vituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    LGE2024 Iringa: Wananchi na viongozi mbalimbali washiriki kupiga kura

    Wananchi na viongozi wa kada mbalimbali wameendelea kujitokeza katika upigaji kura kwenye vituo mbalimbali kuanzia majira ya saa 2 asubuhi Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura Mkuu wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewasihi wananchi kuimarisha utulivu wakati wote wa zoezi hilo
  2. Waufukweni

    LGE2024 DC Mafia, Mangosongo adaiwa kuwaondoa mawakala wote wa ACT Kwenye vituo vya kupigia kura

    Mkuu wa wilaya ya Mafia, Aziza Ally Mangosongo amewaondoa mawakala wote wa ACT Kwenye vituo vya kupigia kura.
  3. M

    LGE2024 RC Kagera, Fatma Mwassa atembelea vituo vya kura kuangalia maendeleo

    Mkuu wa mkoa wa Kagera Khajati Fatma Mwassa akiwa kituo cha kilima hewa kata Kashai akiangalia namna wanavyoendelea kujitokeza kwa wingi kupiga kura .Pia ametumia fursa hiyo kuwaomba wananchi kuendelea kujitokeza katika vituo vilivyopo katika maeneo yao kupiga kura Pia soma > LIVE - LGE2024 -...
  4. Waufukweni

    LGE2024 Wasimamizi wa vituo vya Uchaguzi 1,213 wapewa mafunzo na kula kiapo

    Kuelekea siku ya Uchaguzi wa serikali za Mitaa, wasimamizi wa vituo vya Uchaguzi 1,213 wamepewa mafunzo na kuapishwa kwa ajili ya kusimamia uchaguzi huo utakaofanyika siku ya Jumatano ya Novemba 27, 2024. Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Nachingwea Mhandisi Chionda M. Kawawa amewasihi...
  5. Waufukweni

    LGE2024 Uchaguzi Manispaa ya Songea: Vituo 210, Wagombea 987 tayari kwa kinyang’anyiro

    Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Songea, Wakili Bashir Mhoja, ametoa taarifa kuhusu maandalizi ya uchaguzi ulio karibu kufanyika. Akizungumza na waandishi wa habari, Mhoja amesema kuwa hali ya utulivu inaendelea kutawala katika mji huo na kwamba kampeni za uchaguzi zinaendelea kama...
  6. Mindyou

    LGE2024 Msimamizi Wa Uchaguzi Katavi: Msifungue vituo kabla ya saa mbili, saa kumi askari atasimama nyuma ya mtu wa mwisho.

    Wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya vituo halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia muda wa kufungua na kufunga vituo vya kupigia kura ili kuepusha vurugu zinazoweza kutokea katika vituo hivyo. Akizungumza mara baada ya kufanga mafunzo hayo Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya...
  7. Teko Modise

    Tukimaliza mjadala wa magorofa tuhamie kwenye vituo vya mafuta vinavyojengwa kwa wingi karibu na makazi ya watu

    Tukimaliza issue ya Maghorofa Kariakoo tugeukie na Petrol Stations zinazojengwa kama njugu mitaani Uzi tayari…
  8. JanguKamaJangu

    Watumishi wa Vituo vya Mizani wametakiwa kusimamia Sheria za utunzaji wa barabara

    Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Albert Msovera amewataka Wafanyakazi walio katika vituo vya mizani kuhakikisha wanasimamia sheria ya uthibiti ubora wa barabara ya mwaka 2016 ya Afrika mashariki na kanuni zake za mwaka 2018 zinazingatiwa ipasavyo ili kuendelea kutunza barabara zilizopo nchini...
  9. J

    Waziri Mbarawa Punguza punguza parking fee za magari vituo vya SGR

    Hivi Waziri Mbarawa na Kadogosa hivi kweli wakati mnapanga parking fee ya shilingi 2000 per hour, then 20,000 per one day mli take into consideration ya hali halisi ya maisha ya Mtanzania? Labda nikwambieni tu kwa mtanzania wa kawaida (Middle Class citizen) ambao ndo wengi na vigari vyao vya...
  10. Pdidy

    Pssf..nssf hawa madafa muwabadilishe vituo wanajisahau sana kwa dharau

    Inavyoonekana kunamadafa wamekaa mda mrefu sehemu moja hizi ofisi ushauri tu muwe mnawabadilisha vituo wawe na akili Niliwahi.lalamika mwakajana hapa unakuta moo foleni anakuja mtu.mmija ama wawili hawakai folen kisa wameshambiwa kwa msg njoon akitoka huyu Sasa wimbi lingine limeibuka mko 14...
  11. Mindyou

    LGE2024 Morogoro: CHADEMA wafichua uwepo wa vituo vya kuandikisha wapiga kura kwenye kambi ya Jeshi ya JKT

    Wakuu, Baada ya videos kusambaa mtandaoni kwamba kumekuwa na uandikishwaji mkubwa wa wanafunzi underage kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sasa hivi kumeibuka shutma mpya dhidi ya zoezi hilo. Akiongea leo asubuhi, kada huyu wa CHADEMA amefichua kuwa kuna baadhi ya vituo vya kujiandikisha...
  12. K

    Hivi ni kweli CHADEMA wana idadi ya mawakala 55 tu kwenye vituo vyote 666 jijini Dodoma?

