vodacom

  1. Influenza

    Vodacom yaongoza kwa Wateja wanaotumia huduma za kifedha. Akaunti zaidi ya milioni 9.2 zasajiliwa kwa Januari-Septemba 2023

    Ripoti iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (#TCRA) imeonesha Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom inaongoza kwa Wateja waliojisali na huduma ya kutumia fedha kwenye simu Usajili wa Wateja wanaotumia fedha kwenye simu umeongezeka kutoka akaunti Milioni 47.3 zilizokuwepo mwishoni mwa Juni...
  2. Roving Journalist

    Mbeya: Wanaofanya utapeli kwa kutumia jina la Mo Dewji wakamatwa, wakutwa na Line za Vodacom (10), Tigo (2) na Airtel (3)

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na oparesheni, misako na doria zenye tija kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia misako na doria limepata mafanikio mbalimbali ikiwemo kukamata watuhumiwa wa kughushi na utapeli, kupatikana na silaha bila...
  3. Analogia Malenga

    Mwaka 2019 Kamati ya Malalamiko ya TCRA iliitaka Vodacom imlipe mteja Faini ya Tsh. Milioni 1.2 kwa kufanya SIM swap kiholela

    Bahati Mekene alipeleka malalamiko katika kamati ya malalamiko ya TCRA kuhusu Vodacom kufanya swap ya laini yake ambapo ilimletea shida hata kwenye mahusiano yake kwani aliashindwa kuendelea na mpenzi wake baada ya mwenza wake huyo kupiga simu na kupokelewa na mwanaume. Tukio hili lilitokea...
  4. I

    Vodacom acheni kubambikiwa wateja wetu huduma wasizozihitaji

    Nimegundua janja ya kampuni hii ya Vodacom kuwaungaisha kwenye huduma zenye makato ya fedha bila wateja wenyewe kuwa wamejiunga kwa ridhaa yao. Nimeshangaa sms imeingia kwenye simu yangu kutoka Vodacom kunijulisha nimefanikiwa kujiunga na huduma ya chekecha hesabu na nitakatwa sh200 Kwa siku...
  5. Hyrax

    Vodacom huduma ya MGODI wanazingua sana

    Line yangu ya Vodacom haina deni nimejiwekea akiba yangu ya milioni 1 huko mgodi nataka kutoa toka last week pesa haitoki nimewapigia huduma kwa wateja option ya kuongea na watoa huduma siipati. Mwenye uzoefu kwenye hii changamoto naomba msaada.
  6. R

    Naomba kujua ada za malipo kwa M-Pesa Visa card

    Wakuu kwa anayetumia Vodacom M-Pesa Visa kulipia online naomba kujua ada ni asilimia ngapi. Nimeuliza customer care kupitia Whatsapp yao naambiwa ni 10%. Siamini kama ni ghali hivyo maana naona Safaricom ya Kenya wanachaji 3.5%. Zamani nilikuwa natumia Mastercard yao haikuwa ghali kiasi hicho...
  7. sifi leo

    Waziri Nape, tusemeje ili uelewe kuwa mitandao kama Vodacom wanatuibia?

    Yaani asubuh nmetumiwa ujumbe nadaiwa 6070 ya songesha nimelipa 3000 Kati ya hiyo niliyoombewa Naambiwa nadaiwa 16000 na zaidi aise hawa jamaa ni wezi balaaa. MH Nape nipo tyr kukupa ushirikiano ili kukomesha wizi huu. Staki kuamini yakuwa upo nyuma ya wizi huu tafadhali jumbe zao.
  8. mandawa

    Vodacom mnakera

    Wadau hivi Vodacom wanawezaje kutoa numba tofauti ya kuwasiliana nao mbali na Ile ya 100 ambayo inahudumiwa na robot tu wala huwezi ongea na mhudumu. Na hii walivotoa kama mbadala 0754705000 sio free lazima uwe na salio na kama haitoshi unakaa hewani nusu saa na zaidi hamna mhudumu anapokea...
  9. Mwanadiplomasia Mahiri

    Msaada: Nimelipia Vodacom Supakasi lakini ni wiki ya 3 sasa bado sijapewa huduma

    Naombeni msaada nimelipia huduma ili niunganishwe lakini kwasasa inaenda week ya 3 sasa sijapewa vifaa na bado sijapata huduma. Nipo mkoani, mwenye mawasiliano na watu wa makao makuu voda naomba namba zao Cc Chief-Mkwawa
  10. LIKUD

    Vodacom kifurushi vya intaneti vinaisha haraka sana

    Kifurushi cha 2500 Zamani ilikuwa unakitumia masaa 24 but sasa hivi ukikiweka asubuhi kabla ya saa tisa anatumiwa msg kifurushi kinakaribia kuisha, inafika saa kumi na moja kifurushi kimeisha. Please ni mtandao gani wanatoa vifurushi vinavyo dumu kwa muda elekezi
  11. M

