viwango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    Shirika Ka Viwango Tanzania TBs Limewataka Wananchi kuachana Na Powder ya Johnson

    Shirika la Viwango Nchini (TBS) limewaelekeza wananchi kutoendelea kutumia bidhaa za Johnson’s Baby Powder zenye kiambato cha TALC toleo namba 22318 RB kutoka Kampuni ya Johnson & Johnson ya nchini Marekani inayodaiwa kuwa na madini yanayosababisha saratani. Katika taarifa yao iliyotolewa na...
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Yanga yapanda viwango vya Afrika, yaingia 30 Bora

    CAF's TOP 5️⃣0️⃣ Ranked Clubs in Africa after the group stage of the 2022/23 CAF interclub competitions: Based on the 5-year RANKING! 1. 🇪🇬 Al Ahly 2. 🇲🇦 Wydad Casablanca 3. 🇲🇦 Raja Casablanca 4. 🇹🇳 Espérance 5. 🇿🇦 Mamelodi Sundowns 6. 🇪🇬 Zamalek 7. 🇲🇦 RS Berkane 8. 🇩🇿 CR Belouizdad 9. 🇹🇿...
  3. J

    Rais Samia: Kwenye viwango vya Siasa na Demokrasia tumeshuka!

    Rais Samia anesema kwenye Viwango vya Siasa na Demokrasia vya Kimataifa hatujafanya vizuri hivyo tumeshuka chini Source TBC ======= Akizungumza baada ya kupokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU 2021/2022, Rais Samia amesema: "Kwenye uchaguzi na Demokrasia tumeshuka. Tulikuwa na pointi 51, sasa tuna...
  4. kavulata

    Rais Samia ana viwango vya kimataifa, ni zawadi maalum kwa Watanzania

    Kama una afya njema ya mwili na akili hebu chukuwa muda wako kumuangalia usoni Mama Samia kwa kutumia macho yako ya nyama na ya rohoni. Bila shaka utagundua kuwa Tanzania na watu wema wote wako salama chini ya uongozi wake. Uhakika wa kuiona kesho yao na hata kuwaona wajukuu wako kabla hujafa...
  5. D

    Siku nyingine Rais akitoa fungu atenge kwa viwango; Bao la Championi lisiwe sawa federetation, Yanga alistahili kupewa 2 mil kwa bao

    Hii michezo ina ngazi! Simba wamecheza Champion league (ligi ya mabingwa). Automatically huku ni kugumu maana kuna timu ngumu na zenye viwango! Promotion ya kuwapa zawadi alitakiwa hawa wapewe zaido nyingi kama motisha ya kutambua na kutofautisha! Yanga iko federation cup ( ligi ya...
  6. K

    Wizara ya Mifugo & Uvuvi wekeni viwango samaki wa maji baridi hasa Sato

    Inaelekea kuna rushwa nyingi au kutokufahamu wa Serikali kwenye hii Wizara ya Uvuvi. Lakini kuwa wanaofaidika sana na elimu ndogo kwa raia wa Tanzania Watanzania wakiona samaki wa sato wananunua kwa kujiaminisha wanatoka ziwa Victoria. Tatizo kubwa ni kwamba huu sio ukweli. Samaki wengi wa sato...
  7. BARD AI

    Ripoti CPI: Tanzania yaporomoka viwango vya Kupambana na Rushwa Duniani

    Ripoti ya Transparency International inayoangazia jinsi Nchi zinavyopambana na Rushwa na Ufisadi duniani (CPI), imeitaja #Tanzania kwenye nafasi ya 94 kati ya Nchi 180 mwaka 2022 kutoka nafasi ya 87 mwaka 2021. Kwa upande wa #Afrika, Tanzania iko nafasi ya 14 kutoka nafasi ya 19 mwaka 2021. Pia...
  8. B4g3g3

    Thermal expansion noise ya nyumba imepitiliza viwango nini nifanye?

    Habari, Nyumba imeezekwa takriban mwaka sasa, bati Gauge 28 ya Alaf, Tatizo ni kelele za bati pindi jua libapowaka na usiku likipoa ( thermal expansion noise). Nashindwa kuelewa, tatizo ni fundi au material ya bati lenyewe au ndo jua ni kali? Nini naweza kufanya?
  9. JanguKamaJangu

    UN: 50% ya dawa eneo la Afrika Magharibi ni feki au hazikidhi viwango

    Umoja wa Mataifa (UN) imetoa angalizo hilo katika ripoti yake kuhusu biashara haramu ya bidhaa za matibabu. Biashara hiyo inaweza kusababisha dawa za kuua wadudu kutofanya kazi au maambukizi ya magonjwa hatari, pia kudhoofisha mifumo ya afya kwa watumiaji. Kati ya Januari 2017 hadi Disemba...
  10. U

    Jifunze mambo yanayosababisha ushindwe kufanya jambo kwa viwango vikubwa

    Habarini, Ningependa tujifunze baadhi ya makosa tunayoyafanya,na husababisha tushindwe kufanya mambo kwa viwango vikubwa. Ningependa kutumia kitabu cha ONE THING. Kitabu kinachoelezea kuwa umuhimu wa kufanya mambo kwa mpangilio. Suala ni kwamba wote huwa tuna malengo,ila malengo au ndoto zetu...
  11. Moshi25

