vodacom

  1. N

    Vodacom wapandisha kifurushi, Nape awatetea na kumnanga aliyelalamika

    Voda washafanya yao, mtu kalalamika na evidence juu na kama kawaida siku hizi Nape Nnauye ni msemaji mzuri sana wa haya makampuni, anayapambania kwelikweli akamnanga mlipa tozo aliyelalamika. Badala ya MB 1500 kwa tshs 3000 sasa unapata 1300 mb ila sidhani kama hawa mawaziri wanaweka bando zetu...
  2. Replica

    Vodacom waonesha ukinara wao, waleta 5G nchini

    Kampuni ya simu ya Vodacom wamefanya kweli, leo wametambulisha teknolojia ya 5G nchini na kuwa kampuni pekee mpaka sasa nchini yenye 5G. Nimefurahi sana, tumekuwa na simu za 5G mpaka zinaelekea kuchakaa tumeshindwa kuziutilize kwenye eneo hilo. Muhimu mtandao uwe reliable na vifurushi vya...
  3. B

    DC Gondwe: Vodacom kinara kwenye mapinduzi ya teknolojia nchini

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Godwin Gondwe ameipongeza kampuni ya simu ya Vodacom kwa kuwa mstari wa mbele kwenye kuleta mabadiliko yanayoigusa jamii moja kwa moja. Akizungumza hapo jana Agosti 29,2022 alipotembelewa na washindi wa bajaji na pikipiki kupitia kampeni ya ‘M Pesa...
  4. Replica

    Bujiku: Vodacom tumepoteza 30% ya mapato kutokana na Tozo

    Kaimu mkurugenzi wa Vodacom, Hilda Bujiku amesema tozo za miamala ya simu ilivyoanza walipoteza asilimia 30 ya mapato ya kampuni ila wanategemea miamala itarudi. Hilda amesema kuna watu wameacha kutumia huduma ya kutuma pesa kupitia mitandao ya simu na wapo waliopunguza idadi ya miamala...
  5. Nobunaga

    Kwa wateja wa Vodacom: Jinsi ya Kupunguza Spidi ya Intaneti ili Bando lisiishe haraka

    Kwa wale watumiaji wa mtandao wa Vodacom ambao bado hamjasanuka basi nawasanua unaweza kupunguza spidi ya intaneti yako ili kuzuia bado kuisha haraka. Kwa kawaida usipo-limit matumizi ya spidi basi Vodacom wanakuwezesha kuperuzi kwa spidi ya hadi 100Mbps. Hii ni spidi ya hatari kwa bando lako...
  6. shamimuodd

    Vodacom Kasi Internet ni Utapeli?

    GTs, Nimekuwa muumini wa huduma bora toka VODACOM, hasa kwenye bundle za internet. Na nimekuwa muumini wa KASI INTERNET, ila cha ajabu bundle ya internet hiyo ya kasi imekuwa na spidi ya kobe, yaani kila kitu kipo slow mpaka najiuliza hivi kuna tatizo? Je ni mtandao gani wa simu wenye internet...
  7. Zionist

    Vodacom mmeamua kutufanyia hivi ghafla tu

    Mmepunguza MBs za kutosha
  8. M

    Share za Vodacom hazijapanda bei tangu ziuzwe kwenye IPO

    Hivi inaingia akilini mtu akikuambia VODACOM hawapati faida? Tangia wauze IPO kwa shilingi TSH 800/, Share zao hazijawai kupanda tena mpaka leo zimesimama kwa TSH 770/ na haziuziki. Hakuna mtu anazitaka hata kwa Tsh 600. Hii maanaake ni nini? Ni kwamba hazina Value sokoni kwa kuwa azipandi...
  9. K

    Kulikoni gawio la Vodacom!

