vodacom

  1. M

    Tetesi: Vodacom Tanzania wasitisha utoaji wa Line mpya za Uwakala za M-Pesa

    Habari za muda huu wanaJF! Bila kupoteza muda kuna tetesi kuwa Vodacom hawasajili tena laini mpya za uwakala wa M-Pesa. Mwenye taarifa tafadhali atueleze nini kimetokea huko.
  2. Vodacom kubadili vifurushi kuanzia jumatatu 16/08/2021

    Nimepokea sms ya Vodacom asubuhi ikinijulisha kuwa kuanzia 16/08/2021kutakuwa na mabadiliko ya vifurushi. Mpaka sasa sijajua ni Vodacom pekee au na mitandao mingine nao watapandisha. Sms hiyo haijaweka wazi kama vifurushi vitapanda au vitapungua lakini kwa fikra zangu naona vifurushi vitapanda...
  3. Jinsi China "ilivyoangukia pua" mbele ya Marekani huko Ethiopia

    .
  4. Vodacom Tanzania MD, Hisham Hendi resigns

    August 4, 2021, Dar es Salaam: Vodacom Tanzania announced today that Managing Director (MD), Hisham Hendi, has resigned with effect from 1 November 2021 having spent five years with the company, including two and half years as MD. Mr. Hendi will remain within the Vodafone Group of companies...
  5. M

    Nashindwa kuwaelewa Vodacom

    Jana nimetuma 170000 pamoja na ada ya kutolea. Nimekatwa ada ya kutolea 3650 mpesa ada 1000 na tozo 2530. Mpokeaji baada ya kutoa (katoa 174000 sababu alikuwa na akiba ya 11000 kabla ya mimi kumtumia) nae kakatwa ada ya kutolea 3650 na tozo 2530. Kwa hiyo ada ya kutolea imekatwa mara mbili...
  6. Vodacom imetutangazia hasara vipi kuhusu faida na fedha za CSR?

    Nimemuona CEO wa Vodacom akijiingiza kwenye Siasa kwa kujidai kuonesha hasara wanayoipata eti watu kuacha kutumia miamala. Sijawahi kumsikia akitutajia faida ipatikanayo na zaidi sijawahi kusikia shule,zahanati ,au kituo cha afya kilichojengwa kwa fedha za Corporate Social Responsibility kutoka...
  7. Vodacom: Mamilioni wameacha kutumia M-Mpesa hasa vijijini, ni hatari kwa biashara yetu

    Four days after the Electronic and Postal Communication Act (CAP 306) came into effect, the Tanzania Mobile Network Operators Association (Tamnoa) has said the business has dropped drastically, therefore asking government to amend the new charges. In efforts to raise its revenue collections by...
  8. SoC01 Kupanda kwa Bei za Miamala ya Mitandao ya Simu ni "BANK ECONOMIC STRATEGIES"

    Nawasalimia kwa Jina La JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Kabla ya yote mimi si Mjuzi sana wa mambo ya Uchumi au siasa ya uchumi ila kwa kuwa nimepata ushauri kwa wasomi wa uchumi na mambo haya ya siasa ya uchumi ningependa niwamegee kidogo kuhusu mambo nikiyoelekezwa kuhusu Trending marks...
  9. Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

    KUMBUKA • Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa • Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako • Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye...
  10. Vodacom tunaomba mfanye marekebisho kwenye commission

    Vodacom tunawaomba mfanye marekebisho kwenye upande wa m-pesa hasa commission tunazopata sisi mawakala n ndogo sana ukilinganisha na mitandao mengine. Mfano: 1. Mpesa mteja akitoa shs200,000/= wakala anapata commission ya shs 645 2. Halopesa mteja akitoa 200,000/= wakala anapata shs 1390 3. Pia...
  11. K

    TCRA mmeridhika na wizi wa vifurushi unaofanywa na Vodacom? Kifurushi Cha 1.2GB kinaisha less than 24hrs for normal chatting?

    Makampuni ya simu Uhuru na mamlaka mnazojitwalia za kuwaibia wananchi kwa kutukomoa au kurejesha fedha za hasara mlizopata kipindi Cha nyuma si sahihi. Nimejiunga kifurushi cha wiki 1.2GB cha Vodacom jana saa sita kasoro usiku. Then nikazima data hadi saa nne asubuhi. Nimewasha data since saa...
  12. Vodacom nitawachukia milele

    Vodacom Tanzania kama mpo humu naomba hizi habari ziwafikie. Mimi ni mteja wenu mkubwa sana. Tena mteja kindaki ndaki. Sina line ya mtandao mwingine wa simu zaidi ya line hii moja iliyonayo. Ndugu zangu wengi wapo mitandao mingine, najitahidi kumudu gharama kuwasiliana nao ili tu nisiachana na...
  13. TAKUKURU Dodoma: Aghushi nyaraka na kuwakodishia Vodacom eneo la Halmashauri

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoani Dodoma imesitisha malipo batili ya mnara wa simu huku tayari mtuhumiwa mmoja akiwa amekamatwa. Awali Taasisi hiyo ilitoa taarifa juu ya kuendelea na uchunguzi dhidi ya mtuhumiwa Lyato Bihemo wa jijini Dar es Salaam kwa kosa la...
  14. M

    VODACOM na 4G

    Hivi ni lazima kubadili 3G kwenda 4G nikamuone wakala wenu? Hamuwezi kutupa namba za kubofya tukabadili wenyewe?
  15. Vodacom kumbe ni kero

    Wakuu habari, Juzi nimebakisha salio la kawaida sh. 2000, leo nataka kujiunga kifurushi wananiambia salio halitoshi, naangalia Kuna sh 1900 tu. Nawapigia Wanasema eti salio limekatwa kwajili ya huduma ya THE BEST wakati sijiungagi na huduma yoyote ya kipuuzi puuzi, yaani hii mitandao ni wezi...
  16. N

    Internet ya Vodacom imekuwa na kasi ndogo

    Tangu nianze kutumia laini ya Vodacom natamani nidiriki kusema hii speed yao ya Internet siielwi kabisa. Mwanzoni ilikuwa kilio cha vifurushi-- Ila kwa bahati nzuri vifurushi-- nafuu vimerudishwa Mana naweza pata 1GB kwa 1000/= Ila shida imekuwa kwenye speed ya internet, speed n ndogo sana...
  17. Uchumi bado Umekaza? Vodacom yajiondoa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara

    Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imelitaarifu Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania Kuwa haina nia ya kuendelea kuidhamini ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ikitoa sababu ya mwenendo mbaya wa Biashara. Ni uchumi? Bwana Bakhresa kayatoa kwenye uchumi upi mabilioni...
  18. Hivi kampeni ya CHADEMA kututoa line za Vodacom iliishiaga wapi?

    Jamaa wanaongozwaga na emotional mbaya sana. Kina Lema na viongozi wake walianzishaga hii kampeni, cha ajabu haijulikani iliishiaga wapi. CHADEMA kuna umber la viongozi sanaaaa,ni kama kichaka chaajizi, manyang'anyi,watu wa visasi, CHUKI, hilba na kukata Tamaaa Sanaa. CHADEMA wanahitaji...
  19. Aparently Vodacom AND NOT Safaricom mulls part sale of M-Pesa stake

    Vodacom mulls part sale of M-Pesa stake FRIDAY MAY 21 2021 Summary South Africa’s telecoms operator Vodacom Group is considering selling part of its stake in mobile money platform M-Pesa to unlock value running into billions of shillings from the fast-growing service. Chief executive Shameel...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…