viwanda

  1. T

    Kwenye viwanda tulichemka, Bandari tuweze? Nionyesheni tulichowahi kubinafsisha tukapata faida!

    Watanzania tumerogwa siyo bule! Siku zote mkaguzi wa hesabu za Serikali (CAG) mara zote ukaguzi wake katika sector ya Bandari amekuwa akisisitiza ufanisi uongezwe ili mapato yaongezeke ukilinganisha na Bandari zingine, lakini hakuwahi kusema kuna hasara iliyotokana na uendeshaji wa Bandari...
  2. Ambiente Guru

    Dhuluma na wizi viwanda vya Mabati Dar, TBS oneni haya

    Miaka ya nyuma mabati yalipigwa mhuri kuonyesha gauge au viwango (mf G32, G28), sasa hivi sio hivyo. Unanunua mabati ya mgongo mpana na kofia kwa bei ghali. Haipiti muda kutu tayari. Unaende kiwandani unalipia mabati ya kukunja, wanakunja na kusababisha uharibufu (kuchanika), bado...
  3. DON YRN

    SoC03 Tanzania ya viwanda: Mei Mosi na kundi lililosahaulika ndani yake

    Ni majengo makubwa makubwa, yenye thamani ya mamilioni ya shilingi yakiwa yamewekezwa. Ndani yake kuna mitambo ya aina mbalimbali yenye kuzalisha bidhaa mbalimbali zinazotumika katika maisha ya kila siku kwa kila Mtanzania. Bidhaa zenye kuzalisha faida za thamani ya mamilioni ya shilingi na...
  4. Roving Journalist

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/2024

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/2024
  5. saadala muaza

    SoC03 Tanzania ya viwanda inawezekana

    TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA Kuiga kizuri si dhambi.Ni vyema tukarudi nyuma mpaka katikati ya karne ya 18.Uingereza ilikuwa na uchumi wa kati na ni hata nyuma zaidi ya hapa tulipo sisi sasa.Si hili tu India pia ni nchi ambayo kwa kiasi kikubwa vijana wengi na familia nyingi zenye maisha ya...
  6. Stephano Mgendanyi

    Waziri wa Viwanda Dkt. Kijaji - Serikali Itaendelea kuvijengea uwezo Viwanda vya Ndani

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali itaendelea kuvijengea uwezo viwanda vya ndani vinavyozalisha saruji kabla bidhaa hiyo haijaruhusiwa kuwa kati ya bidhaa kumi zitakazoweza kuingia katika soko huru la Afrika (AfCFTA). Ameyasema hayo tarehe 21...
  7. Roving Journalist

    Dkt. Ashatu Kijaji: Biashara Kariakoo zinaendelea, wafanyabiashara wametumia Demokrasia na Uhuru wao kufungua au kutokufungua

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 25 leo Mei 15, 2023. WAZIRI MASAUNI: SERIKALI HAIJAJIRIDHISHA URAIA PACHA NI MATAKWA YA WENGI Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema “Bado Serikali haijajiridhisha kwamba uraia pacha ni takwa la...
  8. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na suala la viwanda

    Mabadiliko katika viwanda. Andaa andiko litakalochochea mabadiliko katika #utawala bora au #uwajibikaji kuhusiana na suala la viwanda lisilopungua zaidi ya maneno 700 au yasiyozidi 1000 Utangulizi: Viwanda ni muhimu katika maendeleo ya uchumi wa nchi yoyote ile, kwani husaidia kutoa ajira...
  9. Kidagaa kimemwozea

    Nchi za Afika zenye maendeleo ya viwanda

    Viwanda ndio uchumi imara, Kama huna viwanda vya kutosha huwezi kuwa na uchumi mzuri. Hakuna maendeleo au ukuaji mzuri wa kiuchumi bila kuwa na uzalishaji unaotokana na viwanda kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali hizi ndizo nchi zilizoendelea kiviwanda katika bara Africa. 1)- South Africa 🇿🇦 2)-...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Charles Mwijage Aionesha Serikali Mbinu ya Kulinda Viwanda

    MHE. CHARLES MWIJAGE AIONYESHA SERIKALI MBINU YA KULINDA VIWANDA Mbunge wa Jimbo la Muleba Kaskazini, Mhe. Charles John Poul Mwijage Akizungumza Bungeni wakati akichangia hoja kwenye bajeti ya Wizara ya viwanda na Uchukuzi Mhe. Mwijage ametumia muda huo kuionyesha Serikali mbinu hizo ambazo...
  11. Stephano Mgendanyi

    Bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024

    BAJETI YA WIZARA YA UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb,) amesema ndani ya mwaka mmoja, mifuko na programu za uwezeshaji wananchi kiuchumi imetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 713.8. Dkt...
  12. T

    Mwenye maono akifa vitu vyote hufa kibudu, viwanda vilivyoanzishwa na Magufuli mbona havikuwa magofu?

