Kuna nchi unatakiwa kuwa makini na kuanzia mazoea,msosi, vinywaji mpaka unapofikia na ili swala lipo.
Ila tanzania bado tujaweza sasa kuhusu na maswala ya biashara ya viungo kama figo maana ndio bidhaa ambayo naogopa kuingiza mada hapa.
Je wale ambao wamenusurika au kuomba uchunguzi wa...
Hili sasa lifike Mwisho. Na Lazima tukumbuke kwamba tuko mwaka gani.
Sitaki amini eti, AFYA YA AKILI kwa matukio haya. Hapana
Dkt. Gwajima D njoo utuambie shida ni nini. Mauaji ya hovyo yamezidi. Ahsante.
Haya sasa wakuu
hapo vp? nasoma maoni nini kifanyike ili kukomesha mambo kama haya maana huu ni ushirikina wa hali juu na umaskini
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kupatikana na viungo vinavyodhaniwa kuwa vya binadamu.
Watuhumiwa hao ni Kelvin Piason...
Wakuu Salaam
Katika Swla la Upoteaji na utekaji wa Watu, Watu wa tiba Mbdala na Hospitali zichunguzwe biashara ya figo na viungo vya binadamu Tanzania
Tunaweza Walaumu Polisi, TISS, Machawa wa vyama vya siasa nk. Lakini tunawasahau hawa wataalam wetu wa afya.
Pia kuna watu wanazikwa na...
Leo nilikuwa hospitali moja kwaajili ya matibabu. Nikamuona mzee mmoja kwenye wheelchair, ana mguu mmoja mwingine umekatwa kuanzia kwenye goti.
Hii ikapelekea nijiulize hivi viungo vinavyokatwa kwasababu ya magonjwa kama kisukari na mengine huwa vinapelekwa wapi.
Ni mgonjwa anapewa kiungo chake...
Idadi hiyo imeokotwa ktk mifuko ya viroba. Ni hali ya kusikitisha kwa kweli miongoni mwao wapo watoto.
========
POLISI mkoani Dar es Salaam wamekamata mafurushi ya mifuko yakiwa na viungo mbalimbali vya binadamu vilivyohifadhiwa katika mifuko ya plastiki katika machimbo ya kokoto ya Bunju...