vodacom

  1. T

    Vodacom: Baada ya ujio wa Tozo, mapato ya MPESA yameshuka kwa 13.9%

    Kwenye report ya hesabu ya robo ya tatu ya Vodacom wamekiri kua mwanzoni mwa mwaka hali ilikua nzuri ila baada ya ujio wa tozo, wateja wa MPESA zaidi ya milioni 1.3 wameacha kabisa kutumia huduma za kutuma na kupokea simu ama MPESA hivyo kupelekea kushuka kwa matumizi na mapato kwa 13.9%. Soma...
  2. tang'ana

    Vodacom Tanzania ordered to pay TRA Sh3 billion’

    Dar es Salaam. The Court of Appeal said Vodacom Tanzania must pay the Tanzania Revenue Authority (TRA) Sh3 billion withholding tax on purchase of a computer software from Siemens Telecommunications (Pty) Limited. The highest court in the land has upheld decisions of the Tax Revenue Appeals...
  3. zink

    Nisajili laini gani nyingine tofauti na TTCL na Vodacom?

    Habari wakuu, Kwa sasa ningependa kuongeza laini nyingine yenye ofa nzuri nzuri za vifurushi, je ni laini gani ingefaaa maana naona nishazichoka voda na TTCL. Nawasilisha.
  4. Teko Modise

    Vodacom kwasasa ndio wenye unafuu wa bando la intanet

    Kwa sh 50,000/= unapata gb 37 za kasi na hata ukimaliza hizo gb 37 unaendelea kutumia internet mpaka ile tarehe ya bando kuexpire ifike japo wanapunguza kasi kidogo. Kwa uchumi wa sasa hilo ndio bando sasa la kuunga, maana vile vifurushi vya wiki unatumia siku mbili kimeisha. Na unakuta...
  5. GwaB

    Kulikoni Vodacom Mpesa Mastercard?

    Katika hali ya kushangaza leo niliomba kuangalia mini statement kwenye akaunti zangu za Vodacom. Nimebaini kuwa pesa zangu zilizokuwa kwenye akaunti ya Mastercard zimerudishwa Mpesa. Hivi sasa huduma ya Mpesa Mastercard imeondolewa kabisa kwenye menu. Inawezekana Vodacom walitangaza...
  6. Determinantor

    Vodacom ni Wezi?

    Tangu Vodacom Tanzania wapunguze Bundle wamekuwa na tabia ya kutokutuma ujumbe wa kiasi cha bundle ulichonunua, thamani yake na muda wa matumizi! Nimejaribu kuwasiliana nao bila mafanikio. Jana nikajiunga tena na bundle ya week ya Tzs 3,000 ila sijapokea SMS tena inayoosha thamani, kiwango na...
  7. MK254

    Mkenya ateuliwa cheo muhimu cha juu Vodacom, Afrika Kusini

    Endeleeni kupika majungu kwa wivu wenu ila Wakenya wanapaa, tena sio ushirikina ila bidii na elimu bora....hehehehe ====== Vodacom Group has tapped Safaricom's chief corporate affairs officer Stephen Chege as its group chief external affairs officer. The announcement was made by Safaricom...
  8. blogger

    Vodacom wameingia kwenye kamari ya wizi na soka letu. Achení wizi

    Nimejitoa mara nyingi kwenye huduma yenu hii ya soka letu. Na wala sikumbuki kuwahi kujiunga k ***** zenu. Kila nkijitoa mnanirudisha . Nikiweka pesa automatically inakatwa. Acheni upumbavu huu wapumbavu nyinyi. Nimechoka. Hakuna swali lolote nlijibu m k ndu nyie. Nrudishieni pesa yangu.
  9. Jamii Opportunities

    M-PESA Business Project Coordinator at Vodacom

    At Vodacom, we’re working hard to build a better future. A more connected, inclusive and sustainable world. As a dynamic global community, it’s our human spirit, together with technology, that empowers us to achieve this We challenge and innovate in order to connect people, businesses, and...
  10. Kurunzi

