Naandika hapa nikiwa na jazba kwasababu sina access ya kuzungumza na mtoa huduma moja kwa moja wa Vodacom huduma kwa wateja.
Kila nikipiga namba 100 napokelewa na sauti ya computer na hakuna access ya kuzungumza na binadamu ambaye nitaweza muelezea shida yangu direct.
Sina unakika kama hii ni...
Vodacom wamekuwa na makato yasiyoeleweka kwa mawakala wa mitandao ya kifedha hasa mkoa wa Mbeya, inapokaribia mwisho wa mwezi wanakata pesa kwenye faida ya wakala ambayo angeipata, ukiwapigia na kuwauliza hawana sababu za msingi zaidi ya kusema kuna miamala feki imefanyika, zaidi ukiwauliza...
Kampuni ya vodacom &Sanlam imeanzisha mfuko wa uwekezaji ambapo mwekezaji atapata faida 13% kwa mwaka .
M-wekeza ni huduma inayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuwekeza kima cha chini kabisa kuanzia TZS 1000 na zaidi kutoka M-Pesa na kupata faida nzuri bila gharama ya ziada.
Wateja wote wa M-Pesa...
Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc imetembelea soko la Makumbusho jijini Dar es Salaam kutoa elimu na kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu utapeli wa kimtandao. Zoezi limefanywa kwa lengo la kuwasaidia watumiaji wa mtandao namna ya kutambua na kuepuka matapeli katika mitandao ya simu.
“Tatizo la...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule (katikati) akikata utepe kuashiria kufungua rasmi duka la Vodacom lililopo eneo la kituo cha mwendokasi (SGR) cha Samia Jijini Dodoma leo. Kulia ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Vodacom Tanzania, Jaji Mstaafu Thomas Mihayo na kushoto ni Mdau wa...
Nimejiunga na kifurushi cha SME package ya 50k kwa mwezi yenye GB 50 pamoja na dakika 2000, GB ziliisha juzi nikabaki na dakika ambapo mpaka ijumaa usiku nilikua na dakika 998
Matumizi yangu kwa siku ya jana hayajazidi dakika 300 kwa mujibu wa call history.
Sijapokea sms yoyote kuonesha dakika...
Kwa siku za hivi karibuni mtandao wa Vodacom umekuwa ukisumbua sana Hali ambayo imepelekea usumbufu mkubwa sana kwa watumiaji wa mtandao huu.
Kumekuwa na Hali ya kukatika kwa network au kushindwa kufanya miamala ya kifedha jambo ambalo limekuwa likijirudia rudia na kuzua sintofahamu Kubwa kwa...
Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa kampuni ya Vodacom, Abednego Mhagama akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni ishirini kwa mshindi wa kampeni ya Ni Balaa! Kila Mtu ni Mshindi Bi. Beth Mayunga kutoka Mbeya mnamo tarehe 5 Novemba 2024 katika hafla iliyofanyika katika duka la Vodacom...
Nimepata tatizo nilikuwa naweka pesa kwenye account ya Mpesa visa kiasi cha Tsh 80000 ili nifanye malipo mtandaoni ila sasa salio silioni kwenye Mpesa Visa.
Huku Mimi nimesharudishiwa sms kuwa salio nimeshaliweka Mpesa Visa.
29th October 2024: Vodacom Tanzania, the Leading technology and Communication Company, has announced that it has undertaken major overhaul in its critical intelligent network infrastructure in a bid to ensure resilient connection to its customers in the future.
Announcing the move, the...
Hakuna kitu kinauma ulipie bill halafu muamala uwe una hang tu. Kibaya zaidi hata sms ya muamala usiipate.
Vodacom Tanzania kuanzia jana mpaka leo miamala inasuasua. Mkimaliza maboresho mtujuze ili tuendelee na nyie.
Sio Voda tu , mitandao yote itungiwe Sheria kuwa muamala ukikwama ukikamilika...
Ndugu zangu wana Jamvi mnakumbuka siku chache zilizopita, baadhi ya wateja wamekumbana na changamoto za kutumia huduma ya mtandao wa Vodacom?
So Vodacom Tanzania hivi sasa wanafanya maboresho muhimu ya mifumo ya TEHAMA kwa lengo la kuboresha huduma kwa wateja wake.
Soma, Pia: Mtandao wa...
MAWASILIANO: Takwimu za Mawasiliano ya Huduma za Simu kwa Robo Mwaka (Juni - Septemba 2024) zinaonesha kulikuwa na ongezeko la Laini 4,137,981 za Mawasiliano ya Mtu kwa Mtu (P2P) na Laini Milioni 1.02 za Mawasiliano ya Mashine (M2M) hivyo kuwa na jumla ya Laini Milioni 80.7.
Kwa mujibu wa...
Nina simu aina ya INFINIX nilinunua July 2020. Laini ninayotumia Ni ya Vodacom. Siku hizi hii simu hai display sms, iwe nimepokea pesa au nimetuma pesa au sms yoyote.
Nikiweka laini ya halotel sms zinaingia Kama kawaida.
Tatizo linaweza kua Ni Nini?
VODACOM shida nini matuzimia mtandao hovyo?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hivi hawa watoa huduma za Voda kwa nini wanatuzimia mtandao hovyo na kutusababishia hasara na fedheha ya mawasiliano huku wakiendelea kutulia bando/vifurushi tunavyoeka?
Mbaya zaidi hata wakirudisha mtandao...
Kwema?
Leo majira ya saa 1 jioni hadi saa 3 na nusu mtandao wa vodacom haukua hewani.
Ukipiga simu hazitoki, ukituma sms haziendi na Data haifanyi kazi.
Hii sii mara ya kwanza kwani Sept 28 walikuwa hivi hivi.
Waliahidi wanarudisha mabando yetu hawajarudisha mpaka leo.
Je, Vodacom...
Sitaki salamu na mtu!
Kijana wangu wa dukani kaniibia pesa zote kasepa.
Maumivu zaidi line zangu za Vodacom zimetumika kukopa milion 2.8 bila ridhaa yangu. Hii pesa ina riba kubwa kila siku sh 20500
Nimeenda voda kuwaomba walau wasimamishe riba sijawaelewa hawaeleweki. Sasa nnampango wa...
Wakati Tanzania ikielekea kuadhimisha miaka 25 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Vodacom Tanzania na Klabu ya Baiskeli ya ‘Twende Butiama’ tunaendelea na msafara wa waendesha Baiskeli kuanzia Septemba 28 na tutafika kikomo Oktoba 14 huko Butiama. Lengo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.