Vocha (Greek: Βόχα) is a former municipality in Corinthia, Peloponnese, Greece. Since the 2011 local government reform it is part of the municipality Velo-Vocha, of which it is a municipal unit. The municipal unit has an area of 87.895 km2. Population 10,966 (2011). The seat of the municipality was in Zevgolateio.
Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control number nikalipie benki.
Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga.
Hebu wajirekebishe.
Wakati mnalalamika na tozo mpya katika MIAMALA ya simu, Dk. Faustine Ndugulile anatuletea kitu kinaitwa "AIRTIME LEVY".
So far inaonekana Mitandao ya mawasiliano ndo Sekta iliyokuwa kwa aharaka sana na imechangamka. Imeonekana ndo sehemu sasa ya kukamua fedha kwa Mgongo wa neno "Tozo'...
Mh Waziri,
Nilisikiliza Hotuba ya Bajeti
Na kuelewa kuwa makato yanaendana na kiasi cha vocha unayoweka na nikaona sio mbaya ...solidarity fund..
Hotuba ile sikusikia ni tozo kwenye huduma za kutoa na kuweka katika mitandao ya simu.,au wengine mliisikia hii?
Sikiliza huu utetezi wa Mh Waziri...
Nimetafakali sana sina jibu.
Sasa hivi ukipata laki pesa ya kutumia ni kama Elfu therasini tu.
Nyingine inaishia kwenye Makato ya Vocha za Simu, hela ya kutumia na kutokea, kodi ya Mafuta, kodi ya Nyumba, VAT ya bidhaa n.k.
Tutafika kweli?
Kwà nini Serikali isingetumia rasilimali tulizonazo...
Kama uliwahi kuweka vocha kwenye simu yako alafu ukakuta ile hela uliyoweka haipo na wala hujaitumia, ulishawahi jiuliza inaenda wapi nini kifanyike ili kuzuia wizi wa namna, nini kinafanyika kuzuia wizi wa aina hiyo.
“Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wananchi kwamba wanapoteza pesa kujiunga...
DKT MWIGULU, WAZIRI WA FEDHA NINAOMBA UFAFANUZI KIDOGO JUU YA MAKATO YA VOCHA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Kwanza Mhe Waziri nikupongeze kwa hotuba YAKO nzuri ya Bajeti. Mimi si mchumi, lakini niliisikiliza na nimeisoma nimeona ni bajeti ambayo inagusa maisha halisi ya Mwananchi. Ni bajeti...
Kwanini nasema hivyo? Kwa sababu hakuna mtu ataenda kununua vocha ya Tsh. 1000 dukani wakati anajua kabisa atakatwa kiasi cha Tsh. 100 au zaidi wakati huohuo hakuna kifurushi cha sh 900.
Hayo yanajiri katika marekebisho ya sheria kama kiambatanisho hapa chini kitakavyo onesha.
Majibu ya wadau
Nawasalimu kwa salamu ya mama.
Pamoja na nia nzuri ya kugharamia afya ila kiukweli kodi kwenye huduma za Simu ikiwemo miamala ya fedha siungi mkono inalenga kutuumiza.
Mbona kuna vyanzo vingi hasa kwenye Vinywaji laini na vikali, kodi kwenye wapangishaji wa nyumba kubishana nk?
Hapo...
Wakuu,
Hapa tufanye challenge kidogo, ambaye comment yake haitokuwa na reply kwa siku nzima atapata vocha ya 10k. Sitanii
Twende kazi
nb. mpaka sasa sijaona reply empty bila kupata reply ya nyenzake..
Kumbuka reply iliyomaliza 24 hours bila reply nyenzake basi ndio bingwa wetu..
💪💪💪💪
Basi bwana nikajua nimepata, kumbe nimepatikana kinoma kinoma aisee! Huyu binti nilikuwaga namuona tu hapa kitaa na mikato yake ya akina Kim Kardashian utafikiri ameshuka toka state last night! Wa moto hatari anaongea kiswahili flani cha Kimamtoni huwezi amini! Ana life lake hilo standard za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.