vodacom

  1. mr pipa

    Vodacom hizi simu zenu za mikopo kwa kuzuia App za kubetia mmenikosa

    Tangia mwaka jana mmekuwa mkituma meseji zikinialika kutembelea duka la Vodashop lililo jirani nami ili nijipatie simu janja. Baada ya mwaka mzima wa meseji hizo kuwa kero, niliamua leo kutembelea duka na kuchukua simu yenu ili muendelee kufaidika na biashara yenu ya unyonyaji. Simu mnayouza kwa...
  2. Waufukweni

    Erick Kabendera akataa Uamuzi wa Mahakama, apanga kukata Rufaa dhidi ya Vodacom Tanzania

    Baada ya Mahakama Kuu Masjala ndogo Dar es Salaam kuifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited, ameibuka na kudai kuwa amepanga kukata rufaa kwenye Mahakama ya Rufani Tanzania baada ya...
  3. Cute Wife

    Huduma Vodacom zarejea baada ya saa takriban 6 za kukosa mtandao

    Wakuu, Huduma za mtandao Vodacom zimerejea. ==== Huduma zote sasa zimerejea kama kawaida. Tunaomba radhi kwa usumbufu na tunatanguliza shukrani kwa uvumilivu wenu.
  4. Cute Wife

    Vodacom yaomba radhi kutokana na changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo

    Wakuu, ==== TAARIFA KWA UMMA Septemba 28, 2024Mpendwa Mteja, Tunaomba radhi kwa changamoto za mtandao kwa sasa inayosababisha wateja wengi kushindwa kupata huduma. Timu yetu ya wahandisi inajitahidi kusuluhisha kwa haraka iwezekanavyo. Tunaomba radhi kwa usumbufu na tunashukuru kwa uvumilivu...
  5. Kyambamasimbi

    Mtandao wa VodaCom ukoje huko kwenu?

    Huku kwetu ikifika saa 12 jioni ni shida tupu, usifanye miamala mida hiyo utakoma!!!!!! TCRA mkoa wapi kuwatetea walaji? Pia soma: Vodacom yaomba radhi kutokana na changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo
  6. Kyambamasimbi

    VodaCom wamejipata sasa hivi hawana shida na wateja Kila ikifika jioni mtandao shida Huku kwetu

    Voda tuambieni kwa nn mtandao wenu unasuasua siku hizi au mmezidiwa na wateja Huku kwetu Mbeya. Huu sio uungwana...... Boresheni huduma kwa wateja.
  7. Engager

    Vodacom imezeeka sasa.

    Yaani kukatika mtandao wa vodacom limekuwa suala la mala kwa mala. Si mtandao wa kupiga si data. Limekuwa suala la kawaida. Zamani tulikuwa tunapewa taarifa, lakini naona hata wao wamechoka sasa kutoa taarifa. Wanakata tu. Kuna ile huduma ya M-koba, yaani matatizo kibao. Mwanachama anaweza...
  8. kwa-muda

    Mtandao wa vodacom una shida au

    Wakuu naona network ya mtandao wa voda inasumbua hivi ni kwangu tu au na nyie mnapata shida kama mimi. Ni kama network haisomi na nina line ya airtel nikikaribu mpigia mtu wa voda hapatikani pia.
  9. Forgotten

    Vodacom wanaanza kuwa matapeli!!!

    Haiwezekani nalipia kifurushi cha unlimited halafu mtandao wao siku nzima napata nusu ya Mbps nilizolipia. Yaani, katika masaa 24 hayazidi 7 ndiyo masaa pekee ninayopata kasi kamili niliyolipia, kwenye download & upload. Wana-JF mnaotumia huduma hii ya Vodacom: Je, mnapata changamoto hii pia?
  10. B

    Vodacom Tanzania yatangaza washindi wa droo ya sita ya kampeni yani balaa

    Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania Plc, Joseph Sayi (Kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 20 kwa mshindi wa mwezi wa kampeni ya Ni Balaa! Amina Gwila mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha Tawi la Dodoma mwishoni mwa wiki katika hafla iliyofanyika duka la Vodacom jijini...
  11. T

    Nyie Vodacom ni kitu gani hiki?