    Yanga na kufuru ya kujaza Maestro na kuua viwango vya wachezaji wazawa

    Mimi ni Yanga utopolo original Yanga Lia Lia shabiki kindakindaki makolo wanatuita mashabiki maandazi wa utopolo Najiuliza wale wachezaji wa kigeni viwango vya dunia tumejaza Yanga Kila idara mpaka Simba wanatamani kubaki arabuni wacheze ligi hiyo au wahamie ligi ya Burundi maana Huku tz...
  12. I

    Mataifa 10 ya Afrika yenye viwango vya juu vya ubora wa maisha

    Kiwango cha furaha ambacho watu wanahisi ni motisha ya kutosha kwao kufanya kazi kuelekea kulinda na hata kuinua ustawi uliosemwa, wakati huo huo kufichua kwamba kanuni na kazi zao za kiuchumi hazina ufanisi. Kwa maneno rahisi zaidi, nchi inapotumiwa kwa kiwango cha maisha kinachofaa, huwa...
  13. BARD AI

    Jinsi viwango vya Ufaulu Kidato cha Pili vinavyozidi kushuka

    Idadi hiyo sawa na 14.72% ya waliofanya Mtihani Nov 2022, watalazimika kukariri Masomo ya Kidato cha 2 kutokana na kufanya vibaya kwenye Mtihani wa Upimaji na kupata Daraja 0 (#Division0) Pia, Wanafunzi 372,113 (58.74%) licha ya kufaulu, wamevuka Darasa kwa kupata kiwango cha chini ambacho ni...
  14. L

    Chini ya uongozi wa Rais Samia viwango vya furaha kwa Watanzania vyaongezeka mitaani

    Ndugu zangu watanzania, Maisha Ni pamoja na kuwa na furaha Moyoni,Ni pamoja na kufurahia uwepo wako Duniani,Ni pamoja na kufurahia aina ya maisha unayoishi,Ni pamoja na kufurahia aina ya uongozi uliopo madarakani kwa namna unavyogusa maisha yako ya kila siku. Serikali na uongozi uliopo hasa...
  15. BARD AI

    Ripoti UNDP: Tanzania imepanda viwango Maendeleo ya Binadamu

    Tanzania imepanda katika viwango vya kimataifa vya maendeleo ya binadamu, imeeleza ripoti mpya ya Maendeleo ya Watu 2021/2022. Imepanda kutoka nafasi ya 163 (alama 0.529) mwaka 2020 hadi 160 (alama 0.549) mwaka jana kati ya mataifa 191 huku ikiwa juu ya majirani zake sita wa ukanda wa Afrika...
  16. K

    Viwango vilivyopendekezwa na Serikali, Bima ya Afya kwa Wote

    Hivi karibuni, Rais Samia Suluhu alisema serikali itapeleka mswaada wa Bima ya Afya bungeni ili uweze kujadiliwa. Wakati mchakato huo unaendelea Serikali kupitia Wizara ya Afya imependekeza viwango vya kulipia kwenye Bima. Prof. Makubi amesema uchangiaji unaopendekezwa ni Sh. 340,000 kwa kaya...
  17. BARD AI

    Nchi 10 za Afrika zenye viwango bora vya maisha vya kidijitali

    Hizi ndizo nchi kumi za Kiafrika zilizo na kiwango cha juu zaidi cha ubora wa maisha ya kidijitali kwa mujibu wa Surf Shark, na ndizo nchi pekee za Kiafrika katika 100 bora duniani isipokuwa Uganda na Ivory Coast, ambazo ziliingia katika nafasi ya 98 na 100 mtawalia Afrika Kusini: Ikikadiriwa...
  18. Roving Journalist

    TBS yakamata Mabati 125,280 yasiyokidhi viwango, zoezi la kuyateketeza laingia doa

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeiandikia barua kampuni ya uagizaji na usambazaji wa mabati nchini URHOME Company Limited kuhakikisha ndani ya siku tatu imewapatia taarifa ya mabati 2176 kati 125,280 baada ya kufanyiwa ukaguzi na kugundulika hayajakidhi viwango. Akizungumza na waandishi wa...
  19. Nyamwage

    Zoom camera ya infinix zero x pro nikufuru hilo nimelithibitisha mimi mwenyewe

    Habari. Hizi picha mbili nimezipiga mimi mwenyewe kwa kutumia hii simu ya infinix zero x pro kwa kutumia camera yake ya 8mp periscope telephoto 5x optical zoom OIS nilikua magomeni Morocco hotel na hilo jengo la watumishi house nililo zoom liko mwembe chai
  20. BARD AI

    Kwanini viwango vya kubadilisha fedha vya nchi za Afrika Mashariki viko juu sana?

    Wachambuzi wa masuala ya Uchumi wamesema viwango vya juu vya ada za kubadilisha fedha wakati wa malipo ya miamala ya kuvuka mipaka inaathiri sana biashara ya kikanda. Kutokuwepo kwa sarafu moja ya Jumuiya ya Nchi 7 za Afrika Mashariki na kushindwa kuoanisha mfumo wa malipo ni miongoni mwa mambo...
Back
Top Bottom