    Vodacom wawajibishwe kukosekana huduma zao kuanzia saa 4:30 hadi saa 8:00 usiku, siku ya jana, Kahama

    Kwenu: vodacom: Ninaandika kutokea Kahama mji wa dhahabu baada ya kuwa nimechukua muda kujiridhisha na wateja wengine. Mji huu japo mdogo wenye kupewa hadhi ya ghiliba kama manispaa una miundombinu mibaya kabisa kuliko Chato au labda kuliko wilaya nyingi hapa nchini zisizokuwa na hadhi kama...
  12. Replica

    Vodacom yaendelea kuwa kinara idadi kubwa ya laini zilizosajiliwa, Airtel na Tigo mpambano wa kimya kimya!

    TCRA imetoa takwimu mpaka mwezi Juni 2023 ambapo jumla ya laini za simu zilizosajiliwa zimefikia 64,088,651 huku mtandao wa Vodacom ukiwa kinara. ORODHA 1. Vodacom - 19,116,166 2. Airtel - 17,505,139 3. Tigo - 17,484,387 4. Halotel - 8,410,029 5. TTCL - 1,559,090 6. Smile - 13,840
  13. TUKANA UONE

    Ahsante Vodacom nawaombea kwa Mungu

    Salamu ni utumwa Nitoe pongezi kwa Viongozi wa Vodacom kwa hisani hii ninayoipata kila wiki bure kabisa ikiwa inaelekea mwaka sasa. Mungu awabariki sana😉😉
  14. Maleven

    Wahenga, Kuongea bure baada ya dakika ya 3 :Tigo, My number 1: Vodacom

    Kama ulitumia hizi huduma nadhani sasa uko kwenye ndoa au unawatoto Kwakweli Tigo na Vodacom walisaidia sana mahusiano ya watu mana hata utaratibu wa kujiunga bando haukua sawa. Tigo unasubiri saa sita baada ya dk ya tatu, unakua unaongea bure mpanga asuburi Vodacom: unajiunga shiling 50...
  15. Gulio Tanzania

    Mtandao wa vodacom mwisho lini kuwaibia watumiaji wake

    Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu huu mtandao kuibia watumiaji wake lakini hatuoni maboresho yoyote mimi leo nimelazimika kuandika uzi sababu nimeibiwa salio langu la tsh 300 na huu mtandao baada ya kujaza vocha wananitumia sms umekatwa sh 300 baada ya kujiunga na huduma ya "chekecha mkwanja "...
  16. Flowerpot

    Vodacom wameleta Volte?

    Tokea jana usiku naona alama ya Volte, wamezindua nini?. Volte(voice over lte) ni huduma inayokuwezesha kupiga simu kupitia 4G network. Moja ya faida zake ni sound quality nzuri sana.
  17. olimpio

    Vodacom na airtel kinara internation calls

    Makampuni ya simu ya VODACOM na AIRTEL yameonekana kufanya vizuri kwa simu za nje ya nchi , yaan international incomming calls na out going calls , TIGO inafuatia pia kwa karibu , huenda VODACOM wanaongoza kutokana na kuwa na partner companies nyingi chini ya mwamvuli wa vodafone , au wana...
  18. F

    Hivi Vodacom mmekuwaje?

    Kwa muda mrefu Vodacom wamekuwa ndio mtandao wangu namba moja na pendwa. Katika siku za karibuni Vodacom wanakuwa kutoka ukubwa wa Simba na kurudi kuwa Paka na wakiendelea hivi watakuwa Panya kabisa! Sikiliza maelezo yao kwa mteja unapopiga namba 100 ni ya kipuuzi sana na hakuna option tena ya...
  19. Mr mutuu

    Vodacom kuna muda mnakua na ujinga sana

    Hivi mnajiona nyie ni wajanja sana au si wateja wenu ndo mnatukuta malofa sana? Hivi kwanini mtu kama ana dakika bado zimebaki kwenye kifurushi chake let's say Cha mwezi halafu akiunga kingine kabla Kile hakijaisha msifanye tu kutop up hilo bando, au basi akiendelea kutumia mkate zile dakika...
  20. Ultimate

    Vodacom wamesitisha huduma ya kuhamisha bando kwenda namba nyingine bila taarifa

    hapo kabla kulikua na huduma ya kuhamisha bando (MB 250) kutoka namba moja kwenda namba nyingine sasa ivi naona hii huduma wamesha itoa bila hata ya taarifa. Pia hii ilikua ni amri kutoka TCRA kwamba ma kampuni ya simu yaruhusu luamisha bando naona vodacom wameamia kukaidi na kuondoa hii...
Back
Top Bottom