viwanda

  1. BARD AI

    Naibu Waziri Viwanda ataka wahitimu waache kulalamika, wajiajiri

    Naibu Waziri Exauds Kigahe amewataka Wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kutumia elimu waliyoipata kujiajiri ikiwemo kuanzisha biashara badala ya kuwa sehemu ya kulalamikia ukosefu wa ajira. Amesema “Ni jukumu la kila mhitimu kuukubali na kuuchangamkia zaidi msukumo wa Sayansi na...
  2. R

    Anayejua Viwanda vilivyojengwa na Hayati Rais Dkt. John Magufuli anioneshe vilipo

    Habari ndugu zanguni. Kutokana na hali ngumu ya kimaisha ambayo Watanzania wanapitia kwa sasa( ofcourse tulitabiri hili) ni muda sasa vijana wa kitanzania wakawa Absorbed kwenye ajira za viwanda. Ni viwanda vile tulivyoimbiwa nyimbo na mapambio na wanaccm kwamba vinajenga na kila siku vilikuwa...
  3. L

    Eneo la viwanda la Huawei lazinduliwa nchini Angola

    Hafla ya uzinduzi wa Eneo la Viwanda la Huawei imefanyika jana jumanne wiki hii katika mji mkuu wa Angola, Luanda, na kuhudhuriwa na rais wa nchi hiyo, João Lourenço. Kwenye hafla hiyo, Angola na kampuni ya Huawei zilisaini makubaliano kuhusu kuwaandaa watu wenye ujuzi wa kidigitali. Kutokana...
  4. J

    Kuna mtu anajua viwanda vinavotoa ajira kwa Dar na Pwani?

    Jamani kama mnavojua vijana wengi hawana ajira. Kwahiyo mwenye kujua kiwanda kinachotoa ajira kwa Dar na Pwani naombeni msaada
  5. Equation x

    Tukiwekeza kwa matajiri wanaotokana na viwanda na kilimo, umasikini utakuwa ni historia

    Mtazamo wangu; Kama tukichukua matajiri wakubwa 1000 wanaotokana na umiliki wa viwanda; viwe vya kati au vikubwa. Pamoja na matajiri 1000 wanaotokana na kilimo; wakapewa sera nzuri ya kodi, sera nzuri kwa masoko ya nje, sera nzuri katika kuagiza vipuli, na wakawezeshwa kwenye mitaji ya...
  6. K

    Tanzania ya viwanda yageuka kuwa Tanzania ya vituo vya mafuta

    Bila shaka sasa Tanzania mpya iliyokuwa inameremeta kwa ujenzi wa viwanda kila kona ya nchi, sasa imegeuka kuwa Tanzania ya ujenzi wa vituo vya mafuta kiholela na kila sehemu! Sheria inataka ujenzi wa kituo cha mafuta uwe mita 500 kutoka kimoja hadi kingine lakini sheria hii haifuatwi tena...
  7. Black Butterfly

    DOKEZO Bila Rushwa ya 50,000 au 100,000 kwa Viongozi wa viwanda vya Mo Dewji hupati kazi

    Ndugu zangu, Kuna mambo ya ajabu yanafanyika kwenye ajira za vibarua katika viwanda vya METL chini ya MO DEWJI. Kuna wanaojiita supervisors wa viwanda na wahusika wa kuajiri wafanyakazi na vibarua wamekuwa na utaratibu kuchukua rushwa ya Tsh. 50,000 hadi 100,000 kwa kila anayetaka kazi. Kuna...
  8. I

    SoC02 Mifumo ya kisera inayoweza kuhakikisha Afrika kupokea mapinduzi ya nne ya viwanda, ili kukuza ushirikishwaji wa vijana katika ajenda ya biashara

    Mapinduzi ya nne ya viwanda, yajulikanayo kama 4IR au 4.0, ni mapinduzi ya kidijitali yenye sifa za muunganisho wa teknolojia kati ya nyanja za kimwili, kidijitali na kibayolojia. Mapinduzi haya ya viwanda ni tofauti na yale matatu ya kwanza kwa sababu yale yalilenga kuongeza na kuendesha...
  9. ANAUPIGA MWINGI

    SoC02 Tanzania ya Viwanda ni hadaa kubwa sana na hakuna kitu kama hicho

    Kumekuwa na hamasa nyingi sana tangu awamu zilizo pita kuhusu Tanzania ya Viwanda, na kumekuwa na mikakati mingi sana ya Tanzania ya viwanda, awamu ya 5 ilifikia wakati tukawa tunapewa na idadi ya viwanda kabisa na tukaambiwa kwamba ukiwa na vyerehani 4 basi ni kiwanda na ukiwa na mashine ya...
  10. S

    Viwanda vingi vya Netherlands vyafungwa kutokana na kutohimili bei ya nishati ya Urusi

