SADAKA YA KWELI NI IPI?
Mtoto mmoja alikuwa amesimama, bila viatu, mbele ya duka la viatu akitetemeka kwa baridi. Mwanamke mmoja alikuja na kusema:
"Rafiki yangu, unatafuta nini hapa au umependezwa na dirisha la dukahilo?"
Akajibu, "Nimekuja hapa kumuomba Mungu anipe jozi ya viatu." Mwanamke...