vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wasiokufahamu wakikudhuru jua wamepangwa na wanaokufahamu vizuri

    Asiyekujua hana mpango na wewe labda tu awe kibaka wa kukwapua mmekutana njiani ila wenye njama mbaya na wewe ni wale wanaokufahamu vizuri . Wanaokuombea mabaya wanakujua vizuri ni ngumu mtu asiyekujua ghafla tu aanze kutamani upatwe na mabaya . Wanaotamani siku moja uaibike ni watu wa karibu...
  2. Mad Max

    Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie vizuri ushuru wa Nissan Leaf 2019 EV nataka ivuta Februari!

    Najua kwa namna moja au nyingine muhusika atapata huu ujumbe, na sio tu kwa hii chuma na kwa vyuma vingine. Kwa mfano Nissan Leaf 2019 naona kwenye kikokotoo chenu mme-estimate kwamba CIF yake ni $16,600 kitu ambacho sio kweli, market price sahivi ya hii gari kwa huo mwaka ni CIF ya $8,000...
  3. G

    Tafuta pesa familia yako iishi vizuri, Suala la kutafuta pesa nyingi ili kumlinda mke ni ushamba.

    Umemkuta mke wako akiwa na zaidi ya miaka 25, kubali usikubali ninyi wote mna historia na siri zenu nyingi, Ni mawazo ya kishamba sana kuhangaika utafute pesa ili mke wako aishi vizuri ukidhani ni kinga ya yeye asichepuke, Mwanamke ni kiumbe chenye hisia za mapenzi na mapenzi ni fumbo kubwa...
  4. mdukuzi

    Matawi ya Simba na Yanga kugeuka vikundi vya kufa na kuzikana, imekaa vizuri

    Aliyebuni hiki kitu,mbinguni moja kwa moja Sehemu ninayoishi kuna mashabiki wengi sana wa Simba,mashabiki wa Simba kwa pamoja wana kikundi chao kiingilio ni 5000 na michango ya 1000 kwa mwezi. Mwamba mmoja miongoni mwao alifariki na hana ndugu huku. Simba waliubeba msiba kama wao hakuna kitu...
  5. Eli Cohen

    Hivi ile movie ya kibongo iliyokuwa inapigwa promo Azam kwamba ina budget ya mamia ya mamilioni, iliishia wapi? Box office yake ilikaa vizuri?

    Wakuu hivi ile filamu ya kitanzania iliyojulikana kama Eonii ambayo ilipigiwa sana Promo na watu kuifananisha na movie za hollywood imeishia wapi? Soma pia: EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile
  6. G

    Kwenu wanafunzi wa form 4 na wazazi, Form 5 na 6 ilishapitwa na wakati.Ni vizuri kuanza chuo mapema baada ya form 4 na hupanua zaidi goli la ajira

    Hasa kwa wale wenye malengo ya kuja kuajiriwa kwasababu ukweli mchungu wa mfumo wetu wa elimu yetu inaandaa zaidi wahitimu kuajiriwa serikalini, wachache sana wamevunja mwiko huu kwa kutumia elimu zao kujiajiri kwa hiari Ni kwanini form 6 ilitokea kuwa maarufu zaidi ? Hapo zamani nchi ilikuwa...
  7. Roving Journalist

    NECTA 2024: Ufaulu wa Wanafunzi wa Kike wa Darasa la 7 washuka, Wavulana wafanya vizuri, Shule 12,838 zimepata Daraja C

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la 7 uliofanyika Septemba 2024 yanayoonesha Ufaulu wa Wasichana umeshuka kwa 0.53% kulinganisha na ufaulu wa 80.58% wa mwaka 2023 huku ufaulu wa Wavulana ukipanda kwa 81.85% kutoka 80.59% ya mwaka 2023. Jumla ya...
  8. monotheist

    Hivi kuna perfume ya kiume yenye kunukia vizuri kuliko hii?

    Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje Juzi nimepanda zangu mwendokasi...
  9. M

    LGE2024 Wananchi Kata ya Zingiziwa Wagomea Uchaguzi Wakidai Kurudishiwa Ardhi Zao

    Wana Jamiiforums mko salama? Mimi naomba Wakazi wa Chanika Zingiziwa mtusaidie kuhusu suala hili, kwa mwenye kufahamu. Juzi, nilitembelea Kata ya Zingiziwa, iliyopo Chanika na kuzungumza na wakazi kuhusu uchaguzi. Nilijulishwa kuwa takriban Wananchi 10,000 wamekataa kujiandikisha na wameapa...
  10. JanguKamaJangu

