vituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mimi mtakatifu

    Usafiri wa mwendokasi kwa sasa ni roho mkononi. Vituo vya kupakia abiria ni hatarishi kwa walemavu, wajawazito, watoto, wazee na wagonjwa

    Usafiri wa mwendokasi umekuwa ni usafiri uliojaa changamoto kwa muda mrefu. Pamoja na changamoto zake umebaki kuwa usafiri wa haraka na tegemeo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam. Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa mabasi kiasi kwamba unaweza kukaa kituoni mpaka masaa mawili unasubiri usafiri hivyo...
  2. The Watchman

    Dkt. Biteko: Serikali kujenga mtandao mkubwa wa mabomba ya gesi pamoja na vituo vya kujazia gesi kwenye magari

    Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies, Farhiya Warsame, inayojenga Bomba la Gesi kutoka Kisemvule hadi Mbagala (kilomita 19) jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo pia itajenga vituo vitano vya CNG...
  3. C

    Mfumo wa ESS: ujumbe huu una maana gani kwenye mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi

    Napata ujumbe huu "error initializing transfer request " Niliomba maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi , mwenzangu aka accept ombi then maombi yakatumwa kwa mkurugenzi na kuwa approved, baada ya hapo mfumo unataka nisubmit maombi nikiwa nimeambatanisha docs Nimefanya hivyo lakini...
  4. upupu255

    Pre GE2025 John Heche: Dkt. Slaa akifia Gerezani, Rais Samia atawaambia nini Wananchi? Uonevu ni kitu kibaya

    Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia...
  5. Stuxnet

    Kutoka Mianzini - Mapinga km ni 10, kuna vituo 13 vya petrol station

    Yawezekana hapa ndipo penye utitiri mkubwa wa vituo vya kuuzia mafuta ya magari katika barabara ya Bagamoyo. Kutoka Bunju pale njia panda ya Moga unaanza na Lake Oil mkono wa kushoto hadi Mapinga kabla hujapanda kilima cha Marian Boys unamaliza na TOTAL mkononwa kulia. Ni mwendo wa dakika 10...
  6. L

    Naona kama Vituo vya mwendo kasi ni vikubwa mno

    Jamani nimetafakari sana,nimeona kama baadhi ya vituo vingine vya mwendo kasi walivijenga vikubwa sana bila sababu yoyote. Mfano hivi vya katikati,Magomeni hospitali,Jangwani,Manyanya etc.Nadhani kuna maeneo ni kweli kuna abiria wengi lakini maeneo mengine abiria ni wachache sana. Sikuelewa...
  7. Roving Journalist

    Kampuni ya China Tanzania Security yafafanua madai ya Walinzi wa Vituo vya Mwendokasi kutolipwa mishahara ya miezi mitatu

    Uongozi wa Kampuni ya China Tanzania Security umetoa ufafanuzi kuhusu madai ya Mwanachana wa JamiiForums.com aliyeandika kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ambao ni Walinzi wanaosimamia Vituo kadhaa vya Usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi hawajalipwa mishahara kwa muda wa miezi mitatu na kuwa wakidai...
  8. Yoda

    Mateso ya wanawake chini ya kanisa kupitia Magdalene Laundries, vituo vya mateso vya kanisa kurekebisha wanawake tabia huko Ulaya

    Karne ya 18 hadi 20 huko Ulaya na Marekani kanisa Katoliki huko Ulaya na Marekani walikuwa na vituo vya kurekebisha tabia kwa wanawake hasa mabinti wa makundi mbalimbali wakiwemo single mothers, makahaba, wanawake walioonekana wajeuri na walioonekana mzigo kwa familia zao. Wanawake wengi...
  9. Faana

    Kwa anayefahamu, naomba msaada: Vituo vya treni ya SGR kati ya Dar es Salaam na Dodoma ni vipi?

    Naomba mwenye ufahamu wa vituo vya Reli ya SGR kati ya Dar na Dodoma anisaidie hapa ili nivifahamu
  10. K

    Wananchi wa Kijiji cha Nyangunge hawana maji baada ya vituo vya kuchotea kufungwa

    Nimeona Habari hii ITV, nikasema ngoja nishare na wanajukwaa. Inatoka uko Kijiji cha Nyangunge kilichopo katika Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wananchi wa Kijiji hicho wanasema wamekosa huduma ya maji safi na salama kutokana na vituo vya kuchotea maji kufungwa zaidi ya miezi miwili Sasa...
  11. N

    Dar es Salaam: Mchakato wa ufuatiliaji simu zilizoibiwa kupitia Vituo vya Polisi una ‘harufu ya michezo michafu’

