Nimecheka sana kwa jinsi huyu Polisi alivyokuwa akisema kwani kasema Ukweli mtupu huku akitoa na Mifano ya Kiutani.
Nimeiona katika Mtandao wa Thread wa Mtu anayejiita Balozi wa Watu.
Yani saiv ukiwasikiliza Wana simba husikii Tena Ile Kauli ya Simba wamevunjiwa kanuni Kwa kuzuiliwa kufanya mazoezi ndio Maana hawajacheza.
Simba saiv wanasema Match iliahirishwa na Bodi ya Ligi 😂😂
Yani Simba wamewakana kabisa Bodi na TFF na Kwa hapa Simba nawapa kongole mmesukuma kete zenu...
Zifuatazo ni Kanuni na Mbinu mhimu za kuishi na watu vizuri. Kanuni hizi nilizipata kwenye andiko la gazeti la Mwananchi mtandaoni 2022 na namini zitakusaidia
1: Uwe na tabia ya kupenda watu kwa moyo wote, hali kadhalika na wewe watakupenda.
2: Heshimu kila mtu na kila mtu umwone ni muhimu...
Baada ya Rais Trump wa Marekani kuiongezea china Terrifs kwenye bidhaa zake kutoka asilimia 10 hadi ishirini. Nao wamejibu kuiongezea bidhaa za marekani asilimia 15.
Bidhaa za marekani ambazo china zimeongeza teriffs hadi asilimia 15 ni sorghum (ulezi), soybeans, pork (kiti moto), beef...
Kwemaaaaaaaaa... Sauti ni kubwa japo nina swaumu
Kwa wapenzi wa hip hop, upande wa freestyles nadhani wengi wenu jina la Cado Kitengo, Cado nondo, Mzee wa Midamu au Mzee wa AYEEEEEE... nadhani hili jina sio geni kwa wengi wenu.
Nilianza kumfahamu rasmi nadhani ni 2017 kama sikosei katika...
Hapa nataka watu wajifunze Uisilamu. Wanausikia sikia tu. Ila hawaufahamu. Sasa ni muda wa kuufahamu. Nasisitiza. Hatutaki matusi na kashfa kwa uzi huu. Ni uzi wa kutoa Elimu naomba moderators msiingie kwenye mtego. Mimi niliyeuanzisha sina Dini. Ila nlikuwa Muisilamu na si mbaya nikiwaambia...
swala la karma ni kwamba
Kila tendo tunalofanya lina matokeo yake. Ukimuumiza mtu leo, huenda ukasahau, lakini ulimwengu hautasahau.
Maumivu uliyosababisha yanaweza kurudi kwako kwa njia usiyoitarajia—labda kupitia mtu mwingine au wakati usioutarajia.
aise Maisha ni duara, na unachoweka...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Naam imesimama,
Namaanisha imesimama kiteknolojia na ugunduzi na utatuzi wa changamoto za binaadam za kila siku.
Ukisoma vitabu Dunia wakati inaumbwa haikuwa na (magari, pikipiki, saa, simu, radio, tv, engine, cherehani, nk.
Bali aliumbwa adam na hakupewa...
Simba SC VS Azam FC
| NBC Premier League
| Benjamin Mkapa
| 24 Februari, 2025
| Saa 1:00 Usiku.
Wafungaji wa magoli
Simba > Elie Mpanzu dakika, 25
Abdulrazak Hamza dakika, 76
Azam FC > Gibril Sillah. Dakika, 1
Zidane Sereri. Dakika,88
HII NA AIBU KWA MPIRA WA TANZANIA
YAAN MPAKA WANANCHI NA WAANDISHI WA HABARI WAPIGE KELELE WAAMUZI WABOVU WANAPOKEA RUSHWA
NDIO MNAWEKA REFA MWENYE KIWANGO CHA JUU KWANI ALIKUWA WAPI??
SITASHANGAA DECEMBER NIKISIKIA LIGI YENU IMEFIKIA NAMBA 1 5.
MSIPOBADILIKA..MSISUBIRI KILA SIKU IWE AIBU...
Ni kweli Tanzania tunahaja ya kujitanabaisha kimuziki na kuwafanya watu wajue utambulisho wa muziki wa Tanzania. Kuna mirindimo inapaswa kuwa utambulisho wa muziki wetu ila kiukweli hapa kwa singeli haujawaza sawa sawa. Mziki inapaswa kutambuliwa ni muziki wenye mirindimo na midundo yenye staha...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Amesema ya Kuwa...
Nimeona video clip ambayo muheshimiwa waziri Kabudi anazungumza nia ya wizara yake kusimamia mchakato wa kuufanya mziki wa SINGELI kuwa mziki rasmi wa kuitambulisha Tanzania jambo ambalo sio sahihi kwa sababu zifuatazo:
Kwanza kabisa tayari Tanzania ina mziki unaoitwa Bongo fleva...
Diarra ni tapeli wa mpira mjanja mjanja anakwenda kuaibika mwisho wake umefika...ndio maana yule chikola alikuwa anachungulia mbali goli walilofunga KMC FC hata mtu mwenye chongo au aliyefungwa kitambaa cha macho hafungwi jamaa ni tapeli sana tuanze kumuhesabia siku jamaa wameweka shati golini...
Naomba serikali ifanye jambo hapa.
Ajali huwa hazitokei bahati mbaya.
Ajali zinatokana na uzembe wa madereva na kutofuata sheria za usalama barabarani.
REJEA ANDIKO HILI...
Ni wakati sasa wa Kanisa Katoliki kwenda level nyingine na kuachana na kufanya mambo ambayo kila mtu anaweza kuyafanya vizuri.
Kanisa linapaswa kujikita kutoa special education na sio tena universal education ambayo sasa inatolewa na taasisi nyingi tu nchini.
Kwa kuwa Kanisa lengo lake sio...
Salaam,
Imenibidi niulize Kwa maana Hali Halisi niionavyo na nikiwa kama mhanga mmojawapo inanifkirisha sana. Nasema hivi sababu Kuna baadhi ya watu jinsi wanavyotendea wenye matatizo ya usikivu ni kama kuwafanya vituko. Hugeuza tatizo lao kuwa utambulisho badala ya kumsaidia.unakuta uko eneo...
Wakati Trump amesitisha kugharamia shughuli nyingi ambazo zilikuwa zinafanywa na USAID ni wakati wa kujiuliza kwa umakini kitu gani ni muhimu. Hii pesa ilikuwa inasaidia kutoa dawa wa wagojwa wa ukimwi na elimu huko kusini na kusaidia lishe kwa zile kaya ambazo watoto wana dalili za mtapia mlo...
Wanaume 🥴
Kumwingilia mwanamke siyo tu kuweka uume wako...✍🏾
Kuingiliana ni zaidi ya ngono na kumaliza.
Kwa hakika, hata mbwa wanafanya vizuri zaidi.
Kuingiliana ni kuhusu kumiliki nafsi yake.
Ili kumiliki nafsi yake, lazima ushinde tabaka lake la KISIA.
Tabaka la kisia ni lango la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.