Wakuu ni siku tano sasa nimekuwa nikipata simu zenye code ya +269 wakitaka niwapigie, Hadi sasa nimeshapokea simu zenye code hiyo kama 14 hivi kila siku napokea wastani wa namba mbili tofauti.
Nahitaji kujua kama na watumiaji wengine wa Voda mnapata simu hizi au ni mimi peke yangu, Na Wana...
Kwanini kutuma pesa kutoka Voda kwenda Voda inakuwa rahisi na huduma inakuwepo muda wote ila kutuma mtandao tofuti mnasuasua! Leo kuanzaia saa kumi na mbili asubuhi hadi sasa hivi saa nne huduma ya kutuma pesa kwenda mtandao mwingine hakuna! Tatizo hili sio leo tu bali limekuwa likijirudia mara...
Habari zenu wakuu,
Karibu wiki Sasa laini yangu ya Vodacom imekuwa na shida. Kila nikijaribu kupiga Ile namba ya huduma kwa wateja 100 ili wanipe maelekezo hamna Option ya kuzungumza na mhudumu zaidi ya zile bonyeza moja, Bonyeza this, Bonyeza that.
Inaamana Vodacom hawana option ya kuzungumza...
Baada ya maelfu ya watumiaji kuhama mtandao wao sasa VODACOM wameachia vifurushi baada ya kubana kwa karibia mwezi mzima.
Tutarajie Halotel na Airtel kujibu mapigo kwa kushusha hadi wateja wapate 1GB kwa sh.500.
Nimefuatilia sana na mimi mmojawapo wa wateja wa Vodacom nimekuwa natumia line ya chuo ambapo kwa Tsh 1,000/= nilikuwa nanunua dk 110, GB1 na sms 100 kwa siku 3, lakini sasa napata mb 500, DK 40 na sm 50 kwa siku 3.
Si hivyo kuna rafiki yangu alikuwa ananunua bando la Tsh 2,000/= dk100, GB 1 na...
Habari za Asubuhi wakuu, natumaini mumeamka salama na wengine mshaanza kupambana tena kwa siku nyingine hii ya leo ambayo Mwenyezi Mungu ametubariki.
Sasa iko hivi tangu gharama za vifurushi za mitandao ya simu zipande, huu mtandao wa Vodacom naona bado mambo ni yale yale, yaani hakuna...
Ni siku ya kumi sasa tangu vodacom wapandishe bei za vifurushi vya matumizi ya simu. Baada ya malalamiko ya wateja, serikali kupitia TCRA walitoa tamko la kutaka makampuni yote yarudishe bei za zamani wakati suala hilo likishughulikiwa. Pia na rais Samia S Hassan naye akakazia kwa kutaka suala...
TCRA, nawaomba muichunguze kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom kwa kukata fedha unaponunua muda wa maongezi kwa hoja kuwa mteja uliomba/ulijiunga na huduma fulani ambayo hutakiwa kulipia kwa kukatwa fedha mara tu unaponunua muda wa maongezi.
Mimi binafai ni mhanga wa hili jambo kwani...
Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.
Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo...
Wananzengo na members wote JF na nje ya JF, yatupasa kupaza sauti kukinzana na utaratibu huu mpya wa vifurushi huu utakandamiza masikini.
Haiwezekani vifurushi vipande hivyo. Inaonekana hayo si mabadiliko bali ni ukandamizaji.
Serikali lione hili.
SAUTI YA WATANZANIA
Wakuu nikiwa bado kwenye mshangao wa gharama mpya za data bundles karibia mitandao yote , nimeshtushwa kupata ujumbe kuwa huduma ya data bila malipo imeondolewa Vodacom.
Kwa hakika wanyonge tunapigwa kila upande.
Voda wanaingilia mpesa ya mteja na kutoa pesa zote kulipia nipige tafu bila hiari ya mtu
Niwape indhari kuna mtindo voda wamekuja nao, kama unadaiwa nipige tafu mfano 500 ukitaka kununua kifurushi kupitia mpesa mfano kifurushi cha 5000 wanachokifanya ukilipia kwa mpesa wanachukua elfu 5...
Wana JF,
Vodacom Kwa Sasa rasmi Kibanda umiza. Ukiacha hela kidogo Tu wanaanza kukwambia Asante Kwa kujiunga Sasa endelea kuchagua ili ushinde. Unaweza weka fedha kufungua kifurushi wataficha menu hhuku wakikuwekea fedha Za kiwango cha chini. Upati menu ulizoziona kabla ya kuweka fedha.
Mfano...
Inasikitisha na ina hatia hasira sana. Kinachoondelea Vodacom wanasoma meseji na kusikiliza maongezi ya wateja wao ambapo ni kinyume na sheria.
Vifurushi ninunue mm tena mniuzie kwa bei ghari na mnipangie cha kutuma. Kwann? Kila siku mnapandisha vifurushi na bado mnaingilia privacy za wateja...
Vodacom mnahuduma mbovu sana. Nimetuma Pesa kwenda mtandao wa Tigo nimekatwa hela lakini baadaye wanatuma message hii,
"Samahani, muamala wako haukukamilika kwasababu za kiufundi. Tafadhali wasiliana na huduma kwa wateja."
Nawapigia customer care wananiambia wana hitilafu ya kimtandao hela...
Kwa kweli kwa kipindi kirefu zaidi ya miaka 2 hii laini ilibaki ya huduma ya MPESA, nilikuwa natumia Halotel, Hlotel walipoharibu kwenye spidi ya data, nikaona nijaribu Voda. Kinachofanya niandike uzi huu ni jinsi huduma zao zilivyo.
Kwanza kabla ya kujiunga na kifurushi cha siku hawasemi...
Wanajukwaa jumapili njema,
Hivi hii kitu vodacoma wameleta wakati mtu unapiga simu kwenda voda mnaionaje? Wameshindwa kutuma ujumbe mmoja kwa kila mteja waache kutupigia kelele kila tunapotaka kupiga simu?
Inafikia kiwango mpaka sasa mtu unaona tabu kupiga simu. Muda mwingine unapiga unaweka...
Nilizoea kujiunga Vifurushi vya aina mbili vya wiki 2Gb kwa Tsh.3,000/= au 4Gb kwa Tsh.5,000/= Leo nimekutana na hali tofauti, 1Gb kwa 3,000/= na 2GB kwa 5,000/= kwa kweli nimechanganyikiwa kidogo hasa ukiangalia hali tunayoipitia mtaani.
Mbona hii mitandao imekuwa na upandishaji wa gharama...
Nimepitapita playstore na nimeona kuwa ikitaka kununua kitu huu mfumo unatumika. Naomba kwa ambaye kawahi utumia au anajua jinsi unavyofanya kazi anijulishe namna unafanya kazi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.