vizuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. God Fearing Person

    Hacker yoyote ambaye yupo vizuri aje nimpe kazi

    Kuna Kazi njoo pm
  2. K

    Hakuna sehemu wanazolipa mishahara mishahara mizuri hapa Tanzania kama migodini na Depot za mafuta

    Hakuna mahala ndani ya nchi hii wanapolipa vizuri na kujali wafanyakazi wao kama sehemu tajwa hapo juu.
  3. F

    Ni vizuri Rais Samia akafuata ushauri wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuhusu Wapinzani

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete aliwahi kutoa ushauri kwa uongozi wa awamu ya 5 kuhusu namna ya kuendesha siasa na wapinzani. Alisema wapinzani waachwe watoe hoja zao tutawajibu kwa hoja, kama ni kuandama waachwe waandamane mwisho watatulia. Katika uongozi wa Kikwete demokrasia ilionekana kukomaa...
  4. NyegereBOY

    Asanteni wadau lile wazo letu la kibiashara ya (hotspot manage) linaendelea vizuri ila kwa sasa tunahitaji muekezaji mwenye mtaji kati ya 5m to 10m

    Sina budi kumshukuru muumba kwa kutupatia neema zote kubwa kwa ndogo ndogo Naomba nisikuchoshe mdau katika jukwaa hili tuende moja kwa moja kwenye kusudio husika la uzi huu Iko hivi miezi kadhaa iliyopita tuliweza kuleta wazo kupitia uzi huu hapa chini unaweza kusoma kupata wazo au...
  5. Mad Max

    Content Creators mnaoanza (Episode II): Unajua kuset mwanga vizuri unavyorecord video za ndani?

    Baada ya kuchagua camera kwa matumizi na budget yako (episode I), sasa tuanze kurecord. Tuta-assume accessories chache sana tunazihitaji kutokana na budget yetu. Tufanye sisi ni content creator tunaoongelea mambo ya mapishi. Sasa tuanze kuset mazingira yetu ya kurecord. Tutaweka story katika...
  6. G

    Kuna ukweli kwamba madaktari huwatibu vizuri na kuwajali zaidi wateja wanaolipia cash badala ya bima ?

    Kuna ukweli wa hili jambo ?
  7. Tlaatlaah

    Kijana baada ya kumaliza masomo yako mjini ni wakati wa kurudi nyumbani kijijini, wazazi wako wanakungoja

    Wazazi wa vijana wengi wa leo wanafanya maombi na kuwaombea vijana wao sana kila lililo jema wafanikiwe katika maisha yao, hakuna mzazi alie nyuma kwenye hili kwasababu mambo yamebadilika sana sasahivi... Lakini vijana wengi wamedinda kabisa kurudi nyumba vijijini kwao, licha yakua...
  8. Money Penny

    Utajuaje kama mwanamke yupo vizuri kitandani? Bro Code imeshuka

    Nyieee Maswali yenu mnaniletea whatsapp sijapenda kabisa Ila kuna ukweli huu wa asilimia 200 kwa wanawake Ukitaka kujua kuwa mwanamke yuko vizuri kitandani, kumjaribu sio lazima umfunue na kumpapasa, mwambie akupikie chakula unachopenda cha kwenu au nchi yako, akipika chakula kizuri na kitamu...
  9. JanguKamaJangu

    Joseph Butiku: Vyombo vya Ulinzi na Usalama visijifanye havijui mambo yanayoendelea nchini

    https://www.youtube.com/watch?v=LTs471j6rZI TAARIFA YA TAASISI YA MWALIMU NYERERE KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TABIA MBAYA ZINAZOHATARISHA USALAMA WA MAISHA YA WATANZANIA NA MALI ZAO Ndugu wanahabari nimewaiteni hapa, kuwaombeni kwanza; muisaidie Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuwataarifu...
  10. U

    Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu?

    Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu? Wadau hamjamboni nyote? Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu? Aksanteni
  11. K

    Rais Samia tusikilize vizuri tena, unahujumiwa...