    Ndugu zangu mimi ni mwanahisa wa Vodacom ninauliza kama tayari wamekwishatoa gawio lao kwa wanahisa. Naona Mabenki tayari yamekwishatoa gawio kulikoni Vodacom?.
  10. Acehood

    Vodacom acheni utapeli kwenye huo mchezo wa Tusua Spoti

    Wakuu iko hivi kuna siku rafiki yangu aliitumia simu yangu kunielekeza mchezo wa tusua spoti unaochezeshwa na Vodacom, na wakati wa kufanya hivyo tiketi moja yenye mechi 14 ilikamilika na tulikata bila kulipia. Baada ya wiki moja niliweka vocha ya 1000 na walikata 500 nikapewa ujumbe kuwa...
  11. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Vodacom angalieni uwezekano wa kuwa na App moja tu

    Ni ukweli usiopingika kuwa Vodacom ndio mtandao wenye huduma bora na imara ya mtandao nchini achilia mbali gharama zao. Kwa muda sasa nimekuwa mtumiaji mzuri na mwenye kufurahia App zake za my vodacom na M-pesa lakini wiki iliyopita nilianza kupata changamoto kwenye app ya My Vodacom kwani...
  12. K

    Visa card for Vodacom Vs Mater Card ya airtel, Ipi bora??

    Wadau, nataka kupata uzoefu wenu ,, ni card ipi ya online unawezaitumia kulipia huduma mbalimbali za mitandaion. Mfano unataka kulipia kwa dolla ila umeweka hera kwa Tsh etc, je usalama wake.. Naomba wazoefu wasaidie kushare uzoefu.
  13. Jamii Opportunities

    Non Executive Director at VODACOM Tanzania Plc

    Non Executive Director for Vodacom Tanzania PLC Dar es Salaam, Dar es Salam, Tanzania, United Republic of Overview Description Sitholizwe Mdlalose appointed as a Non-Executive Director The Company announced on 10 May 2022 that Sitholizwe Mdlalose, the Company’s Managing Director will be...
  14. K

    Kulikoni gawio la Vodacom!

    Nimesoma kupitia website ya Vodacom kuwa kwa mwaka 2022 gawio la kila hisa ni Tshs.430. Je wanahisa tayari wamewekewa fedha zao kwenye akaunti zao?.
  15. Myahudi Jr II

    Maombi Kwa Vodacom Tanzania PLC

    Habari za Usiku mabibi na Mabwana... Niende kwenye Hoja.. VODACOM mmetupatia huduma ya M pesa Visa card aisee mmeturahisishia Usumbufu wa Mabenki ya ndani haswa, ulikua ukienda pale CRDB haki ya mama ukitaka kujiunga Online Banking unatazamwa mara mbili mbili, anachukua card yako anakwambia...
  16. Jamii Opportunities

    Specialist: IP Network & VAS Networks at Vodacom

    Job Description Role Purpose • Maintain and support of IP/MPLS network operational activities • Controlling, managing and acting as second level support for data and internet customers • Ensure MPESA is supported and well protected on the network layer • Maintain operational excellence and...
  17. idoyo

    Tetesi: TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi

    .
  18. Nyamwage

    Vodacom M-Pesa acheni udokozi wa pesa zetu nitawashitaki

    Hi . Kuna upigaji wa vihela vidogovidogo huko M-pesa wanazani kua sisi ni wajinga hua hatufatilii taarifa za pesa zetu ndogo ndogo zilizoko huko M-pesa Leo nimejitumiakiasi cha shilingi 1,100 kwenye account yangu ya tigopesa pesa ili ninunue kifurushi makato ya huo muamala yalikua 385 hii sio...
  19. Teko Modise

    Vodacom internet huku kwangu inasumbua leo

    Leo internet ya Vodacom kama haiko sawa hivi. Je ni huku kwangu tu au hata huko?
  20. Jamii Opportunities

    Digital Services Executive at Vodacom June, 2022

    Description Role purpose: • Manages all digital products and company’s online channels • Proactively work with both IT and CORPS on improving digital customer touch points • Manage and maintain in-house digital products and platforms. • Ensure compliances on all services under...
Back
Top Bottom