Grereza la Kober analoshikiliwa aliyekuwa rais wa Sudan, Omar Albashir limevunjwa na mahabusu wote kukimbia. Vikundi vinavyopigana kila kimoja kinaonesha kutokuwa na uhakika wa sehemu alipo kiongozi huyo wa zamani anayetafutwa na ICC.
Jeshi la Sudan chini ya generali Burhani limesema kiongozi...
Bila shaka vita ilikuwa kubwa Sana. Na hatimaye wenye mashamba ya miti wameshinda.
Siku hizi nguzo za zege siyo tu hazisambazwi bali pia haziongelewi tena. Yule bwana alikuwa na % yake kwenye viwanda vya nguzo hizo. Alipokufa kafa navyo.
#Tanzania yangu!
karibu tufurahishane, na kushare visa mbalimbali ambavyo umewahi kukutana navyo ukiwa safarini.
kuna siku nilipanda basi(kilimanjaro exp) tanga (kabuku) ikitokea arusha to dar mida ya saa3 usiku wakati tumeiacha msata maeneo ya mwetemo tukiwa tunaitafuta kiwangwa, basi ilipata hitirafu na...
Hatari sana. Asubuhi jamaa kaja na Uber kazini. Mwingine kaja na Bolt. Ila kuna tarehe zikifika hawa jamaa huomba hadi tsh 600 ya nauli.
Mwisho wa mwezi english inapanda sana na bashasha ofisini ni kubwa. Husikii malalamiko kuwa mshahara ni mdogo au mwajiri anatunyonya. Gate man namsikia...
Mko poa?
Salaam,
Jikoni kuna wakati yanatukia matukio jikoni wakati unapika mpaka unatamani unashangaa, mwenzenu nilimwaga mboga wakati napika ugenini kisa kapita panya na sikuwa najua kama nyumba ina panya.
Nimeaza kupika ile naipuka mboga Panya kakatiza nikaona mkia tu nikadhani nyoka...
Vijiwe vya kahawa nchi hii ni sehemu mojwapo maarufu ambayo mengi huzungumzwa na kujadiliwa yanayohusu siasa za ndani na nje ya nchi,historia mahusiano,dini, biashara, uchumi n.k.
Mambo yanayojadiliwa mara nyingi huegemea katika nadharia za kinjama(consipiracies theories)...
Salaam wakuu,Leo katika historia ningependa tuvijue baadhi ya vituko vya rapa 50 cent.
Anaitwa Curtis james Jackson japo wengi tunamfahamu kwa jina lake la kisanaa 50 cent.
Amezaliwa 6/7/1975 ndani ya jiji la new York City. Ambapo nyimbo iliyomtambulisha zaidi ni in da club ilikuwemo kwenye...
Hii kampasi majanga yanazidi kuongezeka na wahusika msipo chukua hatua hamtutendei haki wanafunzi.
Leo jumapili sisi wanafunzi wa BIRM 3 tukiwa tunafanya mtihani wa strategic management lecture 7, tukiwa dakika za mwishoni ghafla aliingia mfanyakazi wa computer lab Mr Swai huku kashika remote...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushuhudia uzinduzi wa zoezi la kuingiza maji kwenye Bwawa la Julius Nyerere Disemba 22, 2022 badala ya Novemba 2021 iliyokuwa awali.
Mheshimiwa Rais pamoja na hatua hiyo muhimu bado kuna mambo ya msingi sana ambayo Waziri wako wa Umeme hajayaweka wazi...
Aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai anajipanga kumuachia jimbo la Kongwa mkewe Bi. Fatma Mganga ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma.
Ndugai ameanza kampeni na figisu hizi kwa kupanga safu ya viongozi wa CCM ambapo, amemlazimisha aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya Bwana Abed Mussa...
Tujuzane matukio au vitu tulivyoona au kukutana navyo kwa waganga wa jadi au Kienyeji vya kutisha na kuchekesha, Na hii itawafunza Wengine ambao wanategemea kwenda au ambao hawajui kinachoendelea huko
Mimi kama mwana siasa na mfanyabiashara haya mambo kuna wakati unataka kuyakwepa lakini kundi...
Nawasalimia kwa jina la Tanzania.
Bila shaka kila mdau anaelewa zoezi la sensa kama aina ya utafiti ilivyo ni nyeti na lina makorokoro mengi hadi ya kiimani.
Kuna mambo mengi ambayo tunaweza kushirikishana kabla, wakati na baada ya zoezi.
Binafs niliwai kushiriki utafiti mkubwa kuhusu watu...
Wakuu Salama humu ndani.
Nimekuwa member humu ndani ya JamiiForums kwa miaka Mingi na huwa najivunia Sana kuwa nimejifunza Mambo mengi Sana na kutatua migogoro Mingi ya kiimani, Kisheria na kimaradhi.
Leo na Jana nikawa napitia vimbwanga na vituko mbalimbali nimeona vingi na wengine ni Wasomi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.