Ni Rai yangu. Maana utamaduni umekuwa hivyo kwa muda mrefu na taratibu taratibu inatakiwa kuuelewa na nadhani ni vema tukazoea.
Heka heka zipo na zitakuwepo lakini hiyo ndiyo hali halisi.
So, kwa ujumla tukiwa wazima wa afya, basi tukutane 2030.
Habari ya uzima.
Yupo binti anatafuta kazi , Elimu yake kidato cha nne, Ila anajua kutumia computer vizuri.
Kazi yoyote anaweza kufanya mfano dukani , kwenye taasisi Kama office attendant, n.k
Angependa alipwe 200-250K
Sifa zake.
Umri 24
Mchapaka Kazi
Anafundishika.
Mtu wa kujituma na kutoa...
Niliandika juzi nikisema wanaosema Mbowe aachie uongozi Kwa sababu eti ameongoza Kwa miaka 21 wana hoja ya kitoto Sana ila ninewasamehe Kwa sababu najua wasomi wengi wa Tanzania huenda shuleni kukariri madesa na wakisha graduate hawasomi Tena vitabu.
Wakati wasomi wa kitanzania wanamuona MH...
Habari wakuu .
Mimi nimekuwa nikusumbuliwa na matatizo ya kuumwa na kichwa aina ya kipanda uso.
Nimetumia Dawa za kutuliza maumivu Kwa muda mrefu Sana , Ila nimekuja kupona Kwa kutumia tiba moja inaitwa "Urine therapy).
Tiba hii nimetumia siku tano Kwa kufanya hivi.
Kunywa mkojo robo...
ZIJUE NYAKATI VIZURI (1)
Imeandaliwa na kuandikwa na Dr Dogoli kinyamkela
🗣️Kila kiumbe ambacho kinaishi katika dunia hii kina nyakati zake, majira yake ya kuwa hivi ama vile Kulingana na nyakati husika ya hicho kiumbe.
✍️Nyakati au muda ndiyo unafanya tuweze kuyachanganua matukio, na matukio...
■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT.
-Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na mafuta mengi yenye hadhi ya kimataifa.
-Nguruwe kuingia joto kwa wakati na kupelekeea kuzaa watoto wengi wenye afya njema.
-Huboresha kinga ya mwili hivyo nguruwe...
Wewe Kijana unayejichua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi
Fanya hivi
Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua
Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji.
Kisha kajiangalie katika kioo utaona jinsi uso utakavyokuwa na Nuru.
Sisi watu wa nje ya Dar es salaam hatujui majukwaa ya uwanja wa Mkapa yalivyopangiliwa, hivyo kuuliza si ushamba😃
Ni eneo gani ukiwa kwa Mkapa ndiyo unaweza kuona mechi vizuri zaidi kuliko maeneo mengine ya uwanja huo wa Mkapa?
Habari wakuu,
Mwaka 2020-2025 ni sawa na hatukua na bunge hapa Tanzania.
Lakini kwenye msafara wa mamba na kenge wapo,hivyo hivyo pamoja na bunge kuwa la hovyo lakini kuna Wabunge kadhaa wamejaribu kutekeleza majukumu yao huko Majimboni.
Mimi wabunge wangu ninaoona walau wamepambana ni hawa...
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu.
Dominika njema
Hongereni na mwaka mpya.
Nimeona nilete mtazamo wangi kuhusu Mawaziri waliofanya vizuri sana kwa mwaka 2024.
1. Hussein Bashe - Kilimo
2. Dorothy Gwajima - Maendeleo ya jamii.
3. Jerry Silaa (Wa ardhi, nyumba na makazi sio kwenye Wizara ya sasa)
4. Jumaa Aweso-Maji
5. Ummy Mwalimu-Akiwa Afya...
Leo asubuhi niliacha simu imezagaa zagaa bila kuifunga. Niliporudi nikakuta Afisa Upelelezi anaifanyia upekuzi wa kina bila kibali. Ikabidi nimtazame machoni kiwiziwizi kuona kama kuna chozi linalenga lenga. Sikuona chozi ila nikaona ni kama mtu anayevuta kumbukumbu fulani. Ikabidi nitoke nje...
Kuna Hawa vijana wa hovyo kabisa wanajiita kataaa ndoa.
Kwanza anakuambia tafuta hela usioe yeye ana miaka 30 na zaidi hela Hana na kuoa hajaoa!
Sasa inakuwaje kama kuchelewa kuoa ndio kufanikiwa basi wote wenye 30's wawe wanaendesha V8
Vijana wenzangu epukeni zinaaa fanyeni muoa maisha ndio...
NJOO VIZURI
Kuna bwana mmoja aliniijia akanikuta mahali napata moja ya baridi,wenyewe husema kuchamba koo....
Sasa yule bwana akanishambulia kwa maneno unakunywa pombe ni dhambi,
Nikatulia kumsikiliza.
Akasema tena walevi wote mwisho wao motoni...
Mimi: Nikamuuliza nani mlevi ?
Yeye: Wewe hapo...
Mwaka 2024 umekuwa na ushindani mkubwa katika tasnia ya muziki na filamu Tanzania. Tumeona wasanii wakichanua, wakiachia kazi kali, na kushinda tuzo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Swali linabaki – ni msanii gani amefanya vyema zaidi kwa mwaka huu?
Je, ni msanii wa muziki ambaye nyimbo zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.