    Jinsi wanavyosema kuwa wamejipanga vyema kwenye uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa lakini takwimu zinawasuta. Kutokana na taarifa ya msimamizi wa uchaguzi jijini Dodoma CHADEMA wana mawakala 55 tu katika vituo 666 vilivyopo Jijijni Dodoma. Ndugu zangu CHADEMA mkajipange upya vinginevyo...
  13. Nyarupala

    Vituo vya usaili kwa walimu ni bado?

    Nikiingia kwenye account yangu kwenye sehemu ambako usaili utafanyika hakuna jina la kituo na badala yake wanaelekeza kuingia kwenye tovuti ya www.ajira. go.tz kwa taarifa zaidi lakini nako hakuna taarifa yoyote. Shida ni nini hapa wakuu? Au majina ya vituo bado?
  14. Stephano Mgendanyi

    Vituo vya Afya Vitano Vipya Vyajengwa Wilaya ya Hai

    VITUO VYA AFYA VITANO VIPYA VYAJENGWA WILAYA YA HAI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kusogeza huduma za Afya karibu na wananchi kwa kujenga vituo vya Afya Vitano katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro. Waziri wa...
  15. Brojust

    Uzi maalumu kwa historia na maana ya vituo vya magari, daladala, na baadhi ya majina ya watu kwanini yalitumika kama kielelezo cha sehemu husika.

    Salaam wakuu. Moja kwa moja kwenye mada. 1. Majohe "KWA NGOZOMA" Huyu ngozoma nasikia yupo mpaka leo na ana bucha lake, alikuwa mfanyabiasha na alifungua duka kubwa sana maeneo hayo ya majohe wakati panaanzishwa miaka ya 2005 hivi. 2. Kwa Azizi Ali (Anayejua atuambie ) 3. Kwa mpalange...
  16. P

    KERO Madalali wa Magari Mwanza wanaegesha magari yao Vituo vya daladala na kusababisha foleni

    Madalali wa magari jijini mwanza wanapaki magari ya biashara kwenye vituo vya dalala na kusababisha foleni barabarani. Daladala inabidi zipaki nje ya kituo kushusha au kupandisha abiria na kusababisha foleni kubwa za magari. Vituo hivyo ni Nera barabara ya Airport na Kona ya Bwiru barabara...
  17. Namche Bazar

    Vituo vya kuandikisha wapiga..

    Habari za usiku? Kuna eneo langu la biashara katika mkoa Y. Wiki jana maafisa kata na watendaji wengine wa wilaya wamekuja kuniomba watumie eneo langu na miundombinu yake kuandikishia wapiga kura halikadhalika kufanyia uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwakani. Naomba kujua kwa mwenye uzoefu...
  18. Sauti ya amani

    Utumishi mmegoma kutoa majina na vituo vya usahili kwa walimu

    Ni wiki sasa tangu walimu waambiwe wa confirm their current address lakini mpaka mda huu kimya, Kuna watu hawaendelei na majukumu Yao kisa kusubiri hizo interviews ,kwa upande wa afya haikuchukua mda mrefu je ni kwamba wamezidiwa na idadi au ?
  19. Mshana Jr

    Kuelekea Maandamano ya Maombolezo Septemba 23: Je, Mamlaka Zimejiandaa?

    Kuna kila dalili kwamba maandamano yatafanyika, lakini ni kwa ukubwa gani ni ngumu kutabiri. Kwa wiki nzima hii, kamata kamata imekuwa kubwa sana, hadi vibaka na wezi wameamua kuchukua likizo ya muda. Tumeshuhudia pia maandalizi makubwa ya polisi wa kutuliza ghasia, polisi wa sare, na...
  20. Mshana Jr

    Kasi ya ujenzi ya vituo vya kujazia mafuta ya magari inaendana na ubora, usafi na usalama wa mafuta yenyewe?

    Kuna maswali mengi muhimu ya kujiuliza kwenye hii biashara ya vituo vya nafuta mpaka inakimbiliwa na karibia kila mfanyabiashara? Je magari yameongezeka sana nchini? Je kumekuwa na urahisi wa upatikanaji wa bidhaa husika? Je ni njia ya utakatishaji pesa na biashara haramu Je kuna 'syndicate' ya...
Back
Top Bottom