    The Service Provider Mdundo has scheduled repeat payments of amount 199Tsh every Day for 999 Days as payment for product Mdundo -Tsh199/Daily. Contact Vodacom Customer Care if you didnt subscribe to this service Yaani mtu ana schedule repeated payments kwa namba yangu, na hata hamnipi option ya...
  12. B

    Vodacom yatangaza washindi wa draw ya kampeni ya ni balaa

    Mshindi wa wiki ya tano wa kampeni ya Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi' Salehe Samweli (wa pili kulia), akipokea mfano wa hundi ya shilingi laki tano kutoka kwa Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa kampuni hiyo, Abednego Mhagama (kushoto), katika Duka la Vodacom lililopo...
  13. Cute Wife

    Shida ya mtandao inayoendelea nchini tatizo ni nini? Serikali mpo kimya kampuni za mitandao mpo kimya! Sasa nani ana majibu?

    Wakuu, Kumekuwa na shida ya mtandao karibu wiki sasa, saa nyingine ikifika usiku mtandao unakuwa chini sana na wakati mwingine hata siku nzima, unakuta mtandao unasumbua kweli na hii ni kwa mitandao yote, yaani Voda, Airtel ns mingine. Cha kushangaza shida hii ya mtandao inabagua baadhi ya...
  14. K

    Gawio la Tshs. 11.93 kwa hisa linasikitisha, Vodacom inafanya biashara kubwa kuzidi baadhi ya mabenki

    Mimi ni Mwanahisa wa Vodacom na nimepata taarifa kuwa mkutano mkuu wa Wanahisa wa Vodacom utafanyika tarehe 11 Septemba, 2024 kielekroniki. Binafsi nina hakika Vodacom inafanya biashara kubwa hata kuzidi baadhi ya Mabenki lakini kinachosikitisha ni gawio walilotangaza ya Tshs. 11.93 kwa kila...
  15. mkorinto

    Bando za data Vodacom zinaisha kwa kasi ya ajabu, tatizo ni nini?

    Wadau, kuna yeyote kati yenu pia ameshtuka kwamba speed ya uishaji wa kifurushi cha data mtandao wa vodacom umekuwa una kasi isiyo ya kawaida? Mimi ni muumini wa X, threed, jamiiforums kwa matumizi ya muda mwingi wa simu, ni nadra sana kunikuta instagram, ticktock, au youtube ikiwa nitakuwa...
  16. cacutee

    Napataje kuongea na vodacom customer care

    Habari zenu? Naomba kujua ni namba gani ni naweza kupiga ili niongee na customer care wa Vodacom. Namba hii +255754700000 na namba 100 hazileti option ya kuongea na mhudumu asubuhi hii. Mwisho Vodacom mpunguze wizi. Leo mmeniibia Sana bando zaidi ya Mara tatu. Sio poa
  17. Eli Cohen

    Jamani hivi na nyie mnaona kuwa Vodacom ni mtandao gharama sana au ni njaa zangu mwenyewe?

    Kwa kweli hawa jamaa in just short time unapata meseji ya "umetumia 75% ya bundle lako." Tsh 2500 au Tsh 3000 ndio options za bundle za wiki jumuishi ya data na dakika. Tsh 3000 unapata gb 1.4 kwa wiki ya internet. Vipi mitandao mingine au gharama ni kama hizi hizi?
  18. Emmanuel S Jonathan

    Jipatie Vodacom Sme bila malipo Yoyote

    Pata Vodacom sme Bure kabisa, uwe na nida, Tin number, picha yako, utapata ndani ya dakika chache nicheki kupitia +255753207909 NB: Maelezo yote nimeweka apa wakuu ukiwa na ivyo vielelezo ndo unicheki Whatsapp kwakutuma picha ya Nida,picha ya Tin , email address, no yako ya voda, na kifurushi...
  19. Pang Fung Mi

    Vodacom Tz walikuwa na kawaida ya kurekodi calls zetu kwa sasa hasa miezi ya karibuni wameacha sijui wamepatwa na nini?

    Shalom, Ile namba ya call forwarding ya Vodacom Tz siku hizi haonekani Nimekuwa na utamaduni wa kuchunguza hatari ya calls tracking kwenye simu yangu mara kwa mara, hivyo huwa nabonyeza *#62#OK, upande wa Airtel na tigo sijawahi kuona hatari, Vodacom wao walikuwa na namba inaanza na...
  20. Jamii Opportunities

    Senior Legal Specialist at Vodacom July, 2024

    At Vodacom, we’re working hard to build a better future. A more connected, inclusive and sustainable world. As a dynamic global community, it’s our human spirit, together with technology, that empowers us to achieve this. We challenge and innovate in order to connect people, businesses, and...
Back
Top Bottom