C2 INAWAHUSU
Vidokezo vya Nyumbani na Jikoni
👉Kuchoma pete ya kitunguu kutafukuza nzi jikoni
Kwa kitani cha kitanda na mito kunukia vizuri weka poda ya mtoto inasaidia.
👉Unapochuma mboga bustanini weka kwenye maji yenye chumvi kwa dakika 5 konokono, vidukari, minyoo n.k wataanguka,
Wakati wa...