viwanda

  1. EINSTEIN112

    VITA YA UKRAINE: Urusi yazingira kitovu cha viwanda

    Kramatorsk. Vikosi vya Russia vinavyohusika katika mapigano makali mashariki mwa Ukraine vimeuteka mji wa kimkakati wa Lyman na kuzingira kituo kikuu cha viwanda, Moscow imedai. Hata hivyo Ofisa wa Ukraine amekanusha kuwa mji wa Severodonetsk ambao ni kitovu cha mapigano makali ya wiki...
  2. S

    Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

    Amesema anaomba aoneshwe hata kiwanda kimoja kilichojengwa na serikali ya Magufuli. Amesema utawala wake ndiyo umesababisha ukame wa ajira kwa vijana mpk kuibuka kwa panyaroad. Legacy kwisha! Kwisha kabisaaaa! Chanzo: Hashimu Rungwe anahojiwa startv muda huu.
  3. Dantefx

    Viwanda na kampuni zinazopatikans Mara

    Habari wakuu samahan naomba kujua je Mara Kuna viwanda gan au kampuni gani na majina Yao nipo na shida nayo Asanteni
  4. B

    Ridhiwani Kikwete afungua maonyesho ya viwanda vya kuzalisha Nishati kwa kutumia Teknolojia mbalimbali

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Alhamisi Machi 24, 2022 alikuwa Mgeni rasmi kwenye Ufunguzi wa maonyesho makubwa ya Viwanda vinavyozalisha Nishati kwa kutumia Teknolojia mbalimbali. Ufunguzi wa maonyesho hayo yaliyoandaliwa na Kampuni ya Expo...
  5. and 300

    Viwanda vya Pombe vipewe Ruzuku!

    Ikiwa vyama vya Siasa vinapewa Ruzuku. Iweje sekta inayoingiza Kodi kwa wingi hawapewi Ruzuku toka mfuko mkuu wa Taifa? Tatizo ni Nini? Tumechelewa sana!
  6. MPINGA UKAWA

    Nafikiria kuanzisha biashara ya kuwauzia maziwa viwanda vinasindika maziwa kama vile Tanga fresh na vinginevyo

    Wakuu nawasalimu Wakuu nimeona fursa katika biashara ya maziwa natamani sana kufanya biashara hii Biashara hii haswa natamani kuwauzia viwanda vinavyo sindika bidhaa hii Kama vile Asas , tanga fresh ,shambani milk na vinginevyo hata vidogodogo vyenye uwezo wa kuchukua kuanzia lita 50 Hadi 100...
  7. MIMI BABA YENU

    Safari ya Rais Samia Dubai: Viwanda vinne kujengwa nchini, kuzalisha ajira zaidi ya 3500

    Historia ya uchapakazi na kujituma ni kati ya mambo mengi yanayotoa tafsiri ya uongozi wa Rais Samia Suluhu. Baada ya ziara yenye mafanikio makubwa Barani Ulaya na katika Falme za Kiarabu, Haya ni baadhi ya makubaliano ya ujenzi wa viwanda nchini kufuatia juhudi za Rais Samia kuvutia wawekezaji...
  8. S

    Nataka kufanya biashara ya kuuza mbuzi viwandani. Ni viwanda gani wanalipa vizuri?

    Nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi Ila niuze viwandani na sio mnadani, ni viwanda gani wanalipa vizuri na hawasumbui ulipaji? Na utaratibu ikoje? Naomba muongozo
  9. Tony254

    Uganda na Total wamechagua Mombasa port badala ya Dar port kupokea mizigo kutoka Ulaya ya kujenga viwanda vya mafuta vya Uganda

    Kuna wakati Watanzania fulani hususan Geza Ulole alipinga vikali nilipomueleza kuwa Uganda watatumia port ya Mombasa kuingiza mizigo itakayotumika kujenga viwanda vya mafuta. Vifaa vingi vitakavyotumika kujenga viwanda hivi vitaagizwa kutoka ulaya na Dar port ipo mbali na Uganda na ndio sababu...
  10. K

    Ninaiomba TBS isimamie ubora wa vigae vinavyotengenezwa na viwanda vya wachina hapa nchini

    Wananchi wengi kwa sasa wanatumia vigae vinavyotengenezwa na viwanda vya Wachina hapa nchini lakini jinsi inavyoonekana vigae hivi havina ubora unaohitajika na havidumu kwa muda mrefu tofauti na vigae vinavyotoka Spain, Uturuki na Italy. Ni vyema sasa Tanzania Bureau of Standards(TBS)...
  11. B

