Salaam, Shalom.
Samahani Kwa waliozaliwa 2000+, Miaka ya 90 kurudi nyuma, yalikuwepo majiko( Meko) ya umeme katika nyumba nyingi za watumishi wa umma, mapolisi, mahakimu, bankers, watoza ushauri, matajiri nk nk.
Matumizi ya majiko ya kutumia umeme, yalisaidia kupunguza matumizi ya mkaa, hivyo...