namna ambavyo binadam wote...
Wakuu kwema? Mimi kijana wenu mtiifu nimekuja kwenu nikiwa na majanga naomba mnisaidie.
Nilinunua simu mtandaoni kupitia kupatana.com, niliona bei ni nzuri nikamcheki jamaa nikachat nae kwenye hiyo website na akanipa namba.
Nikampigia kwa simu ya kawaida maana namba haikuwa WhatsApp, tukaongea...
Wajuvi nina mpango wa kwenda zanzibar kununua vitu used vya electronic kama ps3, ps4 na computer je hivi vitu vinapatikana kwa bei rahisi kweli na upatikanaji wake upoje na vipi kuhusu kodi
Ni dhahiri kuwa kuna vitu vingi ambavyo watu wengi huwa tunapenda kuvipuuzia lakina ki_uhalisia ni vitu vyenye kuleta athari kubwa katika afya zetu.
Baadhi ya vitu hivyo ni kama vile:
Kukata matunda, na kuyaacha kwa muda fulani. Nadhani umewahi kukutana na sehemu ambazo wanauza matunda yakiwa...
Wawe wanashirikisha wadau bana.
Na hata kama hawashirikishi wengine watunge basi majina ama maneno mazuri. Sasa kama hili kishkwambi Yani unaltamka huku umekunja uso. Angalau wangeita tu tableti.
Mengine yanayokera jokofu wangeacha tu friji. Smart phone Eti simu janja. Eti password nywila...
Kila muda kila siku mtanzania ni zuzu posts za kijinga, kila mahali, mijadala ya kizuzu maredioni, Twitter, insta, jamii, Facebook , WhatsApp, critical and analytical observations zero, logic na reasoning ni zero, comedy maudhui hayana akili, kupanic kwingi, kuvumiliana sifuri, kuheshimu mawazo...
1. Muda. Pesa haiwezi kununua muda uliopoteza.
2. Uzoefu wa kihisia.(Furaha,huzuni,vifijo, nderemo,shangwe,hofu, ukumbusho)
3. Muunganiko wa kweli-Watu wanaokujali au kukukubali pasipo fidia ya chochote.
4. Afya. Unaweza kwenda kwa madaktari bingwa na wazuri lakini juhudi zako binafsi pekee...
Zinaitwa face me I face you kwakua ukifungua mlango wa chumba chako inatazamana na jirani yako.
Ukipika pilau chakula kinachobaki utakinusa usiku mzima mpaka kesho hamu imekuishia.
Wakuu,
Mkeka Wa Vitu Ambavyo havikuwepo kabisa Duniani Mwaka 2003. Maisha Yako Spidi Sana.
Hichi Kizazi Cha Miaka ya 2000+ Ni Nyoko. Malezi Yao yanahitaji Moyo wa Chuma. Tupambane Hamna Namna. Ndio Maisha Yenyewe.
Facebook
Twitter
iPhone📱
iPad
Android
Alibaba
Apple App Store
Uber
Airbnb...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.