Ni kwanini katika vituo vya mafuta vya GBP mmeanza kukataa kutuuzia mafuta kwenye vidumu? Au mnataka tuwe tunabeba water pump tunakuja nazo ndo mtujazie mafuta?
Mnadai mmepewa maagazo na EWURA je hayo maagizo yanawahusu nyie tu GBP na sio vituo vingine vya mafuta?
Kumekuwepo malalamiko kutoka kwa baadhi ya wahanga wa mateso yatolewayo vituo vya polisi kuhusu uwepo wa KARAKANA za utesaji ndani ya vituo vya polisi nchini.
Haya ni sehemu ya maelezo ya kijana SATIVA kupitia mtandao wa X alipokjwa anaelezea kutekwa kwake na jaribio lililoshindwa la kumuua...
Wakati wa utawala wa Rais John Magufuli, serikali ilifanya juhudi kubwa za kuboresha sekta ya afya, na hizi ni baadhi ya takwimu kuhusu miundombinu ya afya iliyojengwa au kuimarishwa:
1. Hospitali za Rufaa:
- Hospitali 7: Hospitali za rufaa zilijengwa katika mikoa tofauti, ikiwa ni pamoja na...
Askari wa usalama wa barabarani 168 wamechukuliwa hatua zikiwamo kushtakiwa kijeshi, kuhamishwa vitengo na kufukuzwa kazi, kutokana na makosa ya kinidhamu ikiwemo rushwa katika kipindi cha kuanzia Juni 2023 hadi Juni 2024.
Mwanasheria wa Kikosi cha Usalama wa Barabarani, Deus Sokoni ameeleza...
Kumekuwa na mahitaji makubwa ya vituo vya gesi kutokana na wingi wa watumiaji kwa sasa.
Nadhani ingekuwa busara sana kwa Ewura kusitisha utoaji leseni za vituo vya mafuta (petroli na diesel) na hasa kwenye miji mikubwa au majiji.
Ni matumaini yangu itasaidia ktk kujenga uchumi kwa kuepusha...
Wiki iliyopita Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam inayomilikiwa na Taasisi ya Aga Khan ilitangaza kusitisha mkataba kati yake na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) katika Vituo 11 kati ya 24 vinavyomilikiwa na Taasisi hiyo Nchini ikiwemo Hospitali ya Aga Khan Dar kwa sababu ya changamoto za...
Rais Samia ameandika kupitia X
Asante Badru & Mika. Furahia safari yako na mashambani. Nina habari njema kwako. Ujenzi wa sehemu za Isaka-Mwanza & Tabora-Isaka unaendelea, na Mungu akipenda zote zitakamilika.
Badru ameonesha kiwango cha ujenzi wa Kituo ch Reli ya SGR cha Morogoro.
Ikumbukwe...
Mwaka 1998 nakumbuka nilikuwa nipo maeneo ya Kijitonyama mida ya saa 4 asubuhi hivi siku ya Ijumaa kama nitakuwa nakosea na ndio mara yangu ya kwanza kusikia bomu likilindima mpaka kutingisha ardhi.
Tuja kaa vizuri redio na tv zinaanza kutangazia umma kuwa kuna shambulio limetokea ubalozini mwa...
Tulishuhudia phase 1 vituo vya mwendokasi vikiwa vimejengwa karibu karibu sana kiasi cha kushangaza. Mfano
I. Kituo cha Posta ya zamani na cha jiji
2. Kituo cha DIT na KISUTU
3. Kituo cha MSIMBAZI A na MSIMBAZI B.
4. FIRE na JANGWANI (ambacho hakitumiki). Hivi ni vile ambavyo nimekumbuka haraka...
OR TAMISEMI, Dodoma kuna nini, naomba kujuzwa wadau. Mimi ni mmojawapo wa watumishi niliopata uhamisho toka kwa Katibu Mkuu TAMISEMI, nikihamia HALMASHAURI nyingine. Cha kushangaza, tangu kuripoti kituo kipya mwezi Oktoba 2023, bado CHEKI namba kwenye MFUMO wa UTUMISHI (ESS) inasoma kwa Mwajiri...
Israel anapigwa mande bila mate
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥BREAKING:
🇱🇧🇮🇱 Starting two hours ago, Hezbollah launched a huge wave of attacks on Israel
The entire occupied Golan Heights was under fire from hundreds of Hezbollah missiles. Dozens of settlements along the border, including the city of...
Katika maisha ya utafutaji na msafiri pia mtoto wa mjini kino ila tuseme ukweli ujui leo ni nani wala kesho ni humu jamiiforum na wafanyakazi wake.
Vituo ambavyo nimevitaja sana kwenye kushiriki mada ni kuto cha ostabey na ndio sehemu ya kikosi kazi maskani yao ambao wamepewa mamlaka ya kwenda...
Marekani ina jumla ya vituo vya Kijeshi (overseas military bases) 38 katika mataifa mbalimbali! Ukiacha Marekani, kuna mataifa mengine zaidi ya kumi na tano yenye vituo vya kijeshi sehemu tofauti tofauti.
Ni gharama sana kulihudumia Jeshi. Ukiona nchi inaamua kuanzisha vituo vya kijeshi nje ya...
Sekta ya kilimo nchini Tanzania ni nguzo kuu ya uchumi wa taifa, ikiwa ni chanzo kikuu cha ajira. Kwa mujibu wa taarifa ya hotuba ya bajeti ya wizara ya kilimo 2023/2024, zaidi ya watanzania milioni 40 (65.6%) wanategemea moja kwa moja sekta hii kwa ajira. Kilimo pia kina jukumu muhimu katika...
MRADI WA KUANZISHA VITUO VYA UTAFITI NA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI TANZANIA.
kulingana na changamoto zilizopo katika sekta ya kilimo Nchini. nikaona si vibaya kufikiria juu ya sekta hii muhimu, ambayo tunasema ni utii wa mgongo wa taifa la Tanzania. Hivyo basi nikaona kuna haja ya kuanzishwa...
Kuzaliwa kwa mtoto inapaswa kuwa tukio la furaha kwa familia na jamii nzima badala ya huzuni hasa pale inapotokea kupoteza mtoto, mama au wote kwa pamoja.
Tunaendelea kuifanya kazi ya kuboresha huduma zetu za afya ili kukabiliana na changamoto hii ya mwanzo wa maisha ya kila binadamu, kwa...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amebaini upigaji na madudu yanayofanywa katika vituo mbalimbali vya mabasi hapa nchini.
Kupitia Ripoti Kuu ya Ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 iliyotoka hivi karibuni, pia amesema kuna uendeshaji...
UKIANZA KUFANYA MAMBO KUKIMBIZANA NA UMRI JUA KUNA KITUO SIO CHAKO ULISIMAMA SANA
Akitokea mtu anakwambia alimaliza shule ya msingi na miaka 20 jambo la haraka ambalo kama usipomuuliza basi utajiuliza ni hili "KIPI KILIMCHELEWESHA?
MAISHA NI SAFARI KADRI UNAVYOSIMAMA SANA NDIVYO...
Utangulizi
VUTV ni mpango unaolenga kubadilisha mbinu nan njia tunazotumia Tanzania kufanya shughuli zetu hasa kwa maeneo ya vijijini ambapo ndipo uzalishaji wa bidhaa kama mazao na malighafi zengine unafanyika kwa kiasi kikubwa. Lakini pia maeneo ya vijijini kwa kiasi kikubwa ndipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.