    Kiwanda bubu cha Mawese ni sawa, ila viwanda bubu vya pombe ni haramu

    Nimeshangaa sana chapuo wanazopigiwa Mh. Bashe na Zito. Juzi tu hapa kaskazini kule jamaa ana kiwanda bubu cha pombe kali (Kabrand ka Konyagi) wamemsweka ndani na kumuanika kwenye media kama haramia hatari kisa pombe. Mbona hamjatoa tamko SIDO wamsaidie nae au tumpe share breweries apeleke...
  12. V

    Tetesi: Muheshimiwa SSH mteue Prof. Madam Geraldine Arbogast Rashel wa GPSA kuwa waziri wa Viwanda na Biashara.

    Muheshimiwa SSH na raisi wangu najua upo kwenye majukumu mazito ya kujenga taifa. Hata hivyo kutokana na watendaji toka taasisi za Elimu ya juu kutanguliza nadharia kwenye utendaji mfano maandiko na machapisho badala ya kuboresha mifumo na kutumia rasilimali na nguvu wanazozikuta kwenye sehemu...
  13. jingalao

    #COVID19 Wizara ya Afya ikishirikiana na Wizara ya Viwanda ituletee kiwanda cha chanjo ya COVID-19

    Moja ya mapendekezo ya Tume iliyomshauri Mhe. Rais kuleta chanjo ilikuwa ni kujenga kiwanda cha chanjo kwa haraka. Napena kusisitiza kuwa pendekezo hili namba 7 lifanyiwe kazi kwa uharaka ule ule ili nchi isiingìe kwenye deni lisilo la lazima.
  14. K

    Nipongeze Serikali kwa jitihada za Viwanda

    Lazima tuweke utamaduni wa kupongeza. Uwekezaji umeongezeka na kwenye hili hakuna ubishi. Lakini cha kufurahisha ni kwamba uwekezaji umeongezeka wakati bado kuna Covid. Hii imetokana na uwezo mkubwa wa mawasiliano kutoka juu yaani Raisi wetu amekuwa mtu mzuri kwa mawasiliano ukilinganisha na...
  15. MK254

    Nchi ya viwanda - Pan Paper’s Sh500m unit starts operation

    The billionaire Rai family has commissioned a second Sh500 million paper machine at the Webuye-based Pan African Paper Mills that is set to double its current production to 40,000 tonnes per year as it aims at full revival. The plant has been operating with only one production line since it...
  16. skfull

    Kwanini sukari imekuwa ghali saaana wakati viwanda vipo nchini vya kutosha?

    Ndugu zangu wana jamvi wenzanzangu, wtz wenzanzangu, habari za asubuhi,, nitumsini langu mko poo Leo napenda tujadili sukari kidogo, niliwahi kusikia ni marufuku kuagiza sukari nje ili kulinda maslahi ya mlaji Hilo ni tamko la serikali kupitia waziri mkuu na waziri mwenye dhamana pia aliekuwa...
  17. Jidu La Mabambasi

    Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani. Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili. Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora. Na hii naanza...
  18. Kinuju

    Kwa kauli ya Rais Samia Tanzania ya viwanda imeota mbawa

    Tangu aape kuwa Rais wa sita wa Tanzania ni kama hajui kuwa ilani ya CCM inataka Tanzania iwe ya viwanda mpaka kufikia mwaka 2025 ili kuongeza ajira na uzalishaji nchini. Kwa sasa umeme unasuasua na kuongeza gharama za uzalishaji je nani ataanzisha kiwanda? Ameruhusu ungizwaji wa bidhaa holela...
  19. Opportunity Cost

    Rais Samia anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo

    Heko wadau.. Rais wa Tanzania mh.Samia Suluhu Hassan anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo na bila makelele .. Kwa mda mfupi Sana amevutia maelfu ya wawekezaji katika maeneo mbalimbali hususani viwanda . Tulikuwa na Rais ambaye alikuwa anajigamba Sana Kuwa Rais wa viwanda lakini ndani ya...
  20. Kichuguu

    Viwanda Vidogo Katika Level ya Kimataifa

    Kwenye masoko ya kimataifa, kuna bidhaa nyingi ambazo hazitengenezwi na viwanda vikubwa. Mifano michache ni pamoja na spare parts mbalimbali za magari, mipira, viatu, na nguo za kuvaa. Kwa nini Tanzania hatutoboi katika viwanda vidogo vya namna hiyo na kuingia kwenye masoko ya dunia...
Back
Top Bottom