Muhimu bunge likatunga kanuni kutofautisha muda wa kuchangia wabunge kulingana na sifa ya eiimu na makundi yanayotoka. Kwa mfano wenye elimu ya PhD wakawa na muda mrefu tofauti na wale darasa la saba, mbunge wa jimbo akawa na muda zaidi ya wale wa viti maalumu.
Hatusitahili kuchuka kila kitu...
Mwaka 2017 nilinunua pagara huko Mbeya!
Baadae niliezeka wakawa wanaishi watu.
Cost nilizotumia ni 4.5 M. Hadi leo kodi nayopokea haizidi elf 30 sehemu za mkoa wa Mbeya demand ya nyumba ndogo mno tofauti na mikoa kama Dodoma Mwanza au Dar.
Kifupi hailipi.
Nawaza ningeweka UTT leo ningekuwa...
Kuna baadhi ya avatar nilikuwa naziangaliaga juu juu lakini baada ya kuzifungua nilizielewa vizuri mfano avatar ya Tindo huyu yeye ameweka kifaa cha ujenzi mimi siku zote nilikuwa sielewi mpaka nilipo amua kuiview
Mahondaw huyu nilikuwa sielewi ni nini kumbe ni shape ya mwanamke
Meneja wa...
Wakuu Poleni na majukumu, moja kwa moja Mimi Nina shida ya pesa. Lakini nimepata ushauri kwamba kama nahitaji kukopa basi nitafute Saccoss maana wanasema Saccoss ni nzuri zaidi kuliko bank au mtu binafsi yaani Kausha Damu.
Naomba kwa anayefahamu Saccos wanayokopesha na iko vizuri. Nipo Jiji la...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Moja ya dalili kuwa maisha yako yatakuwa ya chini ni kupenda bwerere. Kupenda utulivu wa bwerere.
Hakunaga vizuri kwenye bwerere. Yaani kamserereko.
Bwerere haitakuimarisha. Bwérere itakufanya uwe na akili mgando. Kupenda vitu visivyokupa changamoto.
Hata...
Hivi ndugu zangu Watanganyika tutaelimika lini? Yani tunaburuzwa kwenda kupiga kura ilihali Mshindi anajulikana nasi hatuoni shida! Hivi katuloga nani?
Unaacha shughuli zako kabisa na kwenda kuunga foleni🚮🚮 Mimi kama Prof. Assad tu, kama tumeshindwa kupigania mifumo huru na thabiti sioni haja...
Kumekuwa na hali ya kucheleweshewa kupata hela ya utafiti kwa ambao wamebahitika kufadhiliwa na wizara ya afya kwenye kusomea ubingwa na uzamili. Hii imeripotiwa na wanafunzi wa chuo fulani haswa cha serikali kudai hela zimechelewa kutoka ya utafiti ilihali kuna wengine wanamiezi miwili...
Habari wakuu,
RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake
Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa.
Swali langu atafanya kazi kama nani pale na...
Kuna watu wanajikuta wanajibu kila tuhuma zinazosambazwa kuhusu wao ila kama wangefahamu akili za wanaowasambazia wangekaa tu kimya
UKIWASIKILIZA VIZURI UNAGUNDUA YAFUATAYO
1. Wanaongea kwa mihemko .
2. Wamedandia tu mada hawana ukiwabana sana hawana uthibitisho wowote.
3. Ni kawaida yao...
Michi vs KMC ni ngumu, ili tuwabamize mabao 5 ni lazima tuwenna quality players, Ile mechi ya Jana vs Geita angekuwepo Chama, Kibu ambaye alikuwa majeruhi na Mickson wangeweza kuibuka na hata mabao 6 jana, hawa akina Balua bado utoto na uchale mwingi, Jana kama Onana angeanza angalau na yule...
MAMBO 15 YA MSINGI SANA KUYAJUA ILI UISHI NA WENZIO VIZURI
Thread 🧵 👏
1. Epuka hasira za hovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya jambo).
2. Usiwatendee wengine ubaya ukadhani kuwa utakuwa salama (ubaya ulipwa kwa ubaya...
Mtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu.
Profesa Safari aliyewahi kuwa kada na mshauri wa masuala muhimu ya kisheria wa Chama cha Wananchi...
Ni vizuri kujiridhisha na kujihakikisha kwamba u-msafi vya kutosha maeneo yote ya ndani, ya mwili wako hususani unapokua faragha na mwenzi wao..
Mfano maeneo yenye mikunjo na yenye nywele, ya wekwe vizuri, mdomo usukutuliwe kwa usahihi, pua na maskio visafishwe vizuri, na hata kucha za...
Haiwezekani kama nchi maskini tuendelee kubembelezana kuijua vizuri hii lugha muhimu ya kibiashara duniani. Kama tunatakiwa kufanya export zaidi ya products na services zetu hatuwezi kukwepa kukifahamu vizuri kiingereza. Hii ni lugha kuu ya biashara duniani. HAINA MJADALA.
Kuna wapuuzi wana...
Mimi naomba nitofautiane kidogo na wadau wengi wa jukwaa hili hasa hasa wana YANGA wenzangu na mashabiki wa simba SC wanaodai Fredy Koublan ni garasa.
Huyu mchezaji namfananisha na the great khali (kwa walioangalia mieleka miaka ya 2005 watakua wanamjua vilivyo)
Ana mwili mkubwa, ni mrefu...
Nahitaji simu ya kawaida kabisa bajeti yangu laki na 30.
Kikubwa iwe ina uwezo wa kutoa audio inayo sikika vizuri. Iwe Type C ambayo inaweza kutumia vile vi microphone vya sh elfu 25.
Nakumbuka mwaka 2017 nilinunua kisimu cha promotion pale Mlimani City cha VODAFONE. Nilikinunua sh elfu...
Naombeni kujuzwa vitabu vinavyodiscuss matatizo yetu, chanzo, madhara, proposed solutions, n.k.
Please sihitaji vitabu vilivyoandikwa kichawa chawa kusifia viongozi ambao tunawajua nyuma ya pazia waliminya haki. sijitaji vitabu vya mtu kaandika tu ajulikane nae ana kitabu, sipend vitabu vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.