    Cc: let the caged bird sings, Uturiki yaripoti kuwa viwanda mbalimbali nchini Netherlands vinafungwa kwa 'fujo' (wingi) kutokana na bei ya nishati kuongezeka zaidi. Hiyo ni kutokana na Urusi kuamua kuzinyoosha nchi za EU kwa kuwanyima gesi yake. Gharama za uzalishaji zimekuwa kubwa zaidi kiasi...
  11. Ottician

    SoC02 Mdororo Sekta ya Ngozi: Changamoto za kusadikika na mikakati ya kujinasua

    SIKIA HII Tanzania ni nchi ya pili kwa mifugo mingi barani Afrika nyuma ya Ethiopia.Uwepo wa mifugo mingi ni fursa kubwa ya kuwekeza na kukuza biashara ya ngozi. Tuko wapi? ,Licha ya kuwa na fursa hii Tanzania ni nchi ya kumi na moja kwa uuzaji wa ngozi nje na uwezo wake ukiporomoka kila...
  12. Chode kanju

    SoC02 Tanzania haijachelewa kuufikia uchumi wa Viwanda

    Tanzania Haijachelewa Kuufikia Uchumi wa Viwanda Tanzania ya Viwanda ni sera iliyopewa kipaombele sana na Raisi wa awamu ya tano hayati John Pombe Magufuli akiamini kupitia uwekezaji na maendeleo ya viwanda ndio njia pekee itakayoiwezesha Tanzania kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi yatakayo...
  13. U

    SoC02 Tanzania na changamoto za ukuaji wa viwanda vidogo vidogo

    Viwanda vidogo vidogo ni miongoni mwa sekta muhimu ambazo zinasaidia saaana kutatua changamoto za uhaba wa ajira na kukuza uchumi wa mtanzania mtu mmoja mmoja. Mfano wa viwanda hivyo ni kama uselemala, ufundi kushona na vingine vingi. Viwanda hivi vidogo kama endapo vikawekewa mikakati ya...
  14. tamsana

    Nini kimetokea Prof. Kahyarara, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda kuwa RAS Geita?

    Kazi iendelee! Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS. Sijui nini...
  15. B

    Je, kuna umuhimu wa mapinduzi ya viwanda nchini Tanzania?

    HISTORIA FUPI YA MAPINDUZI YA VIWANDA Nchi nyingi duniani zilizo endelea zimepitia mapinduzi ya viwanda, na mapinduzi hayo yalihusisha hatua, michakato na pia hatima mbalimbali ambazo zilipelekea nchi nyingi barani ulaya kafanya maaumuzi tofouti tofauti ili kukidhi uhitaji wa viwanda ambavyo...
  16. benzemah

    Ujenzi wa viwanda vya kubangua korosho na neema kwa Watanzania

    Serikali ya Tanzania imesema iko katika hatua za mwisho za majadiliano na Serikali ya Vietnam kujenga viwanda vitakavyobangua Korosho hapa nchini (Tanzania) ili kuiongezea thamani badala ya kuiuza ikiwa ghafi kama inavyofanyika kwa kiasi kikubwa hivi sasa. Taarifa kutoka Kituo cha uwekezaji...
  17. J

    Baadhi ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambavyo ni magodauni na magofu

    Hivi ni baadhi tu ya Viwanda vya kimkakati alivyoanzisha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere bahati Mbaya vingi ni magodauni na magofu vijana inawezekana mmesahau 1. TANGANYIKA PACKERS - usindikaji,upakiaji na usambazaji wa nyama ya ng'ombe. Kiwanda hiki kilikuwa Kawe na kingine mkoani...
  18. FRANCIS DA DON

    Napendekeza EPZA wapewe kiwanda cha urafiki, kuna viwanda kama 50 ndani ya urafiki havifanyi kazi

    Mtu akiambiwa kiwanda cha Urafiki anaweza kuzani ni kakiwanda tu, ila ukiingia ndani ndio utaelewa nini maana ya kiwanda, yaani ndani ya Urafiki kuna majengo ya Viwanda kama 50 hivi, yaani magodown yaliyo mule ndani, kila godown ni kama kiwanda kikubwa kabisa, yaani ni hatari. Halafu...
  19. EINSTEIN112

    Maafisa wa Luhansk wamesema kuwa vikosi vya Urusi vimeingia katika eneo la viwanda la Sievierodonetsk baada ya kuanzisha mashambulizi makubwa

    Akizungumza Jumanne, Meya wa Mji wa Luhansk, Serhiy Haidai amesema mapigano yanaendelea katika eneo la mashariki wakati ambapo vikosi vya Urusi vinajipanga upya baada ya kuongeza shinikizo na kusonga mbele kwenye miji miwili. Haidai amesema kiwanda cha kemikali cha Azot ndiyo pekee katika eneo...
  20. S

    Msaada mwenye Hotuba ya Bajeti za Wizara ya Fedha na Wizara ya Viwanda 2022/2023 tafadhali

    Jamani wananzengo. Naomba mwenye hizo documents namuomba ikiwezekana atuwekee hapa au anipe hata inbox nitashukuru sana.
Back
Top Bottom