Juzi tu hapa Nkane, Mdathir, Sureboy, Farid Mussa, Moloko, Kibwana, Walikuwa ni wachezaji hatari sana hata kama walikuwa wanatokea Sub, ukianza kuhesabu magoli ya ushindi au perfomnce zao bora hapa hutoacha kukumbuka.
Nkane aliipatia Yanga goli la kuwapa Taji la ASFC 2021/22 , baada ya...