Karibu
Spika Ndugai amesoma Katiba kuelezea namna Waziri Mkuu anavyopatikana.
Chanzo: ITV
========
Mpambe wa Rais tayari kawasili kwenye ukumbi wa bunge akisindikizwa na askari wa bunge akiwa amebeba bahasha yenye jina la waziri mkuu ajae.
Baada ya spika Ndugai kuipokea amempa kazi katibu wa...
Watu waliandamana, nisikiavyo Trump alikua ndani ya nyumba yake akichungulia dirishani. Baada ya kumuonyesha shit holes zao waliondoka. Ni baada ya kusema developing countries are shit hole countries.
Vituko na Makosa kwenye kampeini za Uchaguzi jana Jumatatu 7/9/2020
Kituko: Jana Jumatatu, Septemba 7, maofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), walikuwa wanatembelea baadhi ya NGOs ambazo NEC ilizipatia vibali vya kutoa elimu ya mpiga kura, kutathmini jinsi NGOs hizo zinavyotekeleza majukumu...
Kama wewe ni mtumiaji wa usafiri wa daladala, pasipo na shaka umewahi kukutana na vituko kadha wa kadha vya baadhi ya abiria, makondakta au madereva. Embu kila mtu aweke vituko alivyowahi kuvishuhudia.
mimi vyangu ni hivi vifuatavyo.
1. Mimi niliwahi shuhudia kondakta akilumbana na mama mmoja...
Jana tarehe 21/07/2020, katika harakati za wajumbe kupiga kura Bukoba Vijijini kwa wajumbe waliotia nia Ubunge kupitia CCM, kulitokea utofauti asubuhi ambapo mbunge Rweikiza alituma vijana wake kutoa rushwa na kukamatwa jana ile ile Asubuhi.
Naamini TAKUKURU watalitolea taarifa sakata hili...
Mchekeshaji Kingwendu amesema leo Julai 6, anarudisha fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Ilala, na tayari amepata wadhamini wa kumsaidia kwenye kampeni zake na hataweza kufilisika, kuuza nyumba au gari kama ilivyomtokea mwaka 2015 kwenye shughuli za kuendesha kampeni
DarMpya
Kwangu Mimi...
Huwa sipendi sana kuzungumzia kazi zangu flani flani. Ila kwa jambo la jana ngoja niseme upande mmoja wa kazi yangu. Pamoja na issues zangu nying mimi ni daktari Hosp moja kubwa hapa DSM huwa nina siku maalum kwa kazi maalum. Jana aliletwa dada mmoja mzuri kama mwarabu hivi ila ana uzungu uzungu...
Ni jambo la kushangaza lakini siyo la kulidharau.
Uchaguzi mkuu 2010 Mbowe alimlazimisha Dr Slaa agombee ubunge huku akijua wazi Slaa ana uhakika wa 99% kushinda ubunge wa karatu na 1% kushinda urais.
Mwaka 2015 Wakati Dr Slaa ameshajiimarisha kwenye kinyang'anyiro cha urais kupitia UKAWA...
Majohe iko Ilala Gongo la Mboto DSM.
Kuna mkandarasi aliyepewa kutengeneza barabara ya Kampala - Majohe ambaye Sina uhakika Kama unapata taarifa ya ujenzi wa barabara hiyo. Huyu mkandarasi anawachonganisha wanachi na serikali yao huna budi kuja kumsikiliza shida yake.
Kusema ukweli anakutia...
Najaribu kuwaza kwa sauti kwamba; wakati mwingine unaweza kukubaliana na wanaosema kuwa Waafrika hatujielewi. Ukijitoa ufahamu unaweza kusema Waafrika hatuna woga,... labda. Lakini wakati mwingine unabaki mdomo wazi tu, hujui useme nini juu ya vituko vinavyofanywa na sisi... Waafrika, kama hiki:
'Title IX' ni sheria ya kuwalinda wanafunzi wa shule za primary na Sekondary pindi wapatapo mimba wakiwa shuleni huko Marekani.
Kimsingi sheria hii inazuia unyanyapaa wa aina yeyote ile dhidi ya mwanafunzi mjamzito na kuhitaji shuke impe mahitaji yake yote kama mama mjamzito ikiwemo...
Kuna kisa cha wayunani cha kale kuwa kulitokea ubishi nani awe kiongozi wa siku. Wayunani walikuwa wanachagua kiongozi kila siku. Mtu anatawala siku ikipita anachaguliwa mwingine. Mtu hachaguliwi tena mpaka wengine wote wachaguliwe. Ikafika muda walioanza kuchaguliwa wakajihoji: hivi mpaka zamu...
Mimi ni muuguzi, kuna siku tulipokea mgonjwa, mwanaume wa miaka 67 ameletwa hospitali na polisi baada ya kumkuta akitembea barabarani akiwa amevaa boxer tu.
Aliletwa wodini baada ya assessment ya Accident Department kubaini anahitaji Neurology assessments. Kawaida tukipokea mgonjwa saa yoyote...
Niaje Wadau wa JamiiForums
1. Jamaa akiwa na demu wake wakiwa wameshikana mikono, mara ikapita njemba nyingine paap kuangalia demu ya jamaa imeshona tako balaaa, si jamaa kaona mwenzake anafaidi, basi akajongea akamminya yule demu wa jamaa tako.
Jamaa akakubaliana na matokeo mana njemba...
Habari wadau,
Nimeona watu wengi kwenye mtandao wanapenda onesha status zao za elimu. Je, ni sahihi au?
Maana najua mitandao inaleta dili nyingi za biashara na mengineyo.
Je, kujiweka status yako ya elimu kama una masters, PhD, CSP, CPA, Engineer ni sahihi hasa instagram?
Maana nimeona mdau...
Mada ya Mfahamu James Ngomero: Bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto hospitali ya Mwananyamala imenikutanisha na watu wengi ambao kwa namna moja ama nyingine tunaweza kuwa tunafahamiana kabisa...
Si hilo tu bali nimegundua sehemu kubwa wanaJF Dar wengi ni wakazi wa Mwananyamala/Kinondoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.