    Daktari: Gachagua alikuwa na maumivu ya kifua, anaendelea vizuri

    KENYA: Daktari Mkuu wa Hospitali ya Karen, Dkt. Dan Gikonyo amesema Mwanasiasa Rigathi Gachagua alifikishwa kituoni hapo akiwa na maumivu ya kifua lakini anaendelea vizuri huku akifanyiw avipimo vingine. Amesema “Gachagua alifika Saa Tisa Alasiri, alisema alikuwa na maumivu makali kifuani...
  11. Mohamed Ismail

    Kongole sana Muleba Ibin Kagera kwa kujisimamia vizuri

    Anaandika Mo Mlimwengu. Wakati tunasoma shule kuna watu walikuwa hawana juhudi za kuzingatia masomo na wengi wao walikuwa ni watoro hata darasani. Walikuwa na nidhamu mbaya kwa walimu wao. Lakini ilipofika kipindi cha matokeo wote walikuwa makini kufuatilia matokeo yao. Na walivyopata matokeo...
  12. mdukuzi

    Madaraka Nyerere na ndugu zake wameshindwa kulitumia vizuri jina la baba yao kujipatia riziki, wapewe mbinu

    Bob Marley tangu afariki imepita miaka zaidi ya 40 lakini familia yake bado wanakula bata kupitia loyarities na JIna la baba yao. Michael Jackson family, Tupac family, Kennedy family pia ni miongoni mwa wanufaika wa jina. Tukija hapa nchini, Karume, Kikwete, Mwinyi. Hawa familia zao vizazi na...
  13. J

    Natafuta fundi simu tushirikiane kwa makubaliano, eneo lipo vizuri

    Natafuta fundi simu tufanye kazi, sehemu ya biashara ipo hapa maeneo ya survey opposite na Mlimani city, makubaliano na mambo mengine tutazungumza tukionana. PM kwa information zaidi
  14. M

    Chokaa inafanya vizuri kupambana na fungus kuliko wallputy na white cement

    Nimetumia materia zote tajwa hapo juu ,linapokuja swala la ukuta kuvamiwa na fungus naona kama chokaa Ina afadhali , ila suala la ukuta kupendeza chokaa inashika nafasi ya mwisho unless upate fundi kweli , wewe umeonaje
  15. L

    Albert Chalamila: Wazazi Temeke Hawawajibiki Vizuri Kulea Watoto wao

    “Jambo kubwa ambalo tumekuja kuligundua ni pamoja na wazazi wa wilaya ya temeke kutowajibika ipasavyo katika malezi ya watoto. Mara nyingi tunafahamu kuzaa lakini hatufahamu kabisa maswala ya kulinda watoto wetu na hili kuna mfano mzuri sana shule za temeke ambazo watoto wa shule za msingi na...
  16. G

    Hivi ndivyo vyuo vizuri Tanzania, mambo ya Kuivana kuchagua vyuo vyenye elimu ngumu hayana uzito, baada ya kuhitimu maisha yanaendelea

    Kwa elimu yetu ya hapa Tanzania soma vyuo ambavyo vina network kubwa ya kukuongezea uwezekano wa kupanua goli la oppurtunities (Ajira, Promotion maofisini, Scholarships, Grants, n.k) hata kama huna connection. haya mambo ya kuwa nondo ,kuiva, kujisifu chuo kina elimu ngumu ni hayana uzito...
  17. TheForgotten Genious

    Wazawa Wengi wa Morogoro hawajui kusoma na kuandika vizuri

    Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake. Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa. Ndugu zetu?
  18. P

    Asionewe AWESO, Wizara/Idara zipi zinafanya vizuri katika utoaji huduma bora kwa watanzania?

    Kumekuwa na malalamiko makubwa ya upatukanaji duni wa huduma ya maji hususani katika jiji la Dar es salaam. Watanzania wamekuwa wakimtaka Mh. Aweso aachie ngazi nafasi yake ya uwaziri kwa kuwa wizara imemshinda. Binafsi nimekaa nikajiuliza, tofauti na wizara/idara za kukusanya pesa kutoka kwa...
  19. and 100 others

    Mossad wapo vizuri kwenye intelijensia

    Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah. Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel. Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya...
  20. M

    Baada ya Gaddafi na Saadam waliokuwa wafadhili wakuu wa ugaidi kuuawa, ni vizuri Iran isambaratishwe ili Ugaidi uishe kabisa duniani

    Kwanza tuelewe , ugaidi na uislamu ni vitu viwili tofauti. Tujikumbushe nyuma kidogo kisa cha kuuawa kwa Gadaffi wa Libya na Saadam wa Iraq , pamoja na yote wale ndio walikua wafadhili wakubwa wa makundi ya kigaidi duniani. Walitumia mabilioni mengi kufadhili makundi hayo duniani kote, Baada...
Back
Top Bottom