    Tulisha mshauri Raisi Samia na kumuonya kwamba anahujumiwa. Anahujumiwa na makundi mawali 1. Viongozi wanaotaka madaraka 2. Viongozi sio wengine wa vyombo vya usalama ambao wanataka kuleta fujo ili Raisi awaone wenyewe kwamba ni lazima awategemee. Wata zusha kila mbinu ili kumtisha Rais awaone...
  12. M

    Kwa mliooa mademu zetu asee jitahidini kuwakaza vizuri wake zenu! Wanawake wenu wanatukumbuka huku

    Huyu manzi alishaolewa but bado ananichek na kunikumbuka jinsi nilivyokuwa namkunja ipasavyo! sasa huko alipoolewa kakuta hakuna kitu dah hizi ndoa hizi 😁😁 Wanangu wa kataa ndoa back up yenu muhimu waliooa wakianza kunishambulia 😁😁
  13. G

    Baba wa familia ndie injini ya nyumba, Hakuna shida akila vizuri akiwa mihangaikoni, wala sio ubinafsi kama wengi wanavyodhani

    N:B: Baba wa familia anaehudumia sio aliekimbia au kukwepa majukumu Kwa tamaduni za waafrika wengi baba ndie injini ya familia, ndio maana familia nyingi sana baba akiondoka mambo yanayumba hata kula inakuwa ya shida. Injini inahitaji service, kuwekewa oili mara kwa mara kulainisha vyuma na...
  14. GENTAMYCINE

    Natamani Siku kuwe na Mashindano ya Makomandoo wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ili tujue nani hasa yuko vizuri kwa Mtiti pale Kikinuka

    Kuna nchi moja nilikuwa Ninajidanganya nikidhania Wao ni bora kwa Kuwaona mara kwa mara kumbe ni Wachumba.
  15. MamaSamia2025

    Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha uko vizuri kwenye mambo ya kimila au ya kanisani/msikitini

    Ni kama masikhara ila jomba hakikisha unakuwa uko fit sana kwenye kimojawapo. Kama umeamua kuwa mtu wa kanisa au msikitini basi hakikisha unashikilia sana huko. Kwa wale wazee wa mambo ya kimila hakikisha uko fit mno. Kazindikwe huko Ziwa Tanganyika siku kadhaa kabla ya kuoa. Usiwe vuguvugu...
  16. Andazi

    Salamu kutoka kwa member mwenzetu leejay49 "Yupo salama anaendelea vizuri"

    Habari zenu kama tunavyojua mpendwa wetu Leejay49 alipata shida kidogo iliyopelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho ni baada ya muda kidogo leo nimepata kuwasiliana nae Anasema anaendelea vizuri kiaina na kutokana na hali yake ameshindwa kujibu tag zote alizokuta humu jukwaani (Bado...
  17. K

    Felix Simbu: Nilikuwa siijui Njia vizuri kwenye Olympic Paris 2024

    Nimemskia mwanariadha wetu Felix Simbu Clouds Fm akisema alikuwa haijui njia vizuri alikuwa anakimbia tu kuwafuata wengine na akafanikiwa kumaliza nafasi ya 17 kwenye Marathon. Huyu jamaa siyo mara ya kwanza kuleta vimbweka C.c GENTAMYCINE Serikali imkamate na kumuhoji Felix Simbu kwa...
  18. Sexer

    Hizi JBL underseat subwoofer ni og ama copy, hata kama ni copy je zinagonga mziki vizuri?

    wakuu kuna hizi subwoofer za jbl underseat za kwenye gari ambazo hapa mjini dar es salaam zinauzwa laki mbili, hivi kweli hizi ni jbl Original ama fake? bas hata kama sio original je zinagonga mziki vizuri, bass nzito? wajuzi wa mambo tafadhali
  19. Yoda

    Kenya wanatuwakilisha vizuri sana Africa Mashariki kwenye Olympics.

    Mpaka sasa Kenya wameshavuna medali nne za dhahabu katika michezo ya Olympics ya Paris na hivyo kutuwakilisha vizuri Jumuiya ya Africa Mashariki, hata hivyo tuwakanye wasituringie sana majirani zao kwani sote ni wamoja, mafanikio yao ni mafanikio yetu pia.
  20. A

    KERO Viongozi wa Idara Morogoro hawajauelewa vizuri Mfumo wa PEPMIS, tunaumia sisi Watumishi wa chini

    Serikali ilinzisha Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System – PEPMIS lengo likiwa ni kurahisisha utendaji kazi na kuweka uwazi kwa kuwa inajulikana wazi suala la Urasimu ndani ya Taasisi za Serikali zipo kwa kiwango cha juu. Kwa wenzangu ambao hawafahamu, Mfumo huu wa...
Back
Top Bottom