Wakuu hizi ni Bar za Arusha ambazo toka utotoni zipo na zinaonekana bado zipo sana tu.
1. Parma - ipo stendi ndogo.
2. Mrina iliyopo Kaloleni.
3. Keny Garden makao mapya.
4. Sakina Bar
5. Cheetah iliyoko Majengo.
6. Kati makutano Makao mapya
7. Jogoo iliyoko Town
8. Stanley bar iliyoko town
9...
Nafikiri mechi ya Yanga dhidi ya Vipers ilikuwa ni moja ya mechi bab kubwa, Vipers walionyesha ni namna gani wako vizuri kiufundi, walikuwa wanacheza objective football, walikuwa very sold kwenye ngome yao baada ya kutangulia kupata bao la mapema, ni moja ya timu ambayo iko vizuri sana kwenye...
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema kwamba hali ya baridi itaendelea kuwepo ambapo katika mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya baridi inatarajiwa kufikia viwango vya chini vya nyuzi joto 4°C.
Akizungumza hii leo jijini Dar es Salaam, Mtaalam wa uchambuzi wa hali...
Watabiri wa hali ya hewa wa Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza wametangaza hali ya dharura ya Kitaifa, na kutoa onyo la joto kali kwa baadhi ya maeneo nchini humo kwa Jumatatu na Jumanne wiki ijayo wakati halijoto inaweza kufikia viwango vya juu zaidi vinavyoweza kuathiri watu na miundombinu...
Salaam Wakuu,
Nilikuwa nafuatilia barabara zilizojengwa na Magufuli nikashangaa. Zote zimeharibika. Zimejaa mashimo n nyingine zimetengeneza matuta kama ya kupandia Viazi.
Huyu Mzee angeongoza miaka 10, angeiacha nchi yetu hoi. Itakuwa alikuwa anakula 10% halafu akija Jukwaani anafoka.
Hakuna...
Hili jiji lisikie tu kwenye radio,ila Dar kuna starehe jamani,nimetembelea mikoa mingi nchini na nchi nyingi kidogo si haba,nyingine kwa kwenda phyisically nyingine kwa kusoma,kusikia,movies na mitandao .ila Dar bado ni kinara wa starehe,Jonas Mkude huwa anakula starehe mpaka anazima kesho yake...
Nimeshangazwa na kauli za baadhi ya wabunge wakiongozwa na Jerry Silaa kutaka bodaboda ziendelee kuwa kero jijini Dar es Salaam.
Suala hili limebebwa vile vile na Spika Tulia Ackson, kutetea baodaboda kuendelea kuwa kero katikati ya miji mingi nchini.
Siyo siri bodaboda ni kero kubwa...
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (Latra CCC) limekata mapendekezo ya nauli yaliyotolewa na wadau wa usafiri wa masafa marefu na mafupi.
Uwamuzi huo umefikiwa leo Jumatano Aprili 13, 2022 baada ya Umoja wa Wasafirishaji Abiria Mkoa wa Dar es Salaam kupendekeza kiwango...
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema elimu ya juu inaporomoka huku akishangaa kushuka kwa viwango vya kupata uprofesa.
Hali hiyo imemfanya ayatake Mabaraza ya Vyuo Vikuu Tanzania kuwepo na ubora kwa kutoshusha vigezo ili kupata watu wengi.
Alitoa kauli hiyo jana...
Offer kabambe: pata saa 3 za Viwango kwa 100,000/- TU!
Hizi saa thamani yake kwa kawaida
ni over 200K TZs.
Lakini nimeamua kutoa unbeatable offer, hivyo utapata kwa 100,000 TU! Unapata saa zote tatu!
Kwa wale wanaojua value ya hizo saa wananielewa.
Brands:
Amst =1
Navi Force = 1
Skmei...
Leo mbunge Musukuma akichangia Bungeni, amesema moja kati ya sababu za mradi wa bwawa Hilo kukwama, ni kwamba ujenzi wake ni substandard (chini ya viwango).
Bila shaka Medard Kalemani ana kesi ya kujibu pamoja na menejiment ya Tanesco iliyokuwepo, na pengine hata JPM angekuwepo alistahili...
Ukweli ni kwamba maisha ya mjini yanategemea sana maisha ya watu wa vijijini, vijijini ndo kwenye lishe, utajiri na mali ghafi zote Muhimu kwa nchi nzima na hata nje ya nchi. :
Lakini tatizo linakuja pale barabara za mjini tu ndo zinazingatiwa haswa katika uwekaji wa Lami lakini sehemu nyingi...
Napenda kuishauri Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Morogoro, kuchukua tahadhari na kusimamia viwango vya makanisa yanayojengwa kwa nguzo za miti na mbao bila kuta za matofari.
Jana 16.01.2022 majira ya asubuhi karibia na ibada kuanza Kanisa la Nabii Joshua Lililopo Kihonda Yespa...
Salam ndugu wana JF!
Moja kwa moja kwenye maada, ndugu zangu kwa muda mrefu kumekuwapo na wito na maagizo mengi ya serikali kuzitaka taasisi za fedha kushusha riba wanazotoza katika mikopo wanayotoa kwa wanananchi.
Kila linapojitokeza tukio linalomkutanisha ama Rais, Makamu wa Rais, Waziri...
Viwango Vya Mshahara Wa Walimu 2021/2022 | Teachers Salary Scale Range
New Government Salary Scales: Approved
TGTS B1 = 419,000/- and TGTS C1 = 530,000/-
TGTS D1 = 716,000/- and TGTS E1 = 940,000/-
TGTS F1 = 1,235,000/- and TGTS G1 = 1,600,000/-
TGTS H1 = 2,091,000/- and TGTS I = 2,810,000/-...
Charles Dunbar Burgess King alikuwa rais wa 17 wa nchini Liberia aliyeshinda kwa kura za udanganyifu zaidi pia alikuwa mshiriki wa mkutano wa kwanza wa Pan- Africanism mwaka 1919 mambo ya muhimu yaliyojadiliwa katika mkutano huo yalikuwa ni mapambano ya waafrika dhidi ya utumwa na ukoloni...
Ali Mayai na wenzanke wanavaa suti zimewabana na zinaonyesha kushonwa na mafundi ambao hawana viwango kabisa.
Azam Tv wanapata pesa nyingi kupitia matangazo ya soka. Kwa nini wasiwanunukie wachambuzi suti za ukweli?
Yaani kama vile jamii ya Tz kwa sasa ilivyokumbwa na wimbi la kutisha la machawa pro max basi kuna hawa viumbe wanaojiita wachambuzi , kwa kweli ile sheria ya degree ianze tu hiyo December labda itapunguza vilaza waliojazana huko wakijipa majina ya soccer pundits
Simba ilipopigwa hamsa hamsa...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu ya viwango vya ubora wa bidhaa katika wilaya ya Lushoto ambapo imeweza kukutana na wafanyabiashara mbalimbali pamoja na wanafunzi na kuwahimiza kutumia bidhaa zenye ubora ili kuweza kumlinda mlaji.
Akizungumza mara baada ya kutembelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.