    Baadhi ya Watu waliotoa ripoti za kuibiwa simu katika vituo vya Polisi Stakishari Ukonga Jijini Dar es Salaam na katika Kituo cha Kilwa Roads Police wanasema kila wanapofuatilia simu zao zilizoripotiwa kuibiwa huzikuta kwa watu ambao wamezinunua kutoka kwa watu waliopewa simu hizo na maafande...
  12. Suley2019

    BBC: Mapinduzi ya mafuta Tanzania yamekwama kutokana na ukosefu wa vituo vya mafuta

    Mapinduzi ya nishati ya magari yanazidi kushika kasi nchini Tanzania, lakini ukosefu wa vituo vya kujazia gesi unalifanya mchakato huo kusuasua. Kama ilivyo kwa Nigeria na baadhi ya nchi nyingine barani Afrika, Tanzania imeanza kukumbatia gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) kama mbadala wa...
  13. Optimistic_

    Huduma ya Unlimited Internet kwa shule na vituo vya afya vya Serikali

    TANGAZO TANGAZO HlHabari njema kwa vituo vya afya au shule za serikali Kuna huduma ya internet kutoka Vodacom, unachagua package mnawezeshewa. Huduma hii kuwezeshewa ni bure kabisa. Vigezo ✅Tin namba ya shule/kituo cha afya cha serikali ✅Kitambulisho cha muwakilishi anaefuatilia ✅ Barua ya...
  14. Nyani Ngabu

    Vituo vya kijeshi nchi za nje na ndege za kizazi cha 5 na 6

    Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni jeshi la sita kwa ubora duniani. Kwa mujibu wa Umoja wa mataifa, duaniani kuna nchi 195. Katika nchi zote hizo, jeshi la Tanzania ni la 6 kwa ubora. Maana yake ni kwamba Tanzania imezipita nchi 189 kwenye ubora wa kijeshi. Hakika Tanzania iko juu sana. Ubora...
  15. chiembe

    Mnikulu, hivi kale ka utaratibu ka kutoa mbuzi na mahitaji kwa vituo vya watu wenye mahitaji maalum wakati wa sikukuu umekasahau?

    Ilikuwa ni kama utamaduni wa jumba jeupe kufanya hivyo kwa mahospitali, vituo via yatima au wazee. Labda mnikulu yuko bize, amesahau kufanya hivyo krismas hii
  16. Wakujibwea45

    VITUO: Mbezi kuelekea mlandizi

    Msaada naomba kupangiwa kwa mtiririko hivi vituo vitano (5) ukiwa unatokea mbezi kuelekea mlandizi: Njuweni(maili moja), visiga, misugusugu, kongowe na viziwaziwa.
  17. mlinzi mlalafofofo

    KERO: TAMISEMI ondoeni shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR

    TAMISEMI ondoeni shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR. Malalamiko ya shida ya usafiri kutoka vituo vya SGR sio mageni. Ni kama viongozi wa mikoa hii ya morogoro na wenzao wa Dodoma wamechagua kuweka pamba masikioni. Jamani viongozi mnaohusika amkeni kufanya jambo kukomesha shida hii ya...
  18. MUCOS

    Msaada tafadhali. Vituo vya tuition centres vinapatikana wapi kwa Dar es salaam?

    Wakuu salamu zenu. Awali ya yote nitoe shukrani zangu za dhati kwa wana JF wote hasa jukwaa la ujenzi na makazi. Niliomba kuelekezwa mahali pazuri pa kuishi Dar nikitokea mkoani. Nashukuru kupitia maelekezo yenu nimeweza kussetle vema kabisa jijini. Baada ya hapo naomba kupewa tena msaada juu...
  19. Waufukweni

    DOKEZO Wanaotangaza kuuza Viwanja kwenye Vituo vya Daladala na spika zao walipie kodi ili iboreshe vituo vya hivyo

    Wakuu Haya Matangazo ya viwanja "Vinauzwa na Hati" yanayosikika karibu kila kituo cha daladala hapa mjini Dar kupitia sauti kubwa kutoka kwenye spika zilizowekwa, ni kero kubwa kwa abiria na wananchi kwa ujumla. Kila ukigeuka, unaskia matangazo yanayohusiana na viwanja vinavyouzwa, na hivyo...
  20. Roving Journalist

    LGE2024 CHADEMA Songwe: Green Guard walienda na mapanga kwenye Vituo vya Kupigia Kura kutisha Wanachama wetu

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe, Issakwisa Thobiasi Lupembe amedai wakati wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 kulikuwa na matukio ya vitisho kwa Wanachama na viongozi wa Chama hicho kutoka kwa baadhi ya Watu. ===================== Taarifa ya...
Back
Top Bottom