    Shida ni nini? Kuna viwanda vingi vilijengwa na vingine kuanzishwa, Cha ajabu ni kwamba, vilivyokuwa vikijengwa na ilikuwa vinaendelea vizuri, sasa haviendelei tena kujengwa, vingi vinaelekea kuwa magofu! Hawa wawekezaji walioanza kujenga viwanda barabara ya Bagamoyo to Tanga, Dar to Moro...
  13. BARD AI

    Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

    Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda. Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji...
  14. R

    Bila dhambi viwanda vya nguo vingekuwepo?

    Nachokoza hii mada naomba tuchangie Kwa weledi na ustaarabu. Kulingana na masimulizi ya Biblia kitabu cha Mwanzo, binadamu wa kwanza Adamu na Eva waliumbwa na kuishi wakiwa uchi mpaka walipotenda dhambi ndipo walipoona soni maumbile yao ya uzazi kutokufunikwa. Najiuliza kama hawangehalifu...
  15. M

    Je, ni vikwazo gani vinasababisha viwanda vya toothpicks kutokuendelea/kufanikiwa nchini Tanzania au Afrika Mashariki?

    Habari, wanajukwaa! Ni muda mrefu nimekua nikifuatilia viwanda vidogo vya kutengeneza toothpicks Tanzania na hata Africa Mashariki ili kuona hatua na mafanikio katika kuanzishwa kwake na muendelezo wake. Naona vingi haviendelei kama ilivyo ilivyotarajiwa. Kuna kiwanda bora kabisa kilikuwepo...
  16. Sildenafil Citrate

    Rais Samia ateua Mwenyekiti wa Bodi ya SIDO

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mhandisi Musa Ally Nyamsingwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO). Mhandisi Nyamsingwa ni Mkurugenzi wa Idara ya Barabara Kuu na Usafirishaji, Kampuni ya NORPLAN Tanzania Limited...
  17. BARD AI

    Waziri Bashe atishia kufuta leseni za Viwanda vya Chai visivyolipa wakulima

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameagiza viwanda vya chai kulipa madeni ya wakulima vinginevyo atavifutia leseni. Amesema haiwezekani wakulima waliopeleka chai kwenye viwanda vyao tangu Agosti, 2022 bado hawajalipwa malipo yao jambo ambalo sio sahihi. Bashe amesema hayo jana Januari 18 wakati...
  18. Pascal Mayalla

    Watanzania, hasa vijana, waaswa kuchangamkia fursa za Kilimo Biashara. Dkt. Ashatu Kijaji aipongeza kampuni ya Agricom Africa

    1. Videos Kuona ni Kuamini!, Shuhudia kwa Kuona kwa Macho yako, Sikia kwa Masikio yako! 2. News Story Watanzania, wamehimizwa kutumia zana bora na za kisasa za kilimo kwa kuchangamkia fursa za kilimo biashara, ili kuzalisha bidhaa nyingi za kilimo zitakazo tumika kama malighafi ya viwanda...
  19. The Burning Spear

    Asikwambie mtu, Mgao wa umeme wamiliki wa viwanda wanaisoma Namba

    Hivi ndivyo ninavyoweza kusema kwa ufupi, hali ni mbaya sana kwa wamiliki wa viwanda Tanzania tangu kuondoka kwa uncle mambo yamebadilika sana. inawezekana baadhi ya wawekezaji walifurahia kuondoka huyu mwamba ila wakati wanaopitia kwa sasa mungu mwenyewe anajua. iko ivi viwandani huwa...
  20. I

    Viwanda vya kutengeneza Jam ya mkate

    Hello wapendwa wa JF nilikuwa nauliza ni wapi kwa hapa Tanzania naweza pata mjasiriamali mdogo au kama ni kiwanda kinachotengeneza jam ya kwenye mkate tufanye biashara.
Back
Top Bottom