Jionee vituko vya machawa
"Sijapata kuona haki ya Mungu! Awamu ya sita imemwaga mahela mengi ya maendeleo haijapata kutokea tangu nimekuwa senator wa bunge hili, haki ya Mungu! Zimemwagika hela za maendeleo mpaka natizama nasema; mama Mungu akujaalie sana."
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Vijana tunapitia mengi ya kukatisha tamaa, lakini leo niwape machache ya vituko vya sahili nilivyowahi kuviona kwa macho yangu.
1. Tuliitwa kwenye usahili mikoa ya nyanda za juu kusini, basi kwa furaha na kujiamini nikapaki vitu huyooo nikafika...
- Katika hospitali ya rufaa kabisa, madaktari waliokuwa zamu walikuwa wanasoma dalili za ugonjwa kwenye internet na YouTube, nilichoka sana lakini kwa bahati mgonjwa wetu alipona tulipewa daktari ambaye alikuwa ni professional zaidi. Lakini yule mgonjwa waliyekuwa wanamsomea sidhani kama...
Mimi nakumbuka siku moja nikiwa ugenini, huyu mtoto wa mwenyeji wangu aliing'ang'ania radio yangu na mwenyeji wangu akaniambia tumsubirie asinzie watamnyang'anya nakumbuka walinipatia radio yangu saa nne usiku toka saa 12 jioni
Niliwamindi familia yote ila basi tu hawakujua
Weka na wewe cha...
Timu ya Ashantigold SC imepigwa faini na kushuka hadi Ligi Daraja la Pili baada ya kupatikana na hatia ya kupanga matokeo katika mechi ya Ligi Kuu ya Ghana 2020-21 dhidi ya Inter Allies FC.
Klabu hiyo imekutwa na hatia kutoka kwa kamati ya nidhamu inayoongozwa na mwenyekiti Osei Kwadwo Adow...
Nakumbuka miaka hiyo naenda sana mikoa kwa bus.
Sikuhiyo nikiwa ndani ya basi jamaa kasubiria basi likiwa linaondoka ndio kanikimbizia gazeti kwakua lilikua na kichwa cha habari kilichovutia basi nikamrushia hela jamaa akanipa gazeti.
Ile nalifungua aisee ni gazeti la wiki moja iliyopita...
Kufuatia kuachiwa huru kwa Mh. Mbowe na watuhumiwa wenzake na yaliyofuatia hadi Ikulu, kwa ujumla kumeleta furaha kubwa nchini.
Heko Samia, Mbowe na wote waitakiao mema nchi hii.
Mshindwe na mlegee enyi mliojawa na nyoyo za ufedhuli ambapo kwenu, mema ndiyo maovu na maovu ndiyo mema.
Angalia...
Siku chache tangu Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kumkamata Diana Bundala maarufu kwa jina la Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Zumaridi, ameendelea kutrend mitandaoni kutokana na vituko vyake.
Akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza alipofikishwa na wenzake, Machi 2, 2022...
Siku moja Kaka mmoja wa kimasai ,katika harakati zake za kutembeza mikanda ili kuiuza,
Alikutana na mteja, akawa akimwonyesha hiyo mikanda bila kuweka chini bidhaa zake,
Akaja mgambo akamkamata,
Kijana akahoji kosa lake ni nini?
Mgambo aka endelea kung'ang'ania zile bidhaa bila maelezo...
Wana jf
Wanawake wapenda vituko aubwanaofanya vituko vya kushtua ndio wanawaniwa sana na wanaume. Sasa unakuta aliyefanya na Fanta au milinda anatafutwa sana mbali na kufanya ufilauni usiovumilika. Kuna siku nilienda kumwona live MamaJ, uwezi amini mgahawa wake unajaa watu, alafu wanaomba namba...
Tukiwa shule ya msingi watoto walikua wanabeba vinywaji wanaweka kwa dirisha .Ikifika wakati wa chai watoto wananywa vinywaji hivo. Kijana mmoja mtundu akaweka mkojo ndani ya chupa akawacha dirishani .Ulikaa pale mda wa wiki mbili ikaanza kutoa harufu ikatupwa
wakati mimi nalalamika bei ya mafuta ya kula kufikia 7500 kwa lita kumbe kuna watu wanachezea hela namna hii,
hawa naona wameamua kuanzisha derby
Hakika tumerudi zama za mbuzi kunyweshwa bia
| Nahodha wa zamani wa Real Madrid na mshambuliaji bora wa zamani wa Madrid Raúl González Blanco 🇪🇸 ni miongoni mwa makocha waliotuma maombi ya kuinoa Azam FC 🇹🇿.
=====
Former Real Madrid captain and Madrid's best ever forward Raúl González Blanco 🇪🇸 are among the top coaches who have applied...
Mzee Makongoro alikuwa ni mwalimu wa Kwaya ya Vijana ya TANU ambayo ilivuma Sana kwa nyimbo za asili na nyimbo zake zilipata umaarufu mkubwa Sana miaka ya sabini na themanini kupitia vipindi mbalimbali vya redio kama TUIMBE SOTE na kipindi cha TUMBUIZO ASILIA kilichokuwa kikirushwa hewani na...
picha ya kwanza ni waziri wa fedha wa zimbabwe akizindua dampo na picha ya pili ni viongozi wa serikali huko Namibia wakiwa kwenye mkutano ambapo ndani ya ukumbi walifuata taratibu za kujikinga na covid ila badae walitoka nje na kupiga picha ya pamoja
Tunasikitika ubalozi wetu wa Tanzania US unejaa wafanyakazi wasiojua wanachofanya. Ili watu waelewe hili nimewapa barua mbili hapa. Barua yenye kumbukumbu namba moja imetumwa kwenye miji miwili tofauti. Ukipiga simu wanasema Dallas eti hawaendi. Cha kushangaza vilevile pamoja na viongozi wa...
Juzi kati nikiwa kwa fundi msafisha viatu pale Kibaha Maili moja nikiwa sina hili wala lile ghafla nilishuhudia kituko cha karne hahahahaha!
Ipo hivi mama wa kimasai wale wanaouza dawa za miti shamba ilionekana akitaka kumuita kwa jina lake jamaa mmoja aliyekuwa na wajihi wa ki Ustaadh.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.