Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imeitaka Kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi, Vodacom kufika mahakamani na kuwasilisha nyaraka inazotarajia kuzitumia katika kujitetea katika kesi ya madai iliyofunguliwa na wanahabari, Erick Kabendera dhidi yake.
Katika kesi hiyo...
hii huduma mbona mnatuibia pesa wenu, ukiweka tu salio wanakata 100, 300 ukiuliza uaambiwa ulijiunga na huduma ambazo hata hauzijui mbona watu wa Mitandao ya simu wanatuibia, wateja woa.
Wizi kila sehemu.
Vodacom sasa huu ni uwizi. Haiwezekani kumlazjmisha mtu kununua muda wa maongezi na kutishia kuifunga namba yake wakati mtu huyohuyo ananunu vifurushi kupitia M-Pesa.
Kama njia hjyo sio sahihi basi toeni hizo huduma za vifurushi kwenye Mpesa. Ili imlazimu mtu kununua salio. Salio la nini sasa...
Kampuni ya Vodacom,imekuwa na usumbufu mkubwa sana.
Ukitaka kuongea nahuduma kwa wateja inakuwa ngumu,wanakuunganisha na online zao ambazo huwezi kumpata mhudumu wao.
Mwenye namba zao za Moja kwa moja tafadhali?
Tunaomba TCRA iingilie kati,Kuna shida kubwa kwa watu walio wengi na maskini
Ndugu zangu Watanzania,
Mimi ni mtumiaji na mteja wa miaka mingi wa mtandao wa voda ,lakini Haijawahi kutokea na sijawahi kushuhudia hali hii katika simu yangu ya ulaji wa mb utafikiri kuna jini limepiga kambi kula mb zangu. Hali hii imejitokeza tangia jana jioni ambapo nilikuwa na mb mia mbili...
MIe kama mteja wa muda mrefu wa Voda nimepata na ukakasi kidogo, ni hivi hawa jamaa mara nyingine unakuta deni limelipwa wao hawajakata, wanaendelea kulitambua deni na muda unafika wanakupiga fine.
Ukiwa unafuatilia utalijua hilo na bado watachukua muda mrefu kurekebisha bila ya kukurudishia...
Juzi kati nilienda kuwataarifu kuhusu tatizo kwenye lain yangu. Cha ajabu meneja wakati natoa maelezo kuhusiana na la laini yangu Kama dakika moja hivi ghafla anapokea sim anaongea na msela wake na kunipotezea bila hata excuse yoyote..ni kwanini watu wanakuwa hivi?..
Ni viburi vya nafasi au vipi?
Nimeweka pesa kwa wakala,
Meseji ikaenda kwa wakala kwamba muamala umefanikiwa lakini kwangu meseji haijafika.
Nimeangalia salio hakuna pesa, wakala akawapigia simu wakasema pesa imekuja kwangu wakati pesa kwangu haijaja.
Najiuliza ni kitu gani hiki Vodacom wanafanya?
Vodacom yaahidi kuwekeza zaidi katika maswala ya uvumbuzi
Kampuni ya Vodacom Tanzania imeahidi kuendelea kuunga mkono juhudi za ubunifu wa aina mbalimbali unaofanywa nchini Tanzania.
Ahadi hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Phillipe Besiimire Jijini...
Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), na Vodacom Tanzania Foundation wamesaini makubaliano ya mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Shilingi milioni 150 ikiwa ni udhamini wa Wiki ya AZAKI 2024, itakayofanyika Jijini Arusha kuanzia Septemba 9 hadi 13, 2024.
Akizungumza katika...
Mnamo tarehe 17 mei, nilijiunga bando la uni-combo data ya mb 1126, badala yake vodacom wamenipa dakika bila mb.
Nimewapigia lakini hakuna walichofanya zaidi ya kunipa tu matumaini. Kuna shida gani? Je, huu ni wizi, utapeli au hitilafu?
1. Kwamba huduma zenu ni kwa muda na kwa MB za bando?
2. Kwamba bando hu expire kwa siku au MB kuisha kutegemea kipi kinakuja mapema?
3. Kwamba mtandao umesua sua kwa takribani wiki nzima, ila nyie fidia yenu ni kwa masaa 24 tu, tena kuanzia usiku wa manane?
4. Hivi ni kwa kutuona je enyi...
Dar es Salaam, 15 Mei 2024: Vodacom Tanzania inafuraha kutangaza kuwa huduma ya intaneti imerejea kikamilifu baada ya upungufu wa ubora wa huduma za intaneti nchi nzima. Tulipata changamoto ya kukatika kwa nyaya chini ya bahari hivi majuzi.
Tunaelewa kuwa tukio hili limeleta usumbufu na...
Mimi ni wakala wa voda na mitandao mingine pia kwa kutuma na kutoa hela
Leo nipo ofisini kuangalia kamisheni yangu nikakuta zaidi ya 50 elfu imekatwa
Moja kwa moja nikawasiliana na huduma kwa wateja kitengo cha mawakala nikawaambia mbona mmepunguza kamisheni yangu. Wakaniambia wasiliana na...
Mnamo March 2024, nilituma hela kwa mtu nkaambiwa haikufanikiwa kwenda. Baada ya siku kama kumi, nikagundua Salio langu limepungua tofauti na transactions nilizofanya, Baada ya kujiridhisha nikawapigia simu huduma kwa wateja wakaniambia hela ilienda ila haikukatwa kwenye account yangu, nikahoji...
Sijawahi kusubscribe Wala kutamani kucheza kamali za mitandao. Chekecha mapene sijuiii chekecha hela nimejiunga lini?
Kima nyie! Kama mnadhani hela tunaokota sisi hatuokoti Wala sio watoto wa motsepe. Na wiki hii nabadili laini... Siwez kuendelea kurisk hela zangu kwa sababu ya njaa zenu...
Kampuni ya Vodacom inakatalia wateja wake kufuta usajili wa laini zao kwasababu wanakuwa na laini moja tu. Vodacom wanadai kwamba hawawezi kufuta usajili wa laini moja tu labda ziwe zaidi ya moja.
Kwanini wanafanya hivi kwasababu kitendo hiki ni sawa na kumlazimisha mteja atumie mtandao wenu?
Najuaga hakunaga vya bure. Nimekuwa nikipokea sms za kupokea vifurushi bure.
Una Dakika 20(Voda) na SMS 100 mpaka 2024-04-08 07:05:35 kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki. Kujua salio Piga *149*60#. Vigezo kuzingatiwa
nimajiuliza sana kwa ile kanuni ya HAKUNA CHA BURE HAPA DUNIANI yasije...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.