    Mfanyakazi wa Vodacom aeleza alivyochunguza Simu za Sabaya

    MENEJA Ulinzi na Ushirika wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Kampuni ya Vodacom (T) Makao Makuu Dar es Salaam, James Wawenje (39), ameieleza mahakama jijini hapa kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa Arusha ilimuagiza achunguze namba za simu ya kiganjani za washitakiwa...
  11. Informer

    Vodacom Tanzania discloses their customer private data

    There are unquestionable scenarios that a leading Tanzania’s cellular network company, Vodacom (T) can easily hack and share customers' conversations without their consent. Voicemail, massaging and maybe video hacking is easily tracked by Vodacom and shared to third parties, contrary to...
  12. Jamii Opportunities

    System Administrator: VAS – Applications at Vodacom

    Posting Country: Tanzania, United Republic of Date Posted: 20-Oct-2021 Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent At Vodacom, we’re working hard to build a better future. A more connected, inclusive and sustainable world. As a dynamic global community, it’s our human spirit...
  13. Ferruccio Lamborghini

    VodaCom huu ujumbe wenu mnaotutumia kila muda, kila saa unakera sana

    "Umefikia kikomo au umesitisha malipo ya kadri umavyotumia. Tafadhali jiunge na bando lingine au ruhusu matumizi. Piga *149*01#>8 - Huduma Xtra> Matumizi Bila Bando." Huu ujumbe wenu unakera mno. Yaani mnatuma ujumbe saa 7 z usiku mara saa 8 usiku mara saa 9 usiku mara saa 10 alfajiri yaani...
  14. donlucchese

    Vodacom wako vizuri kwenye MasterCard yao

    Very smooth, hakuna usumbufu kama baadhi ya mitandao yao. Nimeitumia sana kufanya online purchases na hata Leo nimefanya transaction online. By the way kwa wanunuaji wenzangu wa mitandaoni, naona AliExpress wako vizuri kuliko Alibaba au Kikuu in terms of product quality, price pia na uharaka wa...
  15. Jamii Opportunities

    Digital Lending Executive at Vodacom

    At Vodacom, we’re working hard to build a better future. A more connected, inclusive and sustainable world. As a dynamic global community, it’s our human spirit, together with technology, that empowers us to achieve this. We challenge and innovate in order to connect people, businesses, and...
  16. Frustration

    Kampuni za simu zimepunguza vifurushi vya internet tena

    Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days. Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN. Airtel ndio wameua zaidi in short jionee mwenyewe. Najua serikali ina mkono au baraka zake hapa.
  17. G

    Vodacom Mnakiuka Agizo na makubaliano mliyofanya na Serikali

    Wanajukwaa kuanzia leo nimeona mabadiliko kwenye Akaunti yangu ya Mpesa upande wa Tozo za kutuma Pesa kwenda Mitandao mingine na kwenye Tozo za lipa kwa Simu Ndo kusema kuwa vodacom wanapuuza Makubaliano waliyoyaweka, Watanzania wanyonge Tunalia na Tozo hizo!
  18. F

    Vodacom hawajatoa gawio la hisa mwaka huu, shida nini?

    Kampuni ya mawasiliano kwa njia ya simu za mikononi Vodacom, hawakutoa gawio kwa wana hisa wake, shida nini? Ni kawaida kutoa gawio mwezi June au July, lakini mwaka huu hakuna kitu. Kunanini Vodacom?
  19. N

    Vodacom katika hili mjitathimini

    "Vodacom" Ngoma ikivuma sana, mwishowe hupasuka. Mbali na kuwepo mipango mingi ya baadhi ya watumiaji wa mtandao wa simu za mkononi wa Vodacom hapa nchini kuandaa wanasheria kwa lengo la kutaka kuifikisha kampuni hiyo mahakamani kwa kile wanachesema ni wizi kwenye vifurushi vya mtandao...
  20. B

    Vodacom: Kuombana misamaha bila kuwajibika hakutoshi

    Huu utaratibu wa Kuombana misamaha kwa mapungufu yenu huku upande wa kunufaika ukiwa kwenu si sahihi: "Tunaomba radhi kwa tatizo la mtandao lililojitokeza asubuhi ya leo. Sasa huduma zetu ZOTE zimerejea. Asante kwa kuendela kutumia Vodacom. Pamoja tunaweza!" Mmekuwa chini kwa muda mrefu pia...